Rias Ruto atoa onyo kwa naibu wake dhidi ya siasa ya kikabila

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Ruto: Tuache Siasa Za Ukabila
    Rais Ruto Akashifu Siasa Za Kuzua Mgawanyiko
    Ruto: Siasa Za Kimaeneo Hazifai Humu Nchini
    Rais: Naelewa Hatari Ya Siasa Ya Kugawanya Watu
    Rais Asema Siasa Zilizopo Zinatatiza Shughuli Za Maendeleo

ความคิดเห็น • 206

  • @yJe461
    @yJe461 4 หลายเดือนก่อน +45

    Kama mwana azimio kutoka central wacha nichukue popcorns hapa nione kakitamba😂

  • @Kingluther1612
    @Kingluther1612 4 หลายเดือนก่อน +22

    This fight is not about tribalism we know its about 2027 election.

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 4 หลายเดือนก่อน +36

    "Ruto ndiye "Mkabila" Mkubwa"!!!.

  • @suzanwang7654
    @suzanwang7654 4 หลายเดือนก่อน +10

    Na wewe ulifanyia Uhuru hivyo tangu 2018 mpaka 2022. Hata gachagua amechelewa .

  • @samirprince5782
    @samirprince5782 4 หลายเดือนก่อน +41

    Kila time ni mt Kenya... Kenya ni kubwa kuliko mt Kenya uliza ruto vile alifika hapo.

    • @JosephN3147
      @JosephN3147 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wacha zako,we are the one who are taxed more ,so lazima kitaeleweka

    • @JosephN3147
      @JosephN3147 4 หลายเดือนก่อน +1

      1 man one vote 1 shilling with no negotiation

    • @traceyjohnson3925
      @traceyjohnson3925 4 หลายเดือนก่อน

      Am glad Gachagua is exposing the lies of ruto, its about ruto abusing his power by ... over taxing the people who put him in statehouse.... billionaires for ruto...thousands for Gachagua.... RUTO GREED FOR EVERYTHING....sorry a worse than...MOI ERA GOVERNMENT...

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 4 หลายเดือนก่อน +3

      Mt Kenya Dio UTI wa mgogo Kenya my friend,,,

    • @norahk6587
      @norahk6587 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@JosephN3147ushenzi my friend ruto and gachagua are not kids to fall for media nonsense, we have not forgitten how you went to karua home...you wont succed to divide them, endeleeni kuhope mkimaliza mtatwambia

  • @RISINGFARM
    @RISINGFARM 4 หลายเดือนก่อน +37

    Appointments zako kwa msingi wa kikabila, unasahau ama😮😮😮

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 4 หลายเดือนก่อน

      Yaliyokua yaedelea time ya uhuru Dio haya,watu washaelewa ruto sio mtu waeza amini kabsa

    • @Patoh254Somie
      @Patoh254Somie 4 หลายเดือนก่อน

      Watu wagani?

  • @ericmuthui6549
    @ericmuthui6549 4 หลายเดือนก่อน +47

    It's now official where sudi is getting his orders from...

    • @nikkonicholas4541
      @nikkonicholas4541 4 หลายเดือนก่อน

      Vitina kama mama

    • @traceyjohnson3925
      @traceyjohnson3925 4 หลายเดือนก่อน

      Am glad Gachagua is exposing the lies of ruto, its about ruto abusing his power by ... over taxing the people who put him in statehouse.... billionaires for ruto...thousands for Gachagua.... RUTO GREED FOR EVERYTHING....sorry a worse than...MOI ERA GOVERNMENT...

    • @reubenabugah2137
      @reubenabugah2137 4 หลายเดือนก่อน

      Saa ii ndio umejua

  • @paulsiro1775
    @paulsiro1775 4 หลายเดือนก่อน +15

    Gachagua anafanyiwa ile kitu 😊

  • @jairuscr7310
    @jairuscr7310 4 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa nini sasa umeongea hapo ambacho kina maana kwa wakenya, gachagwa usirudi nyuma endea na mt mlima wako ,ok

  • @margaretgathungu5897
    @margaretgathungu5897 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa makanisa za western ndio zitapokea pesa Sasa central mjipange.kimewaramba

  • @JosephNdungu-fe8rr
    @JosephNdungu-fe8rr 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ruto planted rebellion let him harvest rebellion.He was disloyal to Uhuru it is time to harvest his what he planted .malipo ni hapa hapa duniani tu.

