SHEIKH BAHERO NA SHEIKH NURDIN KISHKH 4/4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 76

  • @TheSanni2000
    @TheSanni2000 11 ปีที่แล้ว +2

    KEEP UP THE GOOD WORK,THE TRUE FOLLOWERS OF AUTHENTIC SUNNAH OF OUR PROPHET (SAW). MAY ALLAH REWARD FOR YOUR GOOD WORKS INSHALLAH. I LOVE THESE TWO SHAIKH FOR ALLAH SAKE BY IBN RAJAB AL MA'AWY,LONDON UK.

  • @afric01
    @afric01 ปีที่แล้ว

    Aslm alkm ww... Allah akulinde, akukinge, na akuhifadhi sheikh wetu kipenzi. Allah akupe noor na akujaalie Pepo firdous yaa Rabb 🙏. Waja kusema nikazi yao. Tenda wema malipo Kwa Allah.

  • @aliamour4970
    @aliamour4970 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah sheikh nurdin uko sawa kutokana na majibu uliyompa kijana huyo hao ni wazandiki wakubwa na ndio watupu

  • @hamiskhatibu3200
    @hamiskhatibu3200 3 ปีที่แล้ว

    maashaallah

  • @fatuma2061
    @fatuma2061 ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum sheikh kweli kabisa fitina nyingi waambie ukweli Allah akujalie kila kheri hapa Dunia na khera

  • @yusuphtwaha8386
    @yusuphtwaha8386 4 ปีที่แล้ว +3

    Shekh Nisamehe pia Allah anisamehe mm nurdin naomba mtoto wangu asome kwako ada ntazimudu lakn nikikosa nivumilie

  • @shahnazakhtar4249
    @shahnazakhtar4249 2 ปีที่แล้ว

    Please show the video of sheikh abdullah humeid.

  • @jemsalwa360
    @jemsalwa360 4 ปีที่แล้ว

    Lahaula walaquwwata ills billah

  • @mhoussineaboubacar2655
    @mhoussineaboubacar2655 4 ปีที่แล้ว

    ٱحب المسلمون كلهم

  • @mzeemwamguno9367
    @mzeemwamguno9367 4 ปีที่แล้ว

    Shukraniii shekhe wangu tuko pamoja

  • @mwnaidibushuti9958
    @mwnaidibushuti9958 4 ปีที่แล้ว

    Kurecod vedeo za darsa inafaida Sana Sana kunawatu hawapi Ata mda WA kwenda kusikiliza ila akiwa na cm yake mkono I uku a afanya kazi zake na huku anasijiliza mashalla mungu awape afya njema mashekeh wetu wallay

  • @ibrahimirab3472
    @ibrahimirab3472 9 ปีที่แล้ว

    jazakumullaah na mungu awabarikie nyote wawili na pia masheikh wote wa ahlul sunnah waljamaa

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah awahfadh mashekhe wetu

  • @iddijuma3254
    @iddijuma3254 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awazidishie subra na hikma

  • @granazhashim3609
    @granazhashim3609 10 ปีที่แล้ว

    Mashallah barakalllahu fiyq

  • @ashaa4896
    @ashaa4896 4 ปีที่แล้ว

    Shehe wangu mm nimejifunza mengi kupitia mawaidha yako tunakupenda sana mungu akuifadhi na husuda za waja wa Allah inshaa Allah

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 6 ปีที่แล้ว +3

    Shekhe kishki upo sahihi kabisa, mfano wamazingira ya kawaida kabisa,
    Sisi tunaoishi ughaibuni sehemu nyingi na nyenginezo hakuna miskiti,hakuna vikao vya kidini ambayo tutapata daawa na ukumbusho juu ya mambo mema.
    Basi alhmdllh tunafaidika kupitia hihi video za mashekhe wetu.
    Mungu atakupa kheri zaidi.

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 ปีที่แล้ว +8

    Wallah shekh Uwe na subra kupigwa vita amepgwa mtume

  • @AliShehe-tn6wb
    @AliShehe-tn6wb ปีที่แล้ว

    Kk

  • @TheSanni2000
    @TheSanni2000 11 ปีที่แล้ว +1

    THE AHLUL SUNNAH WAL JAM'AH THEY HAVE DEEP LOVE FOR THEIR MASHAIKH AND LOTS OF RESPECT.

