🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • 🔴#LIVE: ZUCHU NDANI YA MASHAMSHAM/PENZINI NA DIAMOND (02 FEB 2022)
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 409

  • @nasmamaulid5567
    @nasmamaulid5567 2 ปีที่แล้ว +73

    Km unampend zuchu km nvyompend mim dondosha like yko hapa

  • @onesmomushi7234
    @onesmomushi7234 2 ปีที่แล้ว +39

    Hii Nipepee alivyoiimba Zuchu ni zaidi hata ya mwenye nayo!
    Such a lovely girl!❤️❤️

  • @yustayusuph9101
    @yustayusuph9101 ปีที่แล้ว +10

    Zuchu mjanja mno amemtumia diamond message akamwambia nikikupigia cm usipokee nipo na kina juma lokole wameniambia nikupigie cm, wanamashamsham bana kwa umbea hawajambo 😀😀 wanamuweka mtu kati mpaka anajikuta ameingia mkenge, mara ya kwanza zuchu alikomaa cm amepigiwa na mama yake 😀😀 wamemtega mara ya pili amejisahau amejikuta akisema ni kweli diamond ndio alipiga anataka ahakikishe kuwa alifika salama kwenye interview 😀😀💪, juma lokole, dida na idris kitaa ni wambea kisha wambea tena khaaa!

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 2 ปีที่แล้ว +6

    Nampenda zuchu sana🥰

  • @muh4225
    @muh4225 2 ปีที่แล้ว +15

    Yan huyu mwanamke ukimuon anaimba mwengin kbs anamiujiza acha bana....wish u all the best

  • @nairasinghraichand5316
    @nairasinghraichand5316 2 ปีที่แล้ว +8

    I am really happy for you zuhura darling and i can't wait for 14/02/2022

  • @SheilaPhone
    @SheilaPhone 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kama uko hapa 2024 gonga like

  • @emilywangui
    @emilywangui 2 ปีที่แล้ว +21

    Representing from kenya 🇰🇪

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 2 ปีที่แล้ว +8

    Zuhura 🔥❤️❤️❤️

  • @josephanthony2203
    @josephanthony2203 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda zuchu

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 ปีที่แล้ว +16

    Da dida eti mond ana mapenzi ya pipi pipi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda sana

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 2 ปีที่แล้ว +19

    Kazuri sana ka zuchuuu

  • @RuthMakana-d5n
    @RuthMakana-d5n ปีที่แล้ว

    I love you so much zuchu

  • @ayanehope7820
    @ayanehope7820 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimefurahi sana wangu. Zuchu hongera saaaaana wangu

  • @lhb2062
    @lhb2062 2 ปีที่แล้ว +3

    Wawooo!!!Zuchu ongela

  • @laurentelia3048
    @laurentelia3048 2 ปีที่แล้ว +7

    Jumaa lokolee ✨🔥🔥

  • @malaika4158
    @malaika4158 2 ปีที่แล้ว +2

    Respect to Zuchi!
    Mjaja sana.

  • @marieassoumani5143
    @marieassoumani5143 2 ปีที่แล้ว +8

    Toutes mes félicitations 😘

  • @hellenpaul9671
    @hellenpaul9671 2 ปีที่แล้ว +5

    Wow! Tutasubiria kwa hamu

  • @saidbwanaalimwanaharakati7508
    @saidbwanaalimwanaharakati7508 2 ปีที่แล้ว +6

    Zuchu plz tell us the truth and nothing but the truth...

  • @حسنيهاحمد-ل5ه
    @حسنيهاحمد-ل5ه 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda zuchu

  • @fatumakiure6152
    @fatumakiure6152 2 ปีที่แล้ว +2

    Muuulizen mbonaa kaweka wallpaper ya picha ya mondii

  • @shaldoky9382
    @shaldoky9382 2 ปีที่แล้ว +8

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jescangwaya9885
    @jescangwaya9885 2 ปีที่แล้ว +4

    Hawa walijua kila kitu mbona Wana T-shirt za mahaba ndindindi na screen inaonyesha mahaba ndindindi.

