Kukosoa kuna msaada zaidi ya kusifia kila kitu, kiukweli song ni nzuri ila jamaa ni kama anapolomoka kuliko kupanda, najua mtasema nakosoa kati sijui kuimba ila mkumbuke ninaposifiaga hua hamsemi sijui kuimba
Haya ndio mabadiliko tunayo yataka wa chache ndio wataielewa hii ngoma acha wajinga waponde maana siwashangai sana kama Mungu tu anapingwa sembuse mo music, ngom@ kali sana kaka
Kama umeielewa hii ngoma gonga like.... Supporting good music.,
Uko poa kabisa
Brother mo hujawahi kukosea nakuaminia sana twende na like 💯 tu kwa ajili ya mo music
Moshiiiiii pasias tunaweza
Ile sana Mo Music Nilimc sana Voko Zako ,,umeua sana
Hii kali sana jamaa
Mo keep it up blooder kazi nzuri
Mbovuu hamna. Kityu hapa Kali ya mwixho n xkendo
Wangapiii wanatamaniii....CORONA...ISHEEE ........maana daaah wimbo huuu kalocation flaniii
Nomaaaaaaaa sanaaaa, Kama una mkubal mo gonga like hapa
bro wew ni superstar amini hvyo
Pamojaaaaa hatariiiiiiiiiiiiii song big up
Fyam sana bigman Kazi kali namba one fun from Kibera Nairobi Kenya
Brooo fundi sanaaa unajua sana
Hit after Hit 🔥🔥🔥Rockcity standup
Kukupeda sishagai ucar beautiful
Nzuri ila urudi kwa zile zama za basi nenda, skendo, Simama
Huyo Video Queen ni Demu wangu
Beat Kali sana aisee
Humu umenikuna kk good job
So sweet kama unatambua hii music
Kaka umeuwaaa 👿👿👿👿👿👿👿👿😈😈😈😈😈😈😈😈😈👹👏👊👏👏👏👏👏👊👊👏👏👊👊👏🤘
Sawa wanangu niliisubiri sanaaaa msalimie ado 🤗Beutyful iko
Mo music I love your music so much hunichoshi
hii ni hit nomah
Umetisha bro
Ngoma kali mno!!!!
Kukosoa kuna msaada zaidi ya kusifia kila kitu, kiukweli song ni nzuri ila jamaa ni kama anapolomoka kuliko kupanda, najua mtasema nakosoa kati sijui kuimba ila mkumbuke ninaposifiaga hua hamsemi sijui kuimba
Mtoto Sara ntakuchukua
Mo music umetulia sana
Hapo nimekuelewe . Mzee baba
Umeuwaa homeboi
Music nzima munashika nywele
Sawa kijana wa kwa mzee ntemi
Nice bro 💪💪💪💪
Iko pouw bro
Umetisha
The song vibe like from Majuu .....
Ngoma kalii mno
Yaah Its beautful song
Woooooow,,ngoma qaliiiiii kinouuuuma,,ifanyie promotion kwenye media kubwa,,jana nimeisikia #RFA,na #Kis-fm
Mo we mkaliiiiii saaaaana hakika unajua
Karii sana sana
Umetisha mo Mu
My love girl she is so much better than others lady’s 🤽🏼♀️🤽🏽♂️
Kazi nzuri ila na amini mo ni zaidi ya hichi ulicho kifanya kwenye ngoma hii Kuna uhai tunategemea uturudishie sisi fans wako kimziki
Nyimbo zako huwa zinaishi na zinatake hisia za watu,,kiukwel wew n miongon mwa wasanii ninaokubali ngoma zao
Kichupa kikali sana
Unyama mwing
Wow i love this song, keep it up bruh👍🏻, i got inspired in your video
Alokuandikia huo wimbo hajakupatia mo...mistari inajirudia tu
Nakuelew sanaaa
Kaka safi sana
pig up bro nakukubari sana.
