ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asantrreeee DJ hii move nikiiskia ila nikaona uvivu kutafta Leo umeileta ubarikiwe
Nakushauri tu itafute...hutojutia mda wako
Mungu wangu hii ni noma 😂😂😂😂😂😂😂
Hatari fire
Nimeipendaa sn😂
Sasa tafuta ya English ndio utaenjoy sana coz hapa kakata vipande vingi sana
Move nzuri atar
Nom san
Punguza manen ya kiuni yan mwanangu mala unyama mwingi movie itaeleweka lkn unasema mala nn vitu vyake nn mala mwananguu tuu movie nzima mbka inaboa
Asante sana Kwa ushauri. Nitajitahidi Kuboresha
Hatareeeee 😅😅😅😅
movie yangu pendwa asante sana 🙌🙌🔑
Asante sana
Inaitwaje hii movie
3 idiots @@ZACHARIASAMU
Hii movie inaitwa vipi
Upo viZuri mwanangu ila unazingua mwanangu na ilo neno mwanangubau ndo swaga zako mwanangu 😢
Hahaha Meanangu, siunajua tena meanangu, amini mwanangu nitajirekebisa mwanangu Asante mwanangu kwa ushauri mwanangu
Hii movie cjawahi ichoka aisee
Ni noma sana
Safi
Punguza mwanang mwanang nakela
Sawa kwa ushauri mwanangu
mwanangu punguza kusema neno "Mwanangu" mwanangu
HAHAH Poa Mwanangu
Safi kabisa mwanangu 😅😅😅
@@beberu29 au vipi mwanangu
Poa mwanangu 😅😂
Bado yani mpaka move ina kuwa mbaya wakati ni nzuri unaaribu bhana weka mambo sawa ambayo unaona ni hayako sawa inatakiwa uangalie move mala mbili au tatu kabla ya recap ili uwelewe maana unatuletea lambele la nyuma na nyuma mbele khaa
Asante sana kwa ushauri, Tutalifanyia kazi
@@movierecapswahili1Anakuzingua tu huyo Muvi kali kinoma yani
😅😅😅😅😅😅