    • @dairyhairy6269
      @dairyhairy6269 2 ปีที่แล้ว

      Inaonekana hufatilii wasafi tv

  • @basticakombo9073
    @basticakombo9073 2 ปีที่แล้ว +3

    mwenye macho na maskio asingojee kuona wala kuambiwa daah!!!!!!

  • @mwanakombosaid6081
    @mwanakombosaid6081 2 ปีที่แล้ว +6

    Na wanaoangalia online live nao zawadi zao gani😂😂😂

  • @sultanaswaleh4708
    @sultanaswaleh4708 2 ปีที่แล้ว +3

    Waiuoiyoo ! Waiyoooooooo.👋👋👋❤❤❤❤❤🇰🇪

  • @danielkijo3219
    @danielkijo3219 2 ปีที่แล้ว

    Good interview

  • @sadiabuno8661
    @sadiabuno8661 2 ปีที่แล้ว +1

    Are we Kenyans invited too and how much is da entrance fee? Wanna celebrate dis day wid you guys. Nangoja jawabu toka kwenu ili nijipange mapema

  • @govintwaha1700
    @govintwaha1700 2 ปีที่แล้ว +3

    Juma wewe uko namba1 kwa kuzugumza ni kipaji uliyo pewa na mungu sio wale wa Aristote na mwijaku awa hawajue kitu hawana kipaji wanajitaftia mlo tu wewe level yako Ni ya hadji manara

  • @antonydado4263
    @antonydado4263 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @pongezielisha2268
    @pongezielisha2268 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunamtaka ray kwa interview jmn

  • @le_tifa6987
    @le_tifa6987 2 ปีที่แล้ว

    Nauliza sasa wasafi radio huwa haichezi nyimbo za walio maadui wa diamond? Ni swali tu

  • @saidamsami508
    @saidamsami508 2 ปีที่แล้ว +7

    Manguliii wa lokole kama nawaona wanvyoangalia hii interview kwa kusonya

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 2 ปีที่แล้ว +4

    🙏🙏🙏🙏🙏shemu zuchu

  • @mwasinayebakari9243
    @mwasinayebakari9243 2 ปีที่แล้ว

    Masha alaah , lakini ndoa yako ni lini

  • @happyrichard3188
    @happyrichard3188 2 ปีที่แล้ว +2

    Didah bhana ety unakohoakohoa nn jamaney 😂🙌

  • @rehemaben1937
    @rehemaben1937 2 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @nadhifamussa8520
    @nadhifamussa8520 2 ปีที่แล้ว

    Mahaba ndindindi

  • @aishaally1788
    @aishaally1788 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiingilio bei gan

  • @timesaleh6756
    @timesaleh6756 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda jmn

  • @marthadanielgethro6216
    @marthadanielgethro6216 2 ปีที่แล้ว +2

    Nawakaribisha kwangu kula ao dagaa wa Mwanza nina uhakika utawapenda ni watamu mno we Dida itakuwa umeenda kule kwetu Tanga huwa hawatoagi vichwa kwa sababu wanahofia mboga kupungua

  • @fhfbfhff9206
    @fhfbfhff9206 2 ปีที่แล้ว

    Nawaombea Mungu awakalie heri muoane wambea wafunge midomo yao

  • @michaellazaro7874
    @michaellazaro7874 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaa dida umenishinda😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ismailfakiissa3187
    @ismailfakiissa3187 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakutakia safari njema ya upendo kati yako na simba was tandale .*****

  • @toomaaloufi6221
    @toomaaloufi6221 2 ปีที่แล้ว

    Mnampatisha tabu tu huyo omar kopa mnazidi kumuumiza huko

  • @lingualaddictja
    @lingualaddictja 2 ปีที่แล้ว +9

    ZUCHU NI MREMBO SANA, SANA MREMBO NA HOT KAMA MOTO..... Diamond platnumz ubarikiwe na Zuchu, umebarikiwa.