Ngoma moto san bro🔥🔥🔥🔥
Ongeza juud, but sio mbay gud job
Good song mo music
Haya ndio mabadiliko tunayo yataka wa chache ndio wataielewa hii ngoma acha wajinga waponde maana siwashangai sana kama Mungu tu anapingwa sembuse mo music, ngom@ kali sana kaka
Unaweza mzeee baba mtooo
Mo music nilimkubali kitambo sana
Nice Song Bwana Moshi
Kizazi sana
Mzeee Moshiiii kaliiiiiii hiii💥💥💥 aise mama hussein yuko wapi
Kama unamkubali mo music gonga like zakutosha kwake
Bonge la ngoma
Nice tune mo
Moshi muzik 👐
Napenda hii beat iko poa sana
Ngoma kali ,ikikaa skion she's happy 🤣🤣🤣
🔥🔥🔥🔥👏
dah, zile ngoma za basi nenda na ntazoea ni kali sana, pitia style zile huku ni beat tyu ila sio kali
Yeah
Hatari sna beautiful 🔥
Makin
Huyu jamaa anajua sijuii shida iko api!!
Huyu jamaa ni Fundii asee Mziki anaujua
Umekua, umefanya unyama hongera sana
Badilisha bas vixen duuh nyimbo mbili huyo huyo😏
Unapotea sana tatizo
Push it mwanza 💯💯💯
Hata ado ni kubwa kuliko huu ujinga wa sasa au korona ndo imempa stresssss,,,,no need reply comment ,,,huu ni ukweli tosha wa mwishooooo
Hamna Ngoma Hapa ....Ubunifu Zero !! Na Saut Ishaanza Kupotea Mo Music Fanya Sana Mazoezi Mzee Baba !! Mistari Rahisi Sana
Fanya YAKO wewe mchawi fanya yako tuone
Mlole classic-254 me Mshabiki Sio Mwanamuziki...Relax Kijana maoni Yangu Hayo ,Kosoa Maoni Kwa Point
Uko real sio yule mo music wa skendo
@@einsteinmboje4730 wabongo ukimkosoa mtu kwa nia nzuri wao wanajua unamchukia
🤣🤣🤣🙌
Mo music sauti yako ni magnetic, tatizo ni style au muondoko haukuendana na wewe, pili mashairi yamekonda sana, ila hongera.
Mo music kiukweli unajuwa kuimba, ila tatizo unaachiya ngoma kwakuchelewa sn, but ngoja nikupe subscriber yg leo kwajilj yaiyi ngoma, 💥💥💥
Mo music pls tupe Mangoma Kwa ngoma Kali baba wewe tunakusain 👑 music
Nakuelewa Kinoma Brother Mo Music
Uko juu bro nimeipenda sana hio song 💞💞
NGoma Bamba mno
Ngoma Kali bro uxkate tamaa cha muhimu boresha mashairi yako yawe na mvuto xhda iliyopo ni mashairi hayan mvuto lkn chorus umeuaa
mo never dissapoints..much luv from kisumu county
Iko Sawa
Usjar kuus money takpa hata Sunday makin
Waohhh 🔥🔥🔥 nice voice and video too
Team kenya show some looooove
Come back ya kikubwa sana nawashangaa mnaotukana sikiliza wimbo toaa comment zenye tija huyu bwana anauwezo mkubwa wa kubadilika badilika
Ngoma kali sana Mo💪💪💪💪#MASANGULO
😁😁😁oyaa ado nimekuona humu
Goma kali Sana hili....💥💥💥💥💥
Next level
Umetisha babaa Ngoma Kali Sanaa naipenda Hadi naumwa🔥🔥
For my wife this song is so brilliant Melody and beat , thanks to production and director and the singer
Kukupenda sishangai lol very very very good
Br unajua nakubal bc n.a. we tuwekee vitu juu ya vitu tusipoe
Mo music ulikuwa wapi muda wote wewe
Nice song💣💥💥