Kaka katika nyimbo zako zote hii ninyimbo ya viwango vya juu zaidi Tena zaidi nailudiaga mara mbilimbili nikiangali kaka mwaka 20009 mulitisha wewe na besti naso musoma nakumbuka hata dayamondi alikuwa Hawa wezi ❤❤❤❤
Chief n best ake kpnd icho mara wanatamba xna wane2 mactaa w musoma 1 kweli maisha n kupnda n kushuka dah kwel mmeshuka wap wana mara gong like twende sawa
😭😭😭😭uko wapi bro kwa Sasa wimbo wangu Bora muda wote uliogusa maisha yangu halisi popote ulipo mungu akufanyie maisha mepesi daima bro wimbo Bora wa Karne
Jaman nilikuwa na miak 13 ❤❤❤❤ brother
Wakati huo bwana nakumbuka mbali sana
Dhaa nimekumbuka mbali san aise
Naipendaga sana hii Ngoma jamani
Kaka katika nyimbo zako zote hii ninyimbo ya viwango vya juu zaidi Tena zaidi nailudiaga mara mbilimbili nikiangali kaka mwaka 20009 mulitisha wewe na besti naso musoma nakumbuka hata dayamondi alikuwa Hawa wezi ❤❤❤❤
Hatimae nmeipata hii ngoma guys nakumbuka wakati huo nlkuwa naishi Kahama, Best Song ever from chief maker
Wimbo bora sana kutoka kwako. Kongole nyingi kwako 👊👊
Inanikumbusha mbali sana hivi nyimbo kila nikisikilixa unaniuliza sana
Ngoma Kali chifu Ila kwasasa ukopi mkuu umepotea
Chief n best ake kpnd icho mara wanatamba xna wane2 mactaa w musoma 1 kweli maisha n kupnda n kushuka dah kwel mmeshuka wap wana mara gong like twende sawa
😭😭😭😭uko wapi bro kwa Sasa wimbo wangu Bora muda wote uliogusa maisha yangu halisi popote ulipo mungu akufanyie maisha mepesi daima bro wimbo Bora wa Karne
Miniko bkb we wpi
Nakumbuk mbal san nikisikiliz wimbo huu hongeraaa sana kwako ngoma ujumbe mtup safiiiiiii❤
Tuwekee na Miss rita
Finally. I've been looking for this from a friend ringing tone.
Thank you
Ningoma kali saana, ungeifanyia ata remix ukutoa na video quality
Duuh!huyu njaa anyekuwa mbali ingekuwa karina hii,saiv wimbo mumoja nakulonga kmy
Namkumbuka jamaa yng n nilisha potezana nae kitambo sana n sjui ntamuona lini duuh😢😢
Ni kazi nzuri bro
Nakubali kaka
Naupenda sana huu mwimbo 🥰🥰🥰
Dh brother nimeipend san
Respect broo bado ni moto💥💥💥
Watoro hcifumekakar
Nice song fan from kenya
Daaaah kanda ya ziwa moja aiseee💞💞💞
Umenikumbusha mbali mnooo
Tunawashtaki azam wanatumia wimbo wetu wa salma
Safi sana kaka
Sababu ni wwe embu sogeza na iyo ngoma kaka
Kaka weka na Miss Rita pia tunaihitaji
Mambo vp
Hii nyimb nimeitafta sana 👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
Kitambo sana yaan
Mpaka 2022 Bado nasikiliza ujumbe mzuri na mzito kutoka Kwa hii song🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🔥💯💯💯
pandisha njiwa
Big up
Hii Ngoma nakubaliga sana
Nice song
🎉🎉🎉🎉🎉
BHhh
Maisha🔥🔥
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
👍👏
❤
Hkh
iko poa
2022💝
Niliitafuta sana mzee
Bonge la Ngoma.
Good song
Nice song