  • @JohnJuma
    @JohnJuma 2 ปีที่แล้ว +25

    Zari alimwacha Diamond siku ya Valentine, na akapata kipusa yaani true LOVE siku ya Valentine! Jamani Mungu si Athumani!!

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongeraa zuchu umeimba vizur nyimbo ya Kaka yako jaman Mungu amrehem uko aliko

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 2 ปีที่แล้ว +28

    Ushauri wangu kwa wale wanaosema zuchu sijui mbaya sijui sio mzuri munakosea sana…Mimi kama mwanamume naangalia tabia kwa mwanamke sio uzuri wake!!!Wanawake wengi wazuri ni vichechee hawana maana!!!Kama ni kweli all the best Simba na Zuchu!!👍🏻

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w 2 ปีที่แล้ว +2

      Chicharito Ronaldo well done u said it that's true

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwelii

    • @sultanaswaleh4708
      @sultanaswaleh4708 2 ปีที่แล้ว +5

      Hao wazuri walikuwa ni makombo. Hapa diamond ame pata KITU KIBICHI NA CHAKIPEKEE...TENA MSTAARABU. LOVE YOU MY DAUGHTER..ILA NAOMBA MUNGU ! HIYO SIKU ITANGULIZWE NA (NIKHA ) NDOWA.KWANZA..NAWA TAKIYA KULA LA KHEIR
      ..AMEEEEEEN !!!!!!💕💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @nasserbreik2894
      @nasserbreik2894 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani uzuri ndio waeka mume?wangapi noorul aini hawana waume.....wajue tu roho iridhikapo ...hatua hufunguka

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 9 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni kweli tena kwa asilimia 100, mbona dalili zote zinaonyesha diamond ndio mpenzi wake ingawa hataki kukubali

  • @JohnJuma
    @JohnJuma 2 ปีที่แล้ว +30

    Hata mimi vilevile namuunga Juma Lokole mkono, Diamond amuoe huyu binti wa Zanzibar. Tumemkubali Zuhura.

    • @Fx_expertmoneymaker001
      @Fx_expertmoneymaker001 2 ปีที่แล้ว +1

      Hyo ndoa idumu tu maana...

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 ปีที่แล้ว

      Sio wewe yan mimi napenda mno kuona diamond platnams anamuoa zuchu wanaendana mno kiukweli tena kwa kila kitu, kaz,i dini, umri na juhudi za kufanya kazi, diamond platnams ni mswahili na zuchu ni mswahili pia nyota zao ni kali mno , zuchu ni mwanamke wa kawaida sana sio beautiful kiivyo na mondi ni mwanaume wa kawaida sana sio handsome kiivyo 👌yan ukisikia utampata wa kufanana nae ndio hii sasa mondi na zuchu wanaendana mno 💪

  • @mwanaherimo9462
    @mwanaherimo9462 2 ปีที่แล้ว +14

    Juma aongezewe mshahara jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Blesseddaughter95
    @Blesseddaughter95 2 ปีที่แล้ว +23

    Interview yakueleweka hii nmeipenda. Congratulations zuchu

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 2 ปีที่แล้ว +12

    Dahhh diamond platnumz kuswali hapo na ibada apo sasa zuchu ukimpinda huyo jamaa pepo yako sio simba hahaha 😀😀😀 mashamsham on trending #5 🇺🇸 kenya 🇰🇪#1

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 ปีที่แล้ว +32

    Sina ushabiki upande wowite, lkn Diamond atafanya mazuri sana kama atamuoa Zuchu, ana vitu vingi sana ambavyo wanashahabiana, na wakiwa pamoja its a very great future