  • @fa2mrisho
    @fa2mrisho 12 ปีที่แล้ว +2

    Assalam aleykum.. I love sharing the videos u upload on facebook and the response is positive.. MashaAllah keep up the good work

  • @greenflower2078
    @greenflower2078 6 ปีที่แล้ว

    Hongera kishki

  • @husseinramadhani3605
    @husseinramadhani3605 7 ปีที่แล้ว +4

    kila anaewaandama masheikh au kuwahukumu watu ni wakosaji wakubwa allah ndie mjuzi wakumtambua mwema na muovu kila mtu apiganie nafsi yake sababu nafsi ndie adui mkubwa wa mwanadam

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie manufaa katik maish yako in shaa Allah

  • @hawaaswaleh8263
    @hawaaswaleh8263 3 ปีที่แล้ว

    kabixa kenya ni kubayaa sanaa

  • @asiahaji5081
    @asiahaji5081 4 ปีที่แล้ว

    Ni Ahlisunna au Answar sunna waljamaa?

  • @asiahaji5081
    @asiahaji5081 4 ปีที่แล้ว

    Vitu vidogo Shekhe Kishki umeshatunga kitabu gani? Tokea umeanza daawaa?

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa na Mutume anasema kilajambo la kheiri katika uisilamu linaruhusiwa watakua kama makafiri ati kumuweka mutu damu ni zambi zambi gani nanijambo na kheiri .watu hawamujuwi MUTUME muhamadi ni vip kawa mutume wamwisho njo wanaketa ma bala ya maneno.

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 8 ปีที่แล้ว +1

    BAHERO ni shehe anaye beba chuki katika kupinga kwake.MWANZO ANAWAKUFURISHA wenzake sana kwa chuki mbaya !!.asante Kishki kwa kuweka wazi!!.

  • @mzeemwamguno9367
    @mzeemwamguno9367 4 ปีที่แล้ว +2

    shekhe wangu hata usiwe mnyonge wewe tupe daawah tuko nawewe

  • @nccmndnd8065
    @nccmndnd8065 7 ปีที่แล้ว +1

    bahero nasema mungu ako mkono mguu na macho kwani mungu ni binadamu walam yakunlahu kufuan ahad ,mungu haifanani na chochote

  • @faridahfaa8856
    @faridahfaa8856 9 ปีที่แล้ว

    Sheik mm na wapende sana ,na nimefahidika na mawaidha yenyu, wacha waho ni chiki 2 na hawana chochote, mm niko saudia bat natoka kenya, pia mm niliclim 2, sada nafurahi sana kwa kupata ilimu kutoka kw mawaidha, na Allah awape umri mrefu na afia, ilimtuelemisha, insha allah

  • @khamisptrany9393
    @khamisptrany9393 ปีที่แล้ว

    Hawakutani masalafi wawili ila moja atampapura mwenzake, je wasemaje kwa wengine?

  • @ayubuzomboko7157
    @ayubuzomboko7157 5 ปีที่แล้ว +2

    Kila mpanda dhambi atavuna dhambi.wewe shekhe umesema shekhe Yusuf bin Ismail Nabahani mshirikina.bas Kama fitna we namba moja.Umemponda shekhe mkubwa huyo Dhambi yake ndo hiyo utabughudhiwa hadi mwisho.Nakibaya ndugu yangu mtu hajisifu.We Bado upo chini saaana kielim Rudi darasani kajifunze Ttawaadhui

    • @Elisahiminvisible
      @Elisahiminvisible 4 ปีที่แล้ว +1

      Ayubu Zomboko hujamuelewa kabisa....usilete fitna katika dini

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    Wengi wao tunapenda mawaidha yako

  • @mimyorangekitchen5909
    @mimyorangekitchen5909 10 ปีที่แล้ว

    asalaaam aleiykum uko juuu sanaaa wakuachee zakooo

  • @nccmndnd8065
    @nccmndnd8065 7 ปีที่แล้ว +2

    bahero ndiyo natukana shek na kabila ya bajuun, ndani khutba yake

  • @salaamclinicoftraditionalm3641
    @salaamclinicoftraditionalm3641 6 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa Twariqa ndio wafuasi wakubwa wa Qur'an na Sunnah,na hakuna hadithi ya bwana Mtume SAW iliyo dhaifu...!

    • @ramamtetu2327
      @ramamtetu2327 4 ปีที่แล้ว

      Al Marhumu Sheikh Abdallah Salehe Al Farsi Aliwahi Kusema;
      Debe tupu Haliishi Kelele Na Elimu chache ni Mzigo.
      Ukisomo Elimu Mustwalahu Al hadithi Utakuja jua
      Wanachuoni Wote Wanajua
      Kuna hadithi Sahihi
      Kuna hadithi Dhaifu
      Sababu hadithi ni Simulizi Za Maswahaba na Maswahaba Wakawafunza Wengine na Wengine wakawafunza pia Wengine.
      Hivyo ili Usimulie Hadithi Maulamaa wa hadithi wameweka Misingi Ya kukubali au Kuzikataa Khabari
      Kwa Sababu Ukiwaondoa Msahaba Waliobaki hapo Tunaweza kukataa maneno yao au kukubali.