  • @josephkanyi6232
    @josephkanyi6232 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto my president you failed us as your citizen cos you promised to give us good life and leadership why have you changed ??

  • @margaretmutheu8331
    @margaretmutheu8331 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli malipo n hapa hapa Duniani wat goes round comes round katambe letu jicho😳😳😳🫣

  • @roseneema3427
    @roseneema3427 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mtakoma kusema mkikuyu akikutana na mwingne ni ukabila na kabila zingne zikikutana sio ukabila nyinyi ndio mko na ukabila ,muache kabisaaa🎉🎉

  • @dennisruto1411
    @dennisruto1411 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tribes zingine tuame South Sudan na wengine waende UG and Tz.Tuajie Mt. Kenya kenya yao

  • @dickensojiambo275
    @dickensojiambo275 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gathietha hii ni vita yako jipange bro road to 2027 is slippery

  • @markbanks1783
    @markbanks1783 4 หลายเดือนก่อน +12

    😂😂😂😂 Gachagua wa mashares

  • @johnkariithi6685
    @johnkariithi6685 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto amejiharibia 2027 ni kalonzo

  • @rihkaa6289
    @rihkaa6289 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mnataka tuwe na umoja na nyinyi wenyewe hampatani,, mnataka umoja utoke wapi,,

  • @agneskarambu2849
    @agneskarambu2849 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha kiwarambe mlifurahia uhuru alipokuwa akitukanwa .

  • @margaretgathungu5897
    @margaretgathungu5897 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makanisa yanapokea pesa zilizo na unajizi

  • @georgesagwe6703
    @georgesagwe6703 4 หลายเดือนก่อน +8

    Are you taking us back to 2007

  • @Kingluther1612
    @Kingluther1612 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ruto shld also walk the talk. His appointments sometimes back was all tribal and there was an uproar.

  • @georgeodhiambo2118
    @georgeodhiambo2118 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kumira Kumira ya Wakikuyu. 😂😂😂😂😂😂

  • @kinggs-pb9vd
    @kinggs-pb9vd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maendeleo ganikuna Giza Giza kubwa

  • @nziokawambua8026
    @nziokawambua8026 4 หลายเดือนก่อน +9

    Wao wenyewe wamejaza ukabila.. ni lini mlisikia UDA government ukambani... Ama zile area hawakujanguliwa??

    • @AzimioWalianguka
      @AzimioWalianguka 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe nyamaza si Melon alianguka interview????

    • @nikkonicholas4541
      @nikkonicholas4541 4 หลายเดือนก่อน

      Melon aliangusha ukambani,,,siunajua ata melon anazunguka ukambani tu kama Riggy G

    • @Mohammadbora-cd6jg
      @Mohammadbora-cd6jg 4 หลายเดือนก่อน

      Hta coast mm cjackia, huko garissa na mandera ,UDA n western na mlima

    • @tabithakomoni3736
      @tabithakomoni3736 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kujanguliwa😂ni kuchaguliwa😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      @@tabithakomoni3736kujanguliwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @malcomketer8262
    @malcomketer8262 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ruto jiuzulu mkubwa ..hakuna maendeleo ata kidogo umeanzisha

  • @rosemarykagwiria2135
    @rosemarykagwiria2135 3 หลายเดือนก่อน +1

    President Ruto didn't mention the name Gachagua

  • @zacharyabuga9317
    @zacharyabuga9317 4 หลายเดือนก่อน +3

    He thrived in divisive politics and played the tribal card....why not let others do the same?

  • @GordonKhan-e7k
    @GordonKhan-e7k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Africa don't need no puppet president... Haitian people have the right to choose they own president God bless haiti

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 mbona mnachana haraka hivyo,wah! Hata hamungoji wenye wivu wajinyonge?😂... sijapendra Kwa kwel

    • @OfficialKayla-x2v
      @OfficialKayla-x2v 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @HecProman
      @HecProman 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @evanskirangi4664
      @evanskirangi4664 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂Wenye wivu wajinyonge.... Ya wizi haisaidii dugu. Let them call Carmago to show them how to run the govt. He helped them to win, but they knew not how to run a govt.

    • @mahmoodmohammed1679
      @mahmoodmohammed1679 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@evanskirangi4664 nimeshangaa,ata wenye wivu hawajajinyonga bado😀

  • @JudithWambui-x4b
    @JudithWambui-x4b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani wakikuyu wakikutana ndio ukabila God help Mt kenya.mkitaka Kenya yeti ikue na umoja shule watoe mashomo ya bure ndio wakenya wote watoshane. God bless Kenya ❤

  • @amedeogikonye4694
    @amedeogikonye4694 3 หลายเดือนก่อน +1

    That is exactly what he did against Uhuru.

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangulize MUNGU Kwa kila jambo yote yatabaki historia

  • @Sautinasababu
    @Sautinasababu 3 หลายเดือนก่อน +1

    This Kenya we have come from far in terms of politics

  • @joysabena5879
    @joysabena5879 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mwenyewe ni mkabila Sana,sasa umepata door mat mpya,umesahau yenye ulipanguzia Jana, mountain is never the same again,u will not like it,2027

    • @obungafelistas960
      @obungafelistas960 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu ataiba tu kura vile aliiba.

  • @isaacnderitu8664
    @isaacnderitu8664 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mt Kenya tukiungana ni ukabira😂😂😂😂

  • @USAIDforRichardMooresAgency
    @USAIDforRichardMooresAgency 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto Please Teach Samia Suluhu of British student to stop OMBA OMBA everywhere ✌️

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JuliusOkoyo-s5u
    @JuliusOkoyo-s5u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni kinaya ruto mwenyewe ni mkabila sana amesahau na appointment zake

    • @geoffreykoech56
      @geoffreykoech56 2 หลายเดือนก่อน

      Having eyes doesnt cost i think wewe mwenyewe ndo uko na kasumba

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ukabila upo kila siku so lazima watu wote watetee ukabila wao

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wakenya wanateseka juu yenu,lazima muende

  • @stephengithinji6272
    @stephengithinji6272 4 หลายเดือนก่อน +20

    Worse than Moi

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 4 หลายเดือนก่อน

      Truth be said BT katiba sio ya time ya moi,

  • @NicodemusShisiah-vf5ti
    @NicodemusShisiah-vf5ti 3 หลายเดือนก่อน +1

    Barabara telezi for me

  • @nyamasyosila3742
    @nyamasyosila3742 3 หลายเดือนก่อน +1

    We as Azimio,we are quite happy😂😂

  • @OnesmusChogo-oi8wv
    @OnesmusChogo-oi8wv 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo mkisemakenyanimoja uongohuo achenikupotosha watu sikumoja mutajuaukweli niupi tumechokatumechoka wapwani

  • @marybuteka2376
    @marybuteka2376 3 หลายเดือนก่อน

    Gachagua aajaribu kuonyesha wakenya how huster should be 😂😂😂

  • @endichetv6162
    @endichetv6162 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto ni prezzo relax

  • @accabmareeba4614
    @accabmareeba4614 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ofcourse selfish,corrupt tribal thieves can never stay together long.

  • @chegepatrick2730
    @chegepatrick2730 4 หลายเดือนก่อน +1

    200 millions wakenya wakikufa then wanabomolewa makao for sure niko na kura moja but lazima nitoe team mafisi

  • @mohammadkhader1997
    @mohammadkhader1997 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kimeumana😂

  • @AlexanderOtwane
    @AlexanderOtwane 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu akiangalia mt.kenya na je! Sisi wateso rais gomesha kabisha?

  • @jumambigo5829
    @jumambigo5829 4 หลายเดือนก่อน

    Wakati uhuru alikuwa rais si wewe ulijitenga naye na ukaanza kampeni za mapema na ukavuruga umoja wa serikali? Ngoja nawe ufanyiwe vivyo hivyo.. malipo ni hapa duniani

  • @sizmaggymaggy5677
    @sizmaggymaggy5677 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe kindiki ùngane na gasaguwa kama atandefe

  • @sizmaggymaggy5677
    @sizmaggymaggy5677 3 หลายเดือนก่อน

    Mikutano wewe ulikuwa ukivanya ziyaxa washa tunjitege

  • @georgengugi5197
    @georgengugi5197 4 หลายเดือนก่อน

    Hatubaduki tuko nyuma ya Gachagua...kama baya wacha ikue baya ...hakuna kugawanywa