  • @sarahnuru2575
    @sarahnuru2575 2 ปีที่แล้ว +12

    Interview kali sana 🤪🤣

  • @hidayanassor9675
    @hidayanassor9675 2 ปีที่แล้ว +28

    Mashamsham yaleo nmeipenda htr 😂😂😂🤗😍mi nataman zuchu aolewe kwer

  • @omegajacob1299
    @omegajacob1299 2 ปีที่แล้ว +41

    Napenda zuchu anavyocheka jmniiiiii kanacheka vizur sana

  • @nonootnonot4516
    @nonootnonot4516 2 ปีที่แล้ว +8

    Naona zuchu mshamsham mashaa allh iwe kher hata bwana simba ache kuchebuka umutulize. Nimekupeda bure zuchu bwana simba kakuchagua love so mach💞💞

  • @fatmaaahmad561
    @fatmaaahmad561 2 ปีที่แล้ว +4

    Sjawahi kucoment mambo kama haya ila ntafrahi zuchu ukiolewa na diamond

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 2 ปีที่แล้ว +3

    Aliyemuona didah ana kijisauti cha umbea tujuane,
    Penda cn didah,😘😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😁

  • @georgesjamessamwel2687
    @georgesjamessamwel2687 2 ปีที่แล้ว +18

    Tunamtaka Rayvanny kwenye Interview jamani

  • @peterlukose3987
    @peterlukose3987 2 ปีที่แล้ว +1

    hhaahahaahahaha zuchu hapo umekamatikaa lazima utasema yote.umekutana na dida na juma lokoleee.hahahahahhaaha umeishaa juma lokole mdaaakuuuu kinomaa.mbona utasema yoteeee??? hahahahaha interview bombaa nimeipendaa sana.Wewe ndo wifii bhana wa wcb.hahahaha hapana.chezeaaaaaa👍👍👍👍👍💔💝💘💘💘.Weee zuchuuùuuuuuu weweeeeeeeee

  • @wonderstylish
    @wonderstylish 2 ปีที่แล้ว +13

    Nimepigia jibu mstari jamani Dai anapendwa💚❤️🙌mistari tuu unadata daah♥️🙌📌📌📌📌nipin jamani Marshall ah

  • @DeejaySelektah
    @DeejaySelektah 2 ปีที่แล้ว +46

    I just love Zuchu.....shabiki kutoka Kenya💯❤💛💚

  • @WivianRich
    @WivianRich 2 ปีที่แล้ว +5

    Body ya ricadomomo Kama ya chibu kweli Ni Nyange family, ka zuchu kametuliaa bi Harusi na vimeno vyake vizuriiii

  • @abelimtega6223
    @abelimtega6223 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimetoka ludewa ila zuchu namfaham toka alivozaliwa

  • @maulidmalungo8133
    @maulidmalungo8133 2 ปีที่แล้ว +14

    Cydinho salio ngoma kali Sana ya mazaramo wa malui...
    Nmeinjoi sana hongera dj 👏👏👏🤣🤣🤣

  • @shishichocolate140
    @shishichocolate140 2 ปีที่แล้ว +10

    Jamani nampenda zuchu,akiolewa na Chibu D ntakuwa na mahaba ndi ndi ndi na couple yao

  • @halimaomarimangi9861
    @halimaomarimangi9861 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hawa sio kwa umbea huu. Zuchu umekamatika. Ila nawapenda woote hapo

  • @zenabibie5033
    @zenabibie5033 2 ปีที่แล้ว +13

    Aallah awasimamiye mtoto wetu uolewe much love from kenya

  • @smallvaldez6576
    @smallvaldez6576 2 ปีที่แล้ว +16

    Jamani WEMA SEPETU hatajiskia aje harusi ipo kwa kweli daaah tutabaki midomo wazi 😊😊😊😊😁