  • @ibrahimirab3472
    @ibrahimirab3472 9 ปีที่แล้ว

    allah said in the quran O believer do not follow footstep of satan indeed he is ur great enemy

  • @aliaboud9262
    @aliaboud9262 5 ปีที่แล้ว

    Aaa

  • @ashaa4896
    @ashaa4896 4 ปีที่แล้ว

    Achananae kupitia watoto watemeke wamemfundisha atakuwa amehelewa

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    Wewe endelea na darsa zako wala usiwajali shekhe wetu

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Kilakitu kitakuja ila muisilamu kwasababu ya MUTUME yuko na dictionary sioni tatizo na mutume kasafisha kilakitu duniyani na kesho akheira haramu zipo wazi na halali zipo wazi

  • @sadhiyaiman6038
    @sadhiyaiman6038 8 ปีที่แล้ว +1

    sahih hawa ni wahabi shekhe lao anakubali maulid na hapa kishki anaongea tu asidanganye wacha watu wajiangalilie kwenye mtandao mwenye akili atajua haki

  • @mathayogisosi9254
    @mathayogisosi9254 5 ปีที่แล้ว

    Hatar Sana, nurdin humjui sheikh kassim mafuta!

    • @adanletoo2530
      @adanletoo2530 5 ปีที่แล้ว

      Ahahahaaa n sawa tu

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 5 ปีที่แล้ว

      Matayo Marco dAa mtihani masheigh wetu hawa yani bora engelisema sijawahi kimuona ila namsikia tu clip zake km mm lkn asiseme hamjui qassim ni salafi mkubwa ktk nchi hii na sheghe mkubwa sana wa suna

    • @mwanaimaabdallah7825
      @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo uelewa wako

  • @kasimukhalifani1575
    @kasimukhalifani1575 4 ปีที่แล้ว

    Bahero kasoma wap na wewe huna lolote

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 5 ปีที่แล้ว

    kishki tatizo wewe umesoma dini Lkn nikweli kishki hueleweki dhehebu lako ni lipi maana unatangatanga tu mana maibadhi unaungana nao mara mashia hueleweki

    • @shkjumaa7270
      @shkjumaa7270 4 ปีที่แล้ว

      mmh unauhakika

    • @raiyaaaraiyaa6054
      @raiyaaaraiyaa6054 ปีที่แล้ว

      Niambie mtume s a w alikua dheheb gani. Coz alituachia vitu 2 Quran na Sunna. Hayo madhehebu mliyatoa wapi

  • @asiahaji5081
    @asiahaji5081 4 ปีที่แล้ว

    Ni rai ya mwanachuoni wa kiwahabbi,maana hillo angelitoa mwanachuoni wa Ahlisunna waljamaa ingekua bidaaaa,haraaam! Shirki!?

  • @samakimwenyekiundaniyamaji8885
    @samakimwenyekiundaniyamaji8885 7 ปีที่แล้ว

    Maneno mazito

  • @asiahaji5081
    @asiahaji5081 4 ปีที่แล้ว

    Ooooooo,kwani Albaani ni nani? Mtu wa juzi tu ndio mumemfanya kama Swahaba kuliko hao waliopita? Halafu Kishki unatoa fatwa za kujuzu kurikodi vedio kwa sababu ndio unavyofanya ili kueneza itikadi zako?

  • @osamashakau1397
    @osamashakau1397 7 ปีที่แล้ว

    Makafiri wakubwa

    • @mariamsuleimanmunguakupeum6552
      @mariamsuleimanmunguakupeum6552 7 ปีที่แล้ว

      Osama Shakau kweli kabisa

    • @abuahmad1206
      @abuahmad1206 6 ปีที่แล้ว

      Wakufurisha mashekh kusema watak sunna ya mtume na maneno ya Allah

    • @mohamedadam5987
      @mohamedadam5987 5 ปีที่แล้ว

      Subhana Allah wawaita wenzako makufar mola akusaidie

    • @mwajumamashallah3122
      @mwajumamashallah3122 5 ปีที่แล้ว

      Unakosea ndugu kuwaita waislam wenzio makafiri mkamilifu niallah

    • @allyhamisi4709
      @allyhamisi4709 5 ปีที่แล้ว

      @@mwajumamashallah3122 kauli iyo cio mzur ww unaita watu mbwa

  • @asiahmagayane4021
    @asiahmagayane4021 5 ปีที่แล้ว

    huyu shekh bakhero ni mjinga wa din anachukua kripu za mashekh yeye ni jahiri pia khurafii

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallah