Wacha ujinga wew nassor o Ali mjinga San wew mukiambiwa musome hamutaki kwani kuwaomesha wanawake mpk uweke pazia mbon bibi aisha mke wa mtume akisomesha wanaume wale hawakuw waume wa watu mna ujinga baadhi yenu
Nia ya mtu anaijua ALLAH kwani wapo uchi apo au kama sheikh kaweka matanio kwa hao wanawake bas yy anapata zambi lkn sio lzm panziiii kama msaf wa nafs ni msaf tu lkn kama mchafu wa nafs hata panzia liwepo nje ya camera anaweza kuwafata na wakafanya maas
HIVI HUJUI WEWE JAHIL KAMA MTUME MUHAMMAD KATIKA MSIKITI WAKE WANAWAKE NA WANAUME WALIKUA WAKIONANA BILA YA PAZIA??? LKA PIA KATIKA MUSSAWALLA WA EID AKIMALIZA KUTOA KHUTBA YA EID ALIKUA ANAENDA UPANDE WA AKINA AMAMA KUWAPA NASAHA NA MAWAIDHA BILA YA PAAZI????
Wacha ujinga wew nassor o Ali mjinga San wew mukiambiwa musome hamutaki kwani kuwaomesha wanawake mpk uweke pazia mbon bibi aisha mke wa mtume akisomesha wanaume wale hawakuw waume wa watu mna ujinga baadhi yenu
بسم الله ما شاء الله ..حفظ الله شيوخنا وشيخنا المُبَجَّل كشك
@@ShebyDuu-l6m Amiin
Babie Wana maashallaah maashallaah mtanga mwenzangu
Mashallah tulifaidika kwa kweli ALLAH ATUONGZ muhadhara wetu udumu karibu sanaa jamony ni kila mwsh wa mwez
Mashaallha najifuza kwenu mashehhe wetu ❤
Jomn ninavommpenda baba kiruwasha Allah akubr
Babie shekhele tunakutarajia tena trh 29 tunawapenda Mashekh zetu al Habibi nurdini kishk
Maashallaah maashallaah maashallaah maashallaah sheikh kishk kutuzindua wanawake
Jaman musifananishe maswahaba na mashekh wanafiki wa zama hizi funikeni nyoso unaona kiruwasha et majpsome
Maashaallah darsa zur sana
Jazaka Allah khayran
MashaaAllah
Maanshaa lalh Maanshaa lalh
MashaAllah tabarakallah
Hamna sheikh apo
Au ndio wale ulio walipia mahari
Asslamu waikum ww
Mashaallah
Sunna imewashinda subirini kiyama cha kuharikiwa
Haya wamefanyaje
Wekeni pazia kwani lazima uangali wake za watu
Nia ya mtu anaijua ALLAH kwani wapo uchi apo au kama sheikh kaweka matanio kwa hao wanawake bas yy anapata zambi lkn sio lzm panziiii kama msaf wa nafs ni msaf tu lkn kama mchafu wa nafs hata panzia liwepo nje ya camera anaweza kuwafata na wakafanya maas
Huyo ni chawa hamalizi maneno mpaka ataje alhekma
Kwani kuna ubaya hebu acha kuumizwa na maendeleo ya wengine ili na weye ufanikiwe tafuta kazi ufanye upunguze ufukara wa mawazo 😏
@@Awateemwambie hyo chuki tu jmn dah jmn watu tafuteni pesa
Ila iyi radio imaan online sisi hatupate KBS tena radio yyenye manfaa saana
Mie nilikuwa naitafuta we acha
Tuacheni comments za kidini kutoa hatua ambazoo hamujui kwa hio ni harusini wala siwasemajii
Yaan nasor zmejaa comment zako halafu zote za hovyo kwanini usitulizane? Wewe msafi subir ukutane na mola wako wengine tuache
Wake wa maduthi ndio munaopata
ELIM NDIGO NI UDHIA
Mbona unawatazama wake za watu bila pazia umepata wapi njia hio munaharibu dini au ndio muonekane na makoti vyenu?
Tupe dalili kuwatazama akina mama ukiwapa mawaidha ni haramu wacha kukurupuka kijana kasome dini
Walimu wa dini pia huwa wanaume je huwa na pazia?
HIVI HUJUI WEWE JAHIL KAMA MTUME MUHAMMAD KATIKA MSIKITI WAKE WANAWAKE NA WANAUME WALIKUA WAKIONANA BILA YA PAZIA???
LKA PIA KATIKA MUSSAWALLA WA EID AKIMALIZA KUTOA KHUTBA YA EID ALIKUA ANAENDA UPANDE WA AKINA AMAMA KUWAPA NASAHA NA MAWAIDHA BILA YA PAAZI????