MAREKANI YAZITAJA IRAN,CHINA NA KOREA KASKAZINI KUWA NCHI TISHIO DUNIANI ZINAZOSHIRIKIANA NA URUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue หลายเดือนก่อน +7

    Wao ndio makatili Dunia marekani mungu iangamize dunia itulie

    • @rashidotieno-w7j
      @rashidotieno-w7j หลายเดือนก่อน

      Allah aliumba hii dunia akiipenda watu waliomo ndio wabaya Allah awape tu nguvu Iran na urusi na korea na mchina akiwemo wawatulize wama rekani

  • @salumomar5234
    @salumomar5234 หลายเดือนก่อน +10

    Gaza jeee wao sio watu wanaokufa au ni paka tuu wale

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 หลายเดือนก่อน +7

    Iran, china , Urusi, na kolea kaskazini MUNGU awabariki sana

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm หลายเดือนก่อน +7

    Yaani Urusi,China,Iran,Korea Kaskazini Hawa majamaa wanawajambisha Marekani na Mashoga wenzake akiwemo Shoga mteule wa Mashariki ya kati a.k.a Israel.

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo mataifa yana nguvu kubwa sana kijeshi na wana silaha mzito sna ndio mana marekan anabwekea mbali tu tia mguu uone kumamaeeeeeee

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv หลายเดือนก่อน +18

    Team Russia Iran China Korea oyee

  • @hashimmakame699
    @hashimmakame699 หลายเดือนก่อน +5

    makombora ya balistik yamekua tishio kwa nchi za magharibi na marekani kama ilivokua nyuklia tishio miaka ya alftisa Mia.
    washa moto China,Russia,Korea na Iran wanaume wapo kazin😂😂

  • @gonanzaro5580
    @gonanzaro5580 หลายเดือนก่อน +4

    Gaza jeeee

  • @zuberympulo6564
    @zuberympulo6564 หลายเดือนก่อน +4

    Uraaaa ✊

  • @ChukuMrido
    @ChukuMrido หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @rjhsyurjhsyu249
    @rjhsyurjhsyu249 หลายเดือนก่อน

    Kaka Adam dah kitambo kidogo leo ndio nakupata kweli Sehemu moja mungu anakuweka sehemu nyingine🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mashakajuma3517
    @mashakajuma3517 หลายเดือนก่อน +2

    Magharibi subirini, zamu yenu imewadia, Lakini itakuwa tofauti sana kwani kutendeana haki ni muhimu sana, Ninyi mnapeleka silaha ISRAEL na UKRAINE halafu mnasema China Iran na Pyongyang Wasipeleke Urusi, Huo ndio ushenhi wenu, mlitunyonya sana,mnatukandamiza sana, mnatunyanyasa, Kila Mtu ale kwa urefu wa Kamba yake, URUSI imewafilisi, Sasa tulieni tunawe kwani chakula kiko mbele yetu.

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂PUTIN/RUSSIA oyeeeeee ❤❤kichapo KIENDELEE

  • @UmojaKimagori
    @UmojaKimagori หลายเดือนก่อน +1

    Msaada kutoka Marekani unaisaidia Israel kuua watoto wa Palestine

  • @salumkondomwinyimkuu4241
    @salumkondomwinyimkuu4241 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wazungu ni wapumbavu sana yaani waukreni ni watu ila wapalestina ni wanyama

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 หลายเดือนก่อน

      Wazungu some times wanazngua sanaaaaaaa

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli na wakiingia vitani na urusi ,,china ,, North Korea,,,marekani ataanguka maxima na hawezi kuwa msemaji Tena was Dunia ,,,uingeleza yuko wapi? Niambie eni niambieni kama mnabisha

    • @GhalibHassan-xs1is
      @GhalibHassan-xs1is หลายเดือนก่อน

      Mwingereza soga tu

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 หลายเดือนก่อน

      England kwa nchi hizo mtt wa kike 2

  • @SalehLofy
    @SalehLofy หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Marekani unaungana na nchi ngapi kufanya ujambazi na Ugaidi duniani! Wewe Marekani ndio ya kwanza inayotakiwa kuwekewa vikwazo duniani