    • @smallvaldez6576
      @smallvaldez6576 2 ปีที่แล้ว +1

      Zari jamani atajikojolea haswa 🤣🤣🤣🤣🤣 pressure mbaka 400

    • @rayanndizeyes3161
      @rayanndizeyes3161 2 ปีที่แล้ว

      Bado sana

    • @rayanndizeyes3161
      @rayanndizeyes3161 2 ปีที่แล้ว

      Kwani zari hakojowagi????kwa zuchu jo ataaza jikojoleya😂😂😂😂

    • @smallvaldez6576
      @smallvaldez6576 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rayanndizeyes3161 ebu ulienda shule jamani hujui hata kuandika jamani naskia raha sana zuchu kawashinda wote 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 ปีที่แล้ว +1

      @@smallvaldez6576 izi nikiki tu hawa wanatuchuza tu😆

  • @fathymosscooking6755
    @fathymosscooking6755 2 ปีที่แล้ว +2

    Zhuchu nimwanamke hana uzuri wazaidi ina kajaliwa kipaji awowote walizana na mondi hawana
    Kumuowa mwanamke sio uzuri bali tabia na mwenendo wake ndio bilimfanya mondi anaswe nahakuna camitishamba zhuchu anasifa zote zakuwa mke anafaa kbs sema mondi ashukuru Allah kupata jiko kama hilo lenye manuufa

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 2 ปีที่แล้ว +16

    sema hawa wcb hawana mpinzani kwa kazi ya kupromote concert

  • @beatriceochanda8516
    @beatriceochanda8516 2 ปีที่แล้ว +4

    You look Lovely Zuchu

  • @nataliahenry8469
    @nataliahenry8469 2 ปีที่แล้ว +16

    I love you all but this looks like drama🌚

    • @evansmadara
      @evansmadara 2 ปีที่แล้ว +2

      If this is true, it will still end in tears and a new motivational speaker will be born.

  • @STACY_KENYA
    @STACY_KENYA 2 ปีที่แล้ว +14

    As long as Diamond is not going to hurt her ,juu all other women in his life they had it all just like ZUCHU..and it's a pitty if this happens dua Mungu awalete pamoja na wa dumu milele. ❤️

    • @wyclfmambo5753
      @wyclfmambo5753 2 ปีที่แล้ว

      I feel that way too.But they are both Muslims and they are aloud to marry more than one woman so I think diamond is not after uaminifu and he is so successful yani wacha tuone coz to me zuchu is soo enoccent bora huu jamaa asimcheze.🇰🇪

  • @TheRock-wo6mx
    @TheRock-wo6mx 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtoto wakike amezama kwa mapenzi na chibu dangote akawa mpole ila tu usije ukasahau ku invest ukawa kama akina dona, sepeto,mobeto owoya,zari tumia akili sawa sawa simba nitajiri siku ukitemwa uanze kulia mtandaoni babe girl

  • @nurumutiojameskhankhanjame7337
    @nurumutiojameskhankhanjame7337 2 ปีที่แล้ว +26

    Nakupenda Sana didaa zuchu Leo amefunguka vzuri tumekuelewa chomboo cha simbaaa😘😘❤️❤️❤️❤️😍😍

  • @TheDreamFamily0
    @TheDreamFamily0 2 ปีที่แล้ว +15

    Nyinyi munajua kazi kweri waswahili 😳🤗

  • @mauzoadolphe4176
    @mauzoadolphe4176 2 ปีที่แล้ว +7

    Hinapendeza sana hiyo wakihowana hiyo kapo hitsfurahisha sana nahutwa ADOLPHE WILONDJA nikiwa merekani.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 ปีที่แล้ว +3

    Zuchu anawivu haijawahi tokea ktk wanawake wa Mondi. Hii sasa na Jay zee na Beyonce tunaishuhudia bongo ktk utawala wa simba

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 ปีที่แล้ว +7

    Nataman iwe kwel Mana naona wanaendana Kabisa 😍😍😍😍

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 ปีที่แล้ว +11

    Bando langu limeenda kihalali kabisa

  • @marymushi4239
    @marymushi4239 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahi Sana Kwa zuchu na diamond naomba Mwenyenzi awajalie jmn.

  • @thenewbykrew
    @thenewbykrew 2 ปีที่แล้ว +6

    @wasafi TV... @Zuchu ...its time for you to make a debut on International stage...We need to see you selling tickets at the O2 arena...you are East Africans most talented female artist.Time to believe in yourself and take that step...Let's get to serious work.Do some collaborations with famous Nigerian artists,just get out there please.❤❤❤🙏🏼🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @issanicholaus3315
    @issanicholaus3315 2 ปีที่แล้ว +8

    Oyaaah mondi anakanyaga huyu demu akiyamungu wallahih mtoto confidence anayo ya kutosha yaaanih

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 ปีที่แล้ว

      Kabisa yani mtu hata kama hujui kusoma picha lazima ujue kuangalia, diamond anamlala kabisa zuchu sio utani ni kweli kabisa 💪

  • @abubalizer2468
    @abubalizer2468 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwajina naitwa abu lizer nimrundi nasisi wangetualika kwenye ndoa yao

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 2 ปีที่แล้ว +24

    Zuchu sukari ya afrika 🔥❤️🙌🇧🇮

  • @Dimoso887
    @Dimoso887 2 ปีที่แล้ว +3

    Love you zuh❤️

  • @gaudensialeonard6674
    @gaudensialeonard6674 2 ปีที่แล้ว +12

    Waoooo!!! Jmn mimi hiyo Dagaa kwangu ndo mmenimaliza

  • @zainabtumba1186
    @zainabtumba1186 2 ปีที่แล้ว +6

    🇺🇸/🇹🇿💕Zuchu Ushaolewa Siri Dahariii!!! Valentines will be revealing day combine Wedding Reception of you 2 with Shela kuvaliwa Awe Diamond or whomever Man.. Hivi Jamani Nyimbo za harusi kuingilia Mashamsham? Kutakiwa kheri na Mamaake tayari. ""Zuchu kunukuu kuwa siku kuwa kumbwa, Ukumbi wa Malimani city kubalika kuliko usiku wa Zuchu "" Tumekuelewa Zuchu Hongera Umeshaolewa!! Ok Shilole catering. Je Aliyah ata host Reception revealing? All in all we love you 2 as couple already 💕💕💕🔥🔥🔥

  • @zainabsaid6348
    @zainabsaid6348 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah unajua kusheza taarabu mtt wa kizanzibar hongera

  • @jamesalimke7162
    @jamesalimke7162 2 ปีที่แล้ว +6

    Diamond platnumz sema ukwelii babyyyy. Ha

  • @rugeiyaali8730
    @rugeiyaali8730 2 ปีที่แล้ว +5

    Huo mwili alivyo ongeza ni wazi ana mimba Zuchu msiri

  • @moossaalbusaidi42
    @moossaalbusaidi42 2 ปีที่แล้ว +60

    Am a big fan from Oman for Diamond just to say this Am happy to see this guy goin to marry a beautiful Tanzania women is good to have our cultures always Zuch is right choice....to my best singer star....of East Africa

    • @nashvillenash3527
      @nashvillenash3527 2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks for loving Africa dear ❤️❤️

  • @futureupdatestz
    @futureupdatestz 2 ปีที่แล้ว +9

    Mb zangu zimeenda kiharari kabsa bonge la interview

  • @shellykayobia438
    @shellykayobia438 2 ปีที่แล้ว +9

    Jamani hii station ikuje Kenya I like it

  • @blackboy5376
    @blackboy5376 2 ปีที่แล้ว +6

    Juma unajua sana kuuliza maswali fresh 🤣😂

  • @maryshirima1234
    @maryshirima1234 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii kiki hatari ya kutusogeza tarehe 14... napata wasiwasi kama ni Naseeb kweli.
    WCB mnajua kuwateka wabongo...🙌.