  • @melchizedeknyarora2490
    @melchizedeknyarora2490 4 หลายเดือนก่อน

    It's not possible to pray away prophecy. The only way to deal with negative prophecy is to change our ways and humble ourselves before God and turn away feom our wicked ways...This is the answers. The God will hear and will forgive our sins and heal Kenya 2ch.7.14.KJV

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 4 หลายเดือนก่อน

    Ruto is tribal leader and he knows that very well.....if u know u know

  • @FardowsaAdan-b6g
    @FardowsaAdan-b6g 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna tribalism ni hypocrisy tu just diverting kenyans attention rather than main agenda za gen-z.... That cheap politics of ruto & dp we dnt give dumb ears... Concentrate on gen-z demands...

  • @kinggs-pb9vd
    @kinggs-pb9vd 3 หลายเดือนก่อน

    Mlima unajipanga ruto tulia ulitesa uhuru ata wewe onja hiyo

  • @MaryAyeta
    @MaryAyeta 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa mungu yuko nisi piya nawewe❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @EricLyunga
    @EricLyunga 3 หลายเดือนก่อน

    Mr president sauti yako ni tamu but matendo haiko

  • @melchizedeknyarora2490
    @melchizedeknyarora2490 4 หลายเดือนก่อน

    Kenya is made up of many tribes which make up Kenya. What is bad is tribalism and tribalistic tendencies that end up marginalizing smaller tribes. The Leadership structure ought to respect the order already established and let the Top executive be respected. Divergence of opinion is relative and should bring people together. Kenyans are watching. People should respect DP .Mengine tujenge Kenya.

  • @augustinombugua6814
    @augustinombugua6814 3 หลายเดือนก่อน

    The ground in mt.kenya is very shaky and slippery solely for one genuine reason; the clique in leadership can't and don't want to listen to the wailing masses due to over taxation. Yet the worst is to come via this years financial bill. How can one proper thinking person place Githunguri above Kericho in ranking townships? Or molo town above Bomet? Is it logical in any sense?

  • @steve.m224
    @steve.m224 4 หลายเดือนก่อน

    Mkabila ni Ruto,tuanze na wafanyakazi wale ameandika kazi😅.

  • @MukhebiMusenalai
    @MukhebiMusenalai 3 หลายเดือนก่อน

    Fahali wawil wakipigana nyasi ndizo huumia

  • @MukhebiMusenalai
    @MukhebiMusenalai 3 หลายเดือนก่อน

    Fahali wawil wakipigana nyasi ndizo huumia

  • @Elibuk
    @Elibuk 3 หลายเดือนก่อน

    😂Ruto first disso lve this government because you made it full of tribal appointments in ps and other state jobs then I will believe you kalenjins occupy most of state jobs

  • @margaretgathungu5897
    @margaretgathungu5897 4 หลายเดือนก่อน

    This is what Ruto has been doing to Uhuru .He campaigned for the last five years. Or churches in central know it better . they are the easiest catch.Untill Uhuru had no choice but to take the military to building Kenya.

  • @dolvanmwagogo5341
    @dolvanmwagogo5341 2 หลายเดือนก่อน

    Mr ruto ahadi ni deni na kama hulipi utadaiwa ata kama ni mtu kutumia nguvu

  • @ericksonssungu9420
    @ericksonssungu9420 4 หลายเดือนก่อน +1

    I love how its boiling between Ruto and Gachagua, and soon they'll start burning each other 😂😂😂😂

  • @AmazingM550
    @AmazingM550 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni sawaaa Bosi wetu

  • @hajjiayanle
    @hajjiayanle 4 หลายเดือนก่อน

    This people are diverting our attention from finace bill achene drama

  • @mr.bonface
    @mr.bonface 4 หลายเดือนก่อน +5

    The rift has begun

  • @samjuma4207
    @samjuma4207 4 หลายเดือนก่อน

    Angalia waluhya sasa wanadanganywa na wauwaji

  • @Ericjunior7656
    @Ericjunior7656 4 หลายเดือนก่อน

    Both are tribal leaders.. don't be cheated with lip service..