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 หลายเดือนก่อน +1

    wao marrkani ndio wanaifanya vurugu duniani

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko หลายเดือนก่อน +2

    Na bado hamjasemaaa

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p หลายเดือนก่อน +1

    Nafikiri nchi zinazoshirikia na Ukraine ndizo hatari zaidi

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk หลายเดือนก่อน +2

    Lete taarifa ya mwakilishi wa urusi

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro หลายเดือนก่อน +1

    Wao wanatoa solaha kwa Ukraine Marekani na Ulaya na kumpa Israel Ukraine anauwa warusi tena laiya Dunia inaona hatuwezi Kuwapinga Warusi au Irani au Kolea Dunia imechoka na Marekani na Ulaya

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 หลายเดือนก่อน +1

    zirail jee inavo uwa sihatar au wale sio watu aende huko wakaimarishe usenge wao

  • @cristinajeremiah2450
    @cristinajeremiah2450 หลายเดือนก่อน

    Mungu turehem na haya yote yaliyo mbele yetu, tuepushe na mabaya yote

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 หลายเดือนก่อน +3

    Wamesahau mabom yao yanavyo kule Palestine 🇵🇸 na Lebanon 🇱🇧 wanawatete wenzio wao ila wamesahau kama wanatuma silaha Israel 🇮🇱 kuwa watoto wazee na wanawake kule gaza mbona hajaitaja Israel kama ni tishio kwa wazee wanawake na watoto wa gaza mnatafuta huruma kwa nguvu free free free free free free free free free Palestine 🇵🇸

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 หลายเดือนก่อน

      Mungu anajibu ss maana Palestina imeonewa mda mwingi sanaàaa

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna njia mtaidanganya Dunia tena.. muda wenu umeisha au bado hamjalijuwa hilo bas mm nawakumbusha tuu..

  • @GhalibHassan-xs1is
    @GhalibHassan-xs1is หลายเดือนก่อน

    Acha dunia Ishe Tumemchoka marekani na washirika wake Tupo pamoja na urusi.

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma หลายเดือนก่อน +1

    Marekani zero brenkeni ❌❌❌❌❌

  • @AdamStephen-h2x
    @AdamStephen-h2x หลายเดือนก่อน +2

    Team putin🔥

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe หลายเดือนก่อน +1

    Marekani nawashirika waondowauwaji wakubwaduniani

  • @DanielSelasini
    @DanielSelasini หลายเดือนก่อน

    Mungu atunusuru na migogoro ya kisiasa maana .hizo nyuklia zinazotajwa hapo ni tishio kubwa kwa Dunia yote ...nyuklia ilishatumikaga kuipiga Japan kipi cha vita ya pili za ndunia zidi ya marekani .Tuombe mungu

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 หลายเดือนก่อน +1

    marekani huna ushawishi tena umekuwa jambazi wakimataifa miaka mingi sana

  • @assormkarafuu-yd8ok
    @assormkarafuu-yd8ok หลายเดือนก่อน

    Huyu mmarekani eti analalamika kinafiki. Yeye anatoa silaha nafedha kusaidia wahalifu wa Israel haoni. Anasaidia Ukraine haoni. Huyu mnafiki tu.

  • @SalumMapunda-r2q
    @SalumMapunda-r2q หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x หลายเดือนก่อน

    uraaaaaaaa

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m หลายเดือนก่อน +3

    anaongea ila nafsi yake inafikilia islaeri inavyoendelea kuuwa watu NATO wafe tu wanapenda vita kuliko kula

  • @mnanasuly2585
    @mnanasuly2585 หลายเดือนก่อน +1

    Blinken ni mpumbavu sana

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio waendelee kupata hofu mbona wao wanayasumbua mataifa mengine

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c หลายเดือนก่อน +1

    Huyo blinken ni stopped tuu hamna topic ya maana aliyoongea hata mmja anawongea utumbo tuu marekani anatakiwa ajitathimin kwanza yeye halfu atuliye asubiri kipigo kinakuja kwake

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaiy Ukraine pa1 n watoto wao hawana hatia lkn kule gaza wao wanahatia ndio maana mnamuunga mkono Israel

