Mchambuzi awapa ujumbe Yanga matokeo ya ugenini Ligi ya Mabingwa Afrika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • “Mechi za ugenini zote atakutana na changamoto ambayo watu wengi hawajaifikiria” maneno ya mchambuzi wa soka Rashid Hamis akilichambua kundi “A” kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
    Rashidy anaamini ya kwamba Yanga watavuka kwenda hatua ya robo fainali.
    #CAFCL #CAFCC

ความคิดเห็น • 1

  • @daggerslick
    @daggerslick 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wakwanz Kil day