AMINA. Wakristo ile minyororo maadui walitufunga Mungu Ataiondoa, Ataikata kata na kuivunja vunja. Watu wa Kenya na JWM anakuja toka mlimani mtu anayeleta habari njema. Kuna mtu anatoka mlimani na huyo mtu hakuji mikono mitupu, anakuja na baraka yako. Mtu mahali anangojea kusikia sauti yako, kile unataka umuitishe. Mtumishi wa Mungu na Malaika wa Mungu anatumwa alete ujumbe. Watu wa Kenya na JWM na wasikilizaji na watazamaji Bibilia inasema wakati huu wa Krismasi tusherehekee sikukuu yetu. Hapa ni kubarikiwa, kupokea na kwenda kuinuliwa. Nasi kwa sababu Mungu Ametuahidi na Atatutendea nasi tutimize nadhiri ya Mungu. Tutimize nadhiri ya Mungu maana waovu hawatatuangamiza tena kwani wameangamizwa kabisa.
AMINA. Wakristo Mungu Ataadhibu maadui wetu. Mungu Atatulinda kwa sababu Yeye Ndiye Ngome yetu. Tutajificha ndani ya Mungu na Atatulinda kwa sababu Yeye ni Mwema. Leo maadui wetu, maadui wa kwetu na maadui wa kiroho na wa kimwili wataangamizwa na wataangushwa. Adui hatabakia hapa na hatabaki kwa mlango, Mungu Amesema Atamfuatilia na kumfukuza hadi gizani. Wale wanapanga njama juu yetu, wale wanatupangia mipango hii Desemba, wale wanatupangia mipango huko kwetu Mungu Atawaangamiza. Hiyo mipango yao na njama zao Mungu Amezijua. Hata kama hatujafika nyumbani Mungu Amewaona. Adui atakomeshwa na atazimwa leo na tumkanyagie chini. Hatanena tena, hataturoga tena na hatatuharibu tena. Wapinzani wetu watakomeshwa.
AMINA. Wakristo lazima tutabarikiwa, kabla ya tarehe moja tutakuwa na ushuhuda moja. Adui hataweza kuinuka tena. Maadui wetu na wa nyumba zetu hawataamka tena, watateketea kama kichaka kinachoteketea. Kwetu leo kunaondoka wachawi, waganga na devilworshipper. Kwetu kunaondoka wale wanapanganga njama dhidi ya Mungu.Adui akiondoka kile hatukushika na hatukupokea leo ni kupokea. Hata ingawa wachawi na waganga ni wengi na wenye nguvu wao wataangushwa na kuangamizwa. Ingawa tumeteswa sisi watu wa Mungu hatutateswa tena zaidi. Tumelia na tumeteseka sana lakini Mbingu imenena na imeongea. Mungu Alikuwa Ameachilia maadui lakini sasa Amesema hatatutesa tena. Kwa hivyo tufurahie na tushangilie.
Merry Christmas 🎅 🎄 and a Happy Prosperous New Year 2025 to my Spiritual Parents, the whole of Mwangaza Tv, Mwangaza wa Neno FM and Kiheo Tv Media Groups and all Mwangaza TV, Mwangaza wa Neno FM and Kiheo Tv Fans.
Saudi arabia tunawatch sana baba tuombee sana turudi salama
Wachawi..Waganga na Wachawi wa Kiroho watajua Kuna Mungu wa JWM anatupigania...Mungu the battle belong to you,waangamize kabisa.
AMINA. Wakristo ile minyororo maadui walitufunga Mungu Ataiondoa, Ataikata kata na kuivunja vunja. Watu wa Kenya na JWM anakuja toka mlimani mtu anayeleta habari njema. Kuna mtu anatoka mlimani na huyo mtu hakuji mikono mitupu, anakuja na baraka yako. Mtu mahali anangojea kusikia sauti yako, kile unataka umuitishe. Mtumishi wa Mungu na Malaika wa Mungu anatumwa alete ujumbe. Watu wa Kenya na JWM na wasikilizaji na watazamaji Bibilia inasema wakati huu wa Krismasi tusherehekee sikukuu yetu. Hapa ni kubarikiwa, kupokea na kwenda kuinuliwa. Nasi kwa sababu Mungu Ametuahidi na Atatutendea nasi tutimize nadhiri ya Mungu. Tutimize nadhiri ya Mungu maana waovu hawatatuangamiza tena kwani wameangamizwa kabisa.
Amen🙏🙏Mungu adhibu maadui wgu leo katika jina lako kristo
AMINA. Wakristo Mungu Ataadhibu maadui wetu. Mungu Atatulinda kwa sababu Yeye Ndiye Ngome yetu. Tutajificha ndani ya Mungu na Atatulinda kwa sababu Yeye ni Mwema. Leo maadui wetu, maadui wa kwetu na maadui wa kiroho na wa kimwili wataangamizwa na wataangushwa. Adui hatabakia hapa na hatabaki kwa mlango, Mungu Amesema Atamfuatilia na kumfukuza hadi gizani. Wale wanapanga njama juu yetu, wale wanatupangia mipango hii Desemba, wale wanatupangia mipango huko kwetu Mungu Atawaangamiza. Hiyo mipango yao na njama zao Mungu Amezijua. Hata kama hatujafika nyumbani Mungu Amewaona. Adui atakomeshwa na atazimwa leo na tumkanyagie chini. Hatanena tena, hataturoga tena na hatatuharibu tena. Wapinzani wetu watakomeshwa.