    • @DaudiMakaza
      @DaudiMakaza หลายเดือนก่อน

      Hv unajua garama ya muyahud ww

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu หลายเดือนก่อน

      Pumbafu ulokosa maarifa​@@DaudiMakaza

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p หลายเดือนก่อน

      Adolf Hitler anajua garama ya muisrael

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 หลายเดือนก่อน +1

    Nawao wanao peleka silaha izrael kuua ghaza

  • @ndakindaki2333
    @ndakindaki2333 หลายเดือนก่อน +1

    Utawazuiaje Hawa viranja wa dunia

  • @JumangapeeNgapee
    @JumangapeeNgapee หลายเดือนก่อน

    linken kashaingiza upepo muda somref wata rusha maji juu

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine หลายเดือนก่อน +1

    Hizo nchi ni tishio kwa matekani si yo tishio kwa dunia

  • @AwesabdiMasuo
    @AwesabdiMasuo หลายเดือนก่อน

    Wao wataka urusi asiungwe mkono na kuendelea kuangamiza ukrain..mbona wao wanamunga mkono israil kua watuwasiyo na hatia.niwajinga us na washirika wake wanao uliwa palastin sibinadamu wa ukran ndiyo binadamu.mm naomba wangamize wote

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 หลายเดือนก่อน

    Hakuna marefu yasiyo na ncha mwisho wao umefika

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro หลายเดือนก่อน +2

    Huyo acha ujinga Brikani Israel na Marekani ndio wanaouwa watu Dunia tena akome kutoa kauli hiyo asitake kushawishi huwo Upumbavu wa Marekani

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe หลายเดือนก่อน +1

    Wameshindwa naputini sasawanahangaikatu

  • @GhalibHassan-xs1is
    @GhalibHassan-xs1is หลายเดือนก่อน

    Marekani hana chake Afrka

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka หลายเดือนก่อน +1

    blinken kumbe anaumia sana haaaa putin anatisha sana

  • @BeatriceBeat-hk5cy
    @BeatriceBeat-hk5cy หลายเดือนก่อน +1

    Cku zote unaweza kudanganya watu wote wakati fulani: huwezi danganya watu wote wakati wote .bali waweza danganya wachache wakati wote propaganda za marekani zaelekea mwshoni wajiandae kuwa chini ya walio chini kutesa kwa zamu

  • @KhamisChaz-td4nz
    @KhamisChaz-td4nz หลายเดือนก่อน +1

    Hawa magharibi wamechanganyikiwa wao marekani uingereza ufaransa na ujerumani wao wanaipa silaha izrael wanaua watoto wanawake wazee na watu wengine bila hatia yoyote kule GHAZA na Lebanon

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine หลายเดือนก่อน +1

    Si mlisema ukraine anashinda Vita sasa na ni anateseka

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm หลายเดือนก่อน +2

    Vikwazo ni njia iliyopitwa na wakati

  • @DanielSelasini
    @DanielSelasini หลายเดือนก่อน

    😢 Hapa tunaingia vita ya tatu ya Dunia

  • @BeatriceBeat-hk5cy
    @BeatriceBeat-hk5cy หลายเดือนก่อน +1

    Hivi wao marekani msaada wanaotoa kwa islael hausababishi maafa kwa watu? Juzi tuu islael imeuwa watu 600 acha ghaza wameuwa watu wangapi marekani waache utawala wakijinga nawatawale mashoga wao wao ndo vyanzo vya vurugu duniani halafu wanajifanya wanaweza vita ya kifikra na maneno kama kuna inchi inayopaswa kutengwa na dunia ni marekani

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 หลายเดือนก่อน +1

    Utawala wake umeisha wa kutishia watu

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 หลายเดือนก่อน +2

    Hao ni washenzi sana hawaoni MAUAJI ya Gaza Leo wanaona Ukren mmbwa nyie

  • @Eliakimu-n8z
    @Eliakimu-n8z หลายเดือนก่อน +1

    Nyie ndio mnaleta matatizo tunataka mwakilishi wa urusi

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile หลายเดือนก่อน

    Marekani ni mbwa

  • @krisantmwaipungu1434
    @krisantmwaipungu1434 หลายเดือนก่อน

    Anthon Blinken na John kirb ni mashoga

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile หลายเดือนก่อน

    Marekani ni matako

  • @PalukukisomoGrace
    @PalukukisomoGrace หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mkuu tengeneza grupe la watsape utuunge 😅

