EE BWANA KUMBUKA REHEMA ZAKO= ZABURI 25:4-7/ John S. Mgandu: Official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @njukuwanzetse8241
    @njukuwanzetse8241 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti za kumtoa nyoka pangoni

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  8 หลายเดือนก่อน

      Tumshukuru Mungu na jina lake litukuzwe

  • @tempochoir
    @tempochoir 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sauti nzuri zimetulia Mungu amlaze mahali pema mwalimu J.Mgandu 🙏

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  11 หลายเดือนก่อน

      Amina, tumshukuru Mungu🙏🙏

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 ปีที่แล้ว +1

    Ee bwana kumbuka Rehema zako 🤲🏼Kazi nzuri dadazangu,mungu awabariki kwa ukumbusho wa Mwalim mrehemu John Mgndu,Mungu ailaze Roho yake pema🙏🏼

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  ปีที่แล้ว

      Amina

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  ปีที่แล้ว

      Tubarikiwe PAMOJA nawe mpendwa

  • @vicentmigodela190
    @vicentmigodela190 ปีที่แล้ว +1

    Utunzi Bora uliotukuka Sanaa, nyimbo zako zinagonga nyoyo hazichuji hazichoshi nitamu mnooo.upumzike kwa amani John mgandu

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  ปีที่แล้ว

      Aminaaaaa. Kweli kabsaaa ndugu yangu

  • @bakhitamissanga1821
    @bakhitamissanga1821 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri Tumshukuru mungu kwa ajili ya maisha ya mtunzi mahiri Mgandu. Tuendelee kumuenzi kwa kujifunza unyenyekevu na utii na kuimba nyimbo zake nzuri🙏🙏.

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Amina, asante sana

  • @wenimsigwa9366
    @wenimsigwa9366 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri, Mungu akubariki akupandishe viwango vya juu kwa kibali chake mwenyewe.

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  ปีที่แล้ว

      Amina Kaka, asante sana

  • @gabriellyimo409
    @gabriellyimo409 ปีที่แล้ว +1

    nice 🎶

  • @Peter_Perfect_Maurus
    @Peter_Perfect_Maurus 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana na Asanteni kwa tafakari hii nzuri 🙏,
    Marehemu Mwl. John Mgandu apumzike kwa amani, Amina.

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Ameeen, asante sanaa

  • @innocentherman5101
    @innocentherman5101 ปีที่แล้ว +1

  • @beatusidama6233
    @beatusidama6233 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwl. Mgandu JS ama kwa hakika alikuwa anaongea na Mungu katika kilindi cha hali yake. Maneno na muundo wa tungo hii ni dhahiri, mawasiliano ya watu wawili wanaojuana hasa.
    Ee Mwenyezi, mrehemu ndugu yetu na mpendwa sana mwalimu wetu John Mgandu.

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Aminaaa, Kwa kweli tumwombee, Mwenyezi Mungu amrehemu mwl. Wetu na ampe pumziko la Amani na la milele

    • @editamujuni94
      @editamujuni94 2 ปีที่แล้ว +1

      Mawasiliano yalikuepo makubwa

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      @@editamujuni94 mnooo, yaan ni maongezi ya kumaanisha hasa. Hilo shairi la pili binafs nalitafakari sana

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 ปีที่แล้ว

      TYK ,mrudi kwenye kwaya zenu muinjilishe ,hv vikundi vya watu wawili na kutulegezea sauti muonekane mnajua kuimba mnatukanisha injili,wacheni(viburi,majivuno,ubinafsi na tamaa ya pesa)hata watu waki visit wengi mwisho wake utatakiwa kutoa hesabu kwa Mungu.soma hii-Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
      14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
      15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
      16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
      17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
      18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
      19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.
      20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.
      21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
      22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
      23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

  • @simanjiroanold6382
    @simanjiroanold6382 2 ปีที่แล้ว

    Upcoming artist,, hongera sana Dada umeuimba kwakweli.

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaa

  • @glorygabriel6393
    @glorygabriel6393 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations wapenzi 🥰❣️💞

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Thank you

  • @aggreyngowo4456
    @aggreyngowo4456 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Sana, Mdogo wangu.

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @spelansiakafuka9381
    @spelansiakafuka9381 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dadaangu, Mungu akuinue kitaifa na kimataifa, ulitangaze Neno la Mungu kwa Uaminifu, Nakupendaaaa

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Aminaaa, asante

  • @deucpatrick4850
    @deucpatrick4850 ปีที่แล้ว +1

    daaah RIP babu mgandu

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @deucpatrick4850
      @deucpatrick4850 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Amatha_Kbado mambo mengi kumuhusu huyu mtaalamu hayajulikani

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  9 หลายเดือนก่อน

      @@deucpatrick4850 tumuombee tuu apumzike kwa amani

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Dada Kwa Tafakari nzuri

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaa my dear

  • @restitutaleoni480
    @restitutaleoni480 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana jirani Mungu wa mbinguni azidi kukuinua

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Aminaaaa, asante Sanaa jirani

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooh soo its here.. God bless you n keep the spirit.. u are doing it very wel

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Ameeeen, thank you

  • @ireneushaule7711
    @ireneushaule7711 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤👏👏👏

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  10 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

  • @stepheneaugustine6764
    @stepheneaugustine6764 2 ปีที่แล้ว +1

    So sweet! The song is simply beaty and melodious! God bless you my dada

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      Ameeeen, thank you

  • @apebanotetz
    @apebanotetz 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Dada....keep it up

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว +1

      Asante

  • @danielmatemu9698
    @danielmatemu9698 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ongezeni Tenor na Bass please itapendeza sana

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  11 หลายเดือนก่อน

      Asante Kwa ushauri

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀, Amatha kama siyo wewe nayekuonaga kule status

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  ปีที่แล้ว

      😅😅😅kanuni ni moja, hakikisha unawafurahisha wanao kuzunguka ili nawe upate furaha🤣💃🤣 welcome back to my status😂🎉😂

  • @restutaadrian99
    @restutaadrian99 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏❤

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      🥰🥰🥰my dearest Alto

  • @mwinamilafelista5365
    @mwinamilafelista5365 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏾🥰

    • @Amatha_K
      @Amatha_K  2 ปีที่แล้ว

      🥰🥰🥰

  • @cyriluskaijage4227
    @cyriluskaijage4227 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥👏👏