  • @WaithakaNdungu
    @WaithakaNdungu 3 หลายเดือนก่อน

    Elections is about Majorities win and voters who are the shareholders in the Election Process have interests and identities rooted in families, tribes, regions, counties and religions and it is the role of the Politicians and those seeking electoral votes to influence voters in whatever legal manner they can mobilize voters in their support, from family grass roots, tribal nations or regional support. Africa has African Union , Europe has European Union . Unity among people to spearhead their regional or community agenda is not evil or illegal and the Majority will always prevail against the minority. politics is a Chessboard game, Make your move.

  • @davieskiplagat5400
    @davieskiplagat5400 4 หลายเดือนก่อน

    You did the same during Uhuru's regime 6 years ago. Don't forget

  • @dedanmwaura1590
    @dedanmwaura1590 3 หลายเดือนก่อน

    Gachagua is boring. I don't support his stand on tribal politics.

  • @erickjuma7643
    @erickjuma7643 4 หลายเดือนก่อน +9

    Why can't he just be bold enough and tell his deputy without sugar coating? It means he's playing safe and therefore not honest

  • @charlesmbogo7025
    @charlesmbogo7025 3 หลายเดือนก่อน

    Makanisa hupokea pesa za laana tupu

  • @susannyambura3759
    @susannyambura3759 4 หลายเดือนก่อน

    Endelea na ziara haujui sisi ni akina nani siasa za mapema vile ilifanya uhuru 😂😂😂😂😂

  • @patrickmwanziamutua2410
    @patrickmwanziamutua2410 3 หลายเดือนก่อน

    Just maintain security, is the only thing you can offer to us for remaining period before going home

  • @abdistarmohamed
    @abdistarmohamed 4 หลายเดือนก่อน

    What goes around comes around.

  • @asapkidda6247
    @asapkidda6247 4 หลายเดือนก่อน

    Ati ukabila na 2007 they killed our people. Mongiki lazma iamkee

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 3 หลายเดือนก่อน

    Well said mheshimiwa rais

  • @evanskiumo2470
    @evanskiumo2470 3 หลายเดือนก่อน

    Zakayo lazima ashuke

  • @AMSDriver2
    @AMSDriver2 3 หลายเดือนก่อน

    Luk at who's talking about tribalism he's the most tribal man on earth

  • @austinkamau7134
    @austinkamau7134 4 หลายเดือนก่อน

    U did same to prezo uhuru .what goes around come around ruto it z u turn

  • @EstheyNyaboke
    @EstheyNyaboke 3 หลายเดือนก่อน

    ruto uko kenya wewe 😅😅

  • @jacksondehenry8280
    @jacksondehenry8280 4 หลายเดือนก่อน +2

    Enyewe ni Rias na yeye ndio ametangulia

    • @Kibiro-tt6ch
      @Kibiro-tt6ch 4 หลายเดือนก่อน

      ume ona Citizen tv

  • @mujiduvictor7668
    @mujiduvictor7668 4 หลายเดือนก่อน

    Mudavadi is booed in Western because he has nothing he's contributing

  • @saidhashi2856
    @saidhashi2856 4 หลายเดือนก่อน +1

    UDA house is burning, si eti tunawatabiria giza bali mko gizani tayari
    🤔

    • @AngelaTheuri
      @AngelaTheuri 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli Kuna Giza totoro

  • @JeremiahMwasya
    @JeremiahMwasya 3 หลายเดือนก่อน

    Aki ruto aogope Mungu aliye juu sana aki Mungu ni mkuu kuliko hii Dunia Kuna watu wanaumia

    • @JeremiahMwasya
      @JeremiahMwasya 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu inaedelea Kenya ubaya tu wizi Dio mwingi ata tukioba aje ubaya unatoka juu sio chini

  • @Karolk-wt8ib
    @Karolk-wt8ib 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ukabila ni kitu mbaya sana

  • @NjugunaDinos
    @NjugunaDinos 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kwani ukifukuza wakikuyu kwa maofisi yaserikali

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 3 หลายเดือนก่อน

    Wote waende.

  • @samsonmuisyo6990
    @samsonmuisyo6990 4 หลายเดือนก่อน

    Mudavadi is clueless and confused.

  • @DancunChege
    @DancunChege 3 หลายเดือนก่อน

    Zakayo shuka

  • @CollinsAludah
    @CollinsAludah 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni card

  • @geraldmuthaiga8669
    @geraldmuthaiga8669 4 หลายเดือนก่อน

    This time kitaeleweka...one man,one vote,one shilling