Kenya ni yako ndio uamue nani wanafaa kukuwa huko ama wahame? Kati yako na Eriko labda wewe ndio utakosa shares. WaKenya wangapi wanajivunia wewe? Ni kama huelewi comedy so hebu toka kwa pages za comedy uende usome matangazo ya vifo juu ni kama hiyo ndio mnafanana nayo
@@peteremmanuelymatwimatwiem3258 Demokrasia inahitaji hivyo mwenzangu. Inaweza onekana jambo baya lakini ukweli ni kwamba nchi yoyote ya mamilioni haiwezi kuwa na watu tupu wenye tabia njema. Ukiona palipo na umati mkubwa wa watu wa kawaida, usiochaguliwa, utapata wenye hulka mbaya, na hulka nzuri. Ukiona maoni yote ni mazuri, jua tu kwamba kuna uoga wa kukashifu, au umati sio wa kawaida - hiyo ni jangwa kubwa kushinda matusi mitandaoni, kwasababu inamaanisha hakuna uhuru wa maoni, na ni serikali ya udikteta
nampenda.huyu.eric.omondi.❤❤❤
Any Kenyan 🇰🇪
Oric ominde Acha kukashifu kenya
Utampea fare ya kurudi???
Wachana na sisi kabza 🤣😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mashaallah 🎉
Kuna binti mweupe kakaa hapo mbele kaanika utu wake hatari. Sijui anafikiria nini yarabi. 😢
Ni gigy money uyo
Ndio maana tupo hapa tuone
Ati kaanika nini😂😂😂
Acha kufuatilia maisha ya watu
Humjui Gigi mshamba
Show nzuri sana
hapaja changamkaa mpaka Eric anajitaidi kuleta uchangamfu ila anashindwa mpaka kijana wa watu anajiskia shida kidogo..
we mchawi
@@mycmeranyswai7957😂😂
@@mycmeranyswai7957😂😂😂😂
❤
😂😂😂😂😂@@mycmeranyswai7957
Kuchekesha wabongo yahitaji roho ya Paka😂😂😂
Duuuuh😅
Wabongo ni watu wa roho ngumu😂😂😂
Hio ni speech sio kichekesho hizo ni complement ...tu ametoa
Show mbona imepoa
Mbwa mimi, watu hawachekii 😮
Wewe ongelea kilichokupeleka huko Wacha kuongelea Kenya Na kukashifu Kenya yetu... Kenya we have everything.
😂😂😂crÿ about it
Kilicho muangusha ni pale alipo fanya mambo adharani maskini😢
Binadamu bwana mnahuku mtu kwa Dhambi ambayo hata nyie mnaifanya gizani
@@JafalyAbdallahsasa km tunafanya gizan, inamaana niya gizan, sasa yeye kwnn alifanya mwangani?
Hawacheki wanawaza vicoba
Duuuuh role model wa wapi tuige nn au style za xxx zake aloigiza pumbavu
❤❤❤
Love erik
Sheee kwani kuvaa uchi hiyo ndo kupata viewers wengii???
Safi sana Eric 🔥🔥🔥
Waooo
Etick was the only learned person kwa hii show😂😂😂😂😂😂
Who's Etick?
@@eugenemr2542😂😂
Show show kama waona si kali unaumwa
sasa MBONA sauti iko nyuma
Kaipeleke Mbele 😂😂😂😂
Erick is not funny anymore
He wasnt making jokes here
Usiku wa makahaba
😂😂😂😂😂
Not funny....
😂😂😂😂😂😂😂
Very foolish how do you abuse your own country bure sana tola kenya hamia tz ata una content anymore una tapatapa na politics useless
Wakenya mna gombana wenyewe oooh mna chekesha sana
Naima unaroho mbaya itakuuwa😂