UBAYA EPISODE/16/tinwhite
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
- 𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜!
🚩 Remember to subscribe and hit the bell "🔔" icon, so you don't miss out of the crazy COMEDY,SHOT CLIP ,MOVIES and SERIES .
Thank you for stopping by 😎 Welcome to #OSOONLINETV 🔥🔥 Swahili COMEDY, MOVIES and goodSERIES that happen weekly 🤘🏽🤘🏽
For branding/ sponsors or any busnes Enquiry.. music email us at osoracar86@gmail.com 🤘🏽🤘🏽
#osoonlinetv#mkojani #Swahilicomedy #swahilimovies
Donate Gofundme: gofund.me/dc21...
SOCIAL MEDIA
Facebook: / oso_onlinetv-105010074...
Instagram: / osoonlinetv
Tiktok: tiktok.com/ZML...
Unjanja ukichanganya na huuni sio vitu vizuri kabisa dah tin kayanyaga kweli,kweli.😅😅😅we mkojani umepigaje apo.
Hiyo suti tena unaenda nayo kwa mwenye suti, Mweupe una kazi mbona
Katika utatu huu hajawahi kwenda jela ongea vizuri upate kaka wewe kubali Mimi nitakutetea suti ya kwake hiyo😂😂😂
Hahaaaa lakn mkojan bhn, sometme punguza bang kdg,, kwamba kes unanunua au sio 😂😂😂😂😂
Kainunua atasimama yeye
BEST SERIES APA TUNGEMPATA RINGO JAMANI
Ety kubali upended mahakamani mi nakuja kukutetea😂😂😂
Hatari sana 😅😅 mkojani shenzi umemtia cha khuntha WA mushkeli mwenzako
Mkojani umepigaje apo????Shenzi kabisaaa😂😂😂😂
Huo kweli UBAYA mumetisha sana kitu kimetulia vema kabsa
Mwendo ni uleule Ubaya hadi mwezi mtukufu😂😂
Kaka Hadi mwezi mtukufu ubaya ubaya
Dah mkojani kaupiga mwingi 😅😅
😂😂😂😂😂😂katika utatu huu huyu ndio hajawahi kwenda jela
Mwenyekiti mbna umeangalia san suti angu
Mnazenguwa Sana mnachelewa kutowa mbaka tunasahau tulishia wapi
Team mkojani tinwhte mwambaaa. 😂😂😂😂 Kazi nzuri sana more fire 🔥🔥 ubaya ubaya
Oya mkojani huu ubaya umezidi Yani umempeleka jela alafu mchumba wake umpige udalali umuozeshe dah kweli ubaya ubaya
Mkojan bini daluweshii
Haha mkojani nishai kweli White vaaa zile suti lol 😆 😂 🤣
Tini kayakanyaga
😂😂😂 mkojani et mnungu chibidu😂
Aloo ubaya uendeleee ramadhani imeishaa kitambo mbona ahh mkojani na adamu vipi bana 😅😅😅
Mkojani moto huo unazidi kupaaa chochea tu kuni
Movie Kali San
Yani mtetezi unaye na unatamba nae 😂😂😂😂
Ya kwakwe hio we kubali tu ntakuja kukutoa tu...😂😂😂😂😂😂😂
Ubaya ubaya, mweupe mara hii ni hawamu yake kufikishwa gorogoroni😂😂
Tunasubiri 17 ❤❤❤
Nakubali mkojani
😂😂😂😂 tin white utaona moto
Kazi nzuri sana wapendwa
Mkojani mjanja sana😅
Kazi nzuri kwa wakali WA hizi kazi nawakubali sana
Bwana Mweupe hajashituka mtego " Ata kesi na nunua maana yake ata kesi naweza kukutafutia "
Tin umepigwa kubwa kuliko na Darwesh, Mkojani ww kiboko 🤣🤣 mbavu zangu
Mkojanii anaongoza kwenye ubaya😂😂🎉🎉
Wanakuingilia heeh😂
Bwana mweupe😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
Mkojani eti mtetez unae na unatamba nae
Ayende kwa nyampara
Ukupata kaka😂😂😂😂
Hkupata kaka😂😂 umeingiliwa
Kkkkkkk kkkkkkk aise tini noma kweli
Mkojani yaan ndo mwenye mipango yote 😅😅😅😂 tena mibovu😂😂
Tin unaniua mbavu😂 bwana mweupe
Daa ila mkojan ww nifundi wa ubaya ubaya
NENDA NAE UYU BWANA 😂😂😂😂😂😂 nmezoea kesi 😂😂😂😂 mwambaaaaaaaaa
👁️👁️ Ubaya 16
Tin jasho vipi😂😂
😂😂😂😂 mkojani kwa kweli
Eti uku pata kaka😂😂
Dah kuna watu wanajuwa mpk wanakera
😂😂😂😂😂😂😂
Ama kwel ubaya ubaya 2
❤❤❤
Tin kayakanyaga
Tin akitoka mtakomaaa😂😂 nasimama na bwana mweupe kama tupo pamoja gonga likee
Wakwanza mm nipeni like zangu
Hata kesi wanunua 😂😂😂😂
Leo wa kwanza
yani apa ubaya mwazomwisho
Khaaa😂😂😂😂
HAYA SASA LIKE ZETUU😂
😂😂😂😂😂❤
Mkojani kiboko😅
Noma
Mlingu chibidu
Ingependeza ukivaa ile suti😂😂😂ubaya ubaya tu
shukran
Tini kayafanga
Hiii kweli ni ubaya ubaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakupata kaka
Nakubal
Daah wapili jmn
🔥🔥🔥
Yes
hahahahahhahaahha
Mkojani kiboko😂😂
Wakwanza nipewe likes zangu😅
I miss the series ❤
❤
👁️👁️ ubaya 16
Wakwanza leo
Leo nipo from DRC ❤❤
#Ubaya Ubaya😂😂
😂😂😂
Hii series ni kali san 😂😂😂😂
🎉🎉🎉
😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂
Watu watatu hatariiiii sanaa❤❤❤❤❤❤
Tunasubiri 17 ❤❤❤
❤❤❤❤
Mkojani kiboko😅
😂😂😂😂😂opopa
👁️👁️ ubaya 16
❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
👁️👁️ ubaya 16