Amen na mungu azidi kutulinda katika jila la yesu thank you for your message our apostle
Amen mungu ni mwema milele
Adui wa magonjwa waangushwe katika. Jina la. Yesu Amen
Amen maandui. Wangu mungu waangushe kabisa wakutambue wewe ndiwe mungu
Tuned in from Austria. Maadui wangu wakomeshwe kwa jina la Yesu
Mungu ni mwema Amen glory be to God 🙏
Amen Mungu nimwema katika maisha yangu
Maadui wetu Leo wamekomesho katika jina la yesu
AMINA. Wakristo lazima tutabarikiwa, kabla ya tarehe moja tutakuwa na ushuhuda moja. Adui hataweza kuinuka tena. Maadui wetu na wa nyumba zetu hawataamka tena, watateketea kama kichaka kinachoteketea. Kwetu leo kunaondoka wachawi, waganga na devilworshipper. Kwetu kunaondoka wale wanapanganga njama dhidi ya Mungu.Adui akiondoka kile hatukushika na hatukupokea leo ni kupokea. Hata ingawa wachawi na waganga ni wengi na wenye nguvu wao wataangushwa na kuangamizwa. Ingawa tumeteswa sisi watu wa Mungu hatutateswa tena zaidi. Tumelia na tumeteseka sana lakini Mbingu imenena na imeongea. Mungu Alikuwa Ameachilia maadui lakini sasa Amesema hatatutesa tena. Kwa hivyo tufurahie na tushangilie.
Mungu n mwema kila wakati mungu n mwema
Ushuda Moja Amen
Lazima nita Barikiwa kabla terehe moja
Mungu atawagamiza
Amen tuned in from saudi leo live imenipita but i thank God
Mungu awaadhibu wote leo
Mungu Ndiye Kibirio langu
God will protect me and my kids and our family
Nitaona Mungu ,Mungu Ni kibiliyo langu
Mungu Nitumanie
Amen tuned from iraq,greatful
Amen and amen groly and honour be to God
Timiza nadhili ya Mungu
Deni na Mungu🤚🤚
Amen, thank you Jesus Christ
Mungu amesema adui wangu atakomeshwa leo
Amen 🙏, powerful word🙏 Merry Christmas 🌲 Apostle Kiongo 🙏
Ingawa nimeteswa mmi Sitawateswa tena zaidi
Nimepokea muujiza moja
Thank you Daddy Amen
Aduui wangu atakomwshwa Ni Mungu Amesema
Maaduui wangu , maduui wa nyuma yetu watateketeya
Mungu ni Mwema
Mungu atanilinda
GOD is good...He will lead me
MunguAtanilida kwa maadui wangu
Adui wangu leo utakomeshwa
Tuned from Saudi Arabia
Tunned in from Canada 🇨🇦
Turned from gulf Riyadh
Kuna mtu anatumwa kwa ajili ya maisha yangu
GOD bls my dad pst Mwai
Merry Christmas JWM and evreyone wishing you all a blessed week ahead .
Thank you Dad Merry Xmas too
Walewana panga mipango Mungu Amejua jama zao
Shalom shalom
Atoke aende kabisaa
Wuuuuuuuiiiiiiiiii thank you Jesus
Tuned from Mombasa ,
Maduui watoke,waguke
I receive it
Maadui waangamizwe wote
Indeed they are truly looking good
Sitateseka tena
Amen...be blessed
Adui yangu Kwenda na kwenda
Kabisa
Amen Amen 🙏
Kibali yangu inakuja
Ikwa nimetezwa mimi sitatezekatena
Watoto wetu wako very smart
Nataka tumalize uende nyumbani
Feeling blessed
Daddy yangu Merry Christmas 🌲🙏
Amen 🙏🏻🙏🏻
Tuned in Lebanon
Adui wangu hata amuka tena
Adui yangu toka
Amen i recieve it
Mupinzani wangu atakomeshawa
Yessssss
Maadui wa nyumba yetu watateketea
Nimepokea
Merry Christmas 🎅 🎄 and a Happy Prosperous New Year 2025 to my Spiritual Parents, the whole of Mwangaza Tv, Mwangaza wa Neno FM and Kiheo Tv Media Groups and all Mwangaza TV, Mwangaza wa Neno FM and Kiheo Tv Fans.
Amen🙏
Addui Atazimwa
Adui atakomeshwa leo
Maadui watoke
Adui akomeshwe
Merry Christmas JWM family
Tuned in from Lower Kabete
Ameen
Amen
Adui aende
Celebrate your festivale 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nikibiliyo langu
Minyororo itakatawa na kuhalibiwo
Wenye tumekosa offday leo aki mafuta itatupita😢😢😢😢😢
Maadui wanaondoka
Toka toka toka
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Yes
Merry xmas
👏👏👏
Toka
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Leo leo leo