  • @Hemedabdallah-kb4xd
    @Hemedabdallah-kb4xd หลายเดือนก่อน

    Du ni kazi nikiona wana Gaza walivouwawa sina hamu na maisha haya kwa Sasa

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha mashoga yamekaa kikao yataka huruma za dunia maana si Kwa kipigo icho mpaka akili zimewaruka kweli nyani aoni kundule

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 หลายเดือนก่อน

      Yan hapa mchochez mkuu ni marekani na hapa urusi china Iran na Korea wanamtafuta marekani kmy kmy

  • @ahmedshariffu2108
    @ahmedshariffu2108 หลายเดือนก่อน +1

    Wanafki Sana awa israili inawasaidiya nani

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi หลายเดือนก่อน

    Mkubwa akikutana na mkubwa mwenzie hesabu zinagoma !

  • @mnanasuly2585
    @mnanasuly2585 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona israel hataki idhibitiwe

  • @HeboniBabu
    @HeboniBabu หลายเดือนก่อน

    Tatizo mnapendelea upande mmoja vip palestina

  • @rashidikhalfani-qt8rp
    @rashidikhalfani-qt8rp หลายเดือนก่อน +1

    Shetani mkubwa wee mashariki ya kati wale ni wanyama?

  • @abduljuma7807
    @abduljuma7807 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anae UNGA mkono Israili hajui tu kuwa Israel hana mpango na wakristo nikama daraja tu wa magharibi ndio wauwaji wanaleta vita duniani kote Ili waibe Mali za watu we vip huelewi tu umerongwa nini?

  • @rashidotieno-w7j
    @rashidotieno-w7j หลายเดือนก่อน

    Na vipi kuusu Israel ndani ya Palestine

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 หลายเดือนก่อน

    Hawa wote lao 1 tu had vikao vya USA

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 หลายเดือนก่อน +1

    😂hawanaga akili

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg หลายเดือนก่อน

    Kwanini wakati ule Israel inapigua ni gusagiria ?lakini Israel ikipiga ni uwaji wa kipali aki Gani yatumika apo?

  • @SamsonSamsonkayanda
    @SamsonSamsonkayanda หลายเดือนก่อน

    Hivi Israel hawaioni inavyoua watu Palestina na Lebanon

  • @IsmailJuma-t3n
    @IsmailJuma-t3n หลายเดือนก่อน

    How about Palestine people

  • @JosephAmos-z4g
    @JosephAmos-z4g หลายเดือนก่อน

    Moto

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 หลายเดือนก่อน

    Hypocrisy at its highest level...

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg หลายเดือนก่อน

    American kapanya Nini Ukrainian urusi kaisokosa ikaipamia ikaomba musaanda kwa nanto nanto wakaisaidia makosa Iko wapi?

  • @BilioneaIbrahim-jt1ou
    @BilioneaIbrahim-jt1ou หลายเดือนก่อน

    Hizo nchi mpeni kazi myahudi Netanyau waone

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 12 วันที่ผ่านมา

      Netapaka vikundi vinamtosha hawezi pigana na jeshi kamili

  • @LudoMwamsaku-x2u
    @LudoMwamsaku-x2u หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Saizi watu wana akili ukitaka kuona hilo fuatilia midahalo ya BBC miaka hii ya kalibuni hawajawahi kushinda mdahalo wowote.

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine หลายเดือนก่อน

    Wewe matekani si ndiye unayeadhibu sasa na awaguse UN ndiyo hiyo US ndiyo washakudhibiti

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv หลายเดือนก่อน +1

    Putin piga baba hao mashoga tupo nyuma yako

    • @rjhsyurjhsyu249
      @rjhsyurjhsyu249 หลายเดือนก่อน

      Kiandika weka kituo. bado kidogo nisome kimakosa

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg หลายเดือนก่อน

    Israel is God family and the was is God can win Israel

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 หลายเดือนก่อน +1

    Rubbish,,,,,,,whot is gaza and Lebanon?

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg หลายเดือนก่อน

    Iran ipigue kama sadamu useni

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 12 วันที่ผ่านมา

      Ww Bado upo ulimwengu ule wa kuambiwa umetokana na nyani