Mabadiliko Ya Katiba (RDC) - Washikala Lutengya Benjamin

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Hassan-gq3ft
    @Hassan-gq3ft หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mze wangu kwa kutowa maoni yako na kufafanuwa zaidi kwa lugha ya kiswahili ili watu wa nyumbani fizi waelewe kiundani Mambo yanayo endelea ndani ya inchi

  • @rashidibitendo148
    @rashidibitendo148 หลายเดือนก่อน +1

    Asente sana Mweshimiwa Washikala Lutengya kwa maoni yako yanayo sisimua isia za ndugu zetu Wakongomani, Mungu wangu Yesu Kristo akuzidishie kuona mbali na kuwataarifu ndugu zako katika lugha yetu ya kiswahili ili watu waelewe kinacho endelea katika nchi yetu. Ubarikiwe sana katika jina la Bwana Mungu aliye Mwokozi wetu Yesu Kristo Amena.

  • @rashidibitendo148
    @rashidibitendo148 หลายเดือนก่อน +2

    Ujumbe wangu Kwa waKongomani. Ninge waomba wakongomani kwa pamoja tusikubali kudanganywa na maoni ya watu wanao rubuni fikra zetu, cha muhimu tuipende nchi yetu kwa kumweshimu na kumuhunga raisi wetu mkono ili turekebisha hiyo katiba maana hiyo ndo moyo wa nchi yetu ya Congo unao gawa damu katika mishipa tafauti ya Province zetu, hiyo katiba ikiwa inaumwa na nchi nzima itakua inaumwa. " linda sana katiba ya nchi kuliko vyote uvilindavyo maana ndipo zitokazo chemchemi za uzima wa nchi yetu Congo. ling, Mithali 4:23

  • @KuombaUmcChoir
    @KuombaUmcChoir หลายเดือนก่อน +1

    Mwakole manga ❤

  • @Jeanpaulsumbu2024
    @Jeanpaulsumbu2024 29 วันที่ผ่านมา +2

    Ndugu Washikala,asante saana kwa uchambuzi wako,ingekuwa wakongomani wote wanayo mawazo kama wewe,kongo ineligeuka Allemagne d'afrique
    mimi ni nduguyako mzalendo ASSANI SUMBU KAPOLO
    nakushukuru nikiwa apa OTTAWA CANADA

  • @balebangamakamba5167
    @balebangamakamba5167 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mkuu kwa mawazo haya. Hili ni wazo la maana na nimsaada mkubwa kwa wanainchi wetu.

  • @francoiswangandu5523
    @francoiswangandu5523 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mzee,
    Hiyo inaonyesha kazi. Mtazamo na uchambuzi wako ni mzuri kweli, ndi kazi sasa hiyo. Mungu akutie nguvu na akupe maono zaidi na ujasiri wa kuyatoa kwa watu ili wakujuwe na wewe. Video kama hizi ziendelee kabisa ili kuokoa wengine

  • @imbkatanaboy5757
    @imbkatanaboy5757 หลายเดือนก่อน +1

    Akili inaitajika ❤️

  • @RaymondMaleloSungura
    @RaymondMaleloSungura หลายเดือนก่อน

    Safi sana ndugu Washikala kwa maoni yako . Kumbuka BRUNO.

  • @barakafizitv2632
    @barakafizitv2632 หลายเดือนก่อน +1

    ningeomba sana kipindi hiki kiendelee usiishie hapo uzidi kupandisha vitu kwenye account hii kama maneno hayo uliyoyaongea hapo🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️

  • @binheritieralamandataraja
    @binheritieralamandataraja หลายเดือนก่อน

    🙏🙏
    Aksanti sana ndugu Mweshimiwa #Mpastori_Washikala kwa ufafanuzi mzuri sana .
    Mimi kama Mwana sheriya katika mafunzo pa LUBUMBASHI, nakubaliana Na maneno yote unayo yaongeleya hapo.
    ❤NB: hacha basi niseme wala niongezee jambo moja.:
    #kuhusu kipengele cha 10
    Leo tumeona wakongomani waliyo inje ya inchi wali chagua Félix.
    Sasa swali ni moja kwa nini kuchaguliwa Na wakongomani wa inje ya inchi Na wakati wao si wakongomani kwani Congo akuna watu wa pacha la ukabila❓
    Ni mengi Ila ndo kama comment yangu Iyo .
    Mwakole manga
    Que vive fizi
    Que vive espace itombwe
    Que vive Mboko
    Que vive village LÙAMBA
    Alamanda Taraja Bin Héritier
    LÙAMBA IS Home/ fizi

  • @barakafizitv2632
    @barakafizitv2632 21 วันที่ผ่านมา

    tunahitaji uongelee hichi kinachoendelea kuhusiana na hawa watekaji wa kuluna

  • @olomwenekasengesenge
    @olomwenekasengesenge 29 วันที่ผ่านมา

    Papa huko na akili nyingi sana unafaa sana kwa mawazo yote huliyo towa. Ni meyaunga mkono mawazo yako. Hii channel yako hiendelee kusafisa ubongo wa wa kongomani. Huu ndoo uzalendo.