Inside dangerous Aberdare ranges😭😭See where we found mama kafue is mama kafue dead😭Watch this so sad

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 329

  • @gloriousmwikali3849
    @gloriousmwikali3849 18 วันที่ผ่านมา +117

    Am the first today aki si mnipe likes tukisonga. Good work DCI Freddie, senior dave and your team 👏

    • @Thedee1335
      @Thedee1335 18 วันที่ผ่านมา +4

      Unaomba likes n'a watu wanaomboleza

    • @MildredNakhumicha-u8j
      @MildredNakhumicha-u8j 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂​@@Thedee1335

    • @gloriousmwikali3849
      @gloriousmwikali3849 18 วันที่ผ่านมา

      @@Thedee1335 wapi uko kuna ombolenzwa?

    • @GEORGEOMONDI-k4c
      @GEORGEOMONDI-k4c 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@Thedee1335good question

  • @SarahNjeka
    @SarahNjeka 18 วันที่ผ่านมา +53

    Dci Fred na dave musiwai choka kusaidia watu mungu ako pamoja nanyi na team yenyu mubarikiwe

  • @RemtahNanzala-k3k
    @RemtahNanzala-k3k 18 วันที่ผ่านมา +39

    Mungu naomba mama kafue akuwe anapumua in the mighty name of Jesus christ

    • @wincatenyaga409
      @wincatenyaga409 18 วันที่ผ่านมา +1

      Amen Amen 🙏, hope so 🙏 😢

    • @FranklinDishon
      @FranklinDishon 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Is this a joke ama n real story

  • @CarenNoniot
    @CarenNoniot 18 วันที่ผ่านมา +27

    Freddy nakupenda Bure,,I like your work pamoja na Dave na team yake

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 18 วันที่ผ่านมา +7

    DCI Fred You're a true man of God and your team Mungu akulinde uendelee kutusaidia jamani akuongeze umri na pesa

  • @emmykorir5187
    @emmykorir5187 18 วันที่ผ่านมา +7

    Fred , you're the best , mungu akubariki na akutendee mema kwa yale yote unatenda

  • @MaryOchoki
    @MaryOchoki 18 วันที่ผ่านมา +9

    Mungu wangu. Wampate mama wawenyewe akiwa mzima aki. Juu akumkosea yeyote . Sinior Dave na DCI hongera kwa kazi yenu mungu awalinde mnapoelkea alipo mama kafue🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @prettypet100
    @prettypet100 18 วันที่ผ่านมา +6

    Fredi ur a true servant of God... even if ur not promoted God will pay u...

  • @LilianMbatha-n5z
    @LilianMbatha-n5z 18 วันที่ผ่านมา +9

    Fredie unafanya kazi kwa kujitolea uishi maisha marefu yenye afya na baraka

  • @NorineEdesa
    @NorineEdesa 18 วันที่ผ่านมา +20

    aki mama usiabishe mzee anakupenda sanaa

  • @gillianshikote6266
    @gillianshikote6266 18 วันที่ผ่านมา +17

    Mungu awe nanyinyi aky.fred na dave mwenye anaongea kwenu vibaya akisema ety mnaact ashindwe katika jina la yesu

    • @KalalaErick-n7d
      @KalalaErick-n7d 17 วันที่ผ่านมา

      Kwakazi nzuri apakosi wabaya, hata yesu mwana wa MUNGU alisemwa vibaya

  • @KahindoDaisy
    @KahindoDaisy 18 วันที่ผ่านมา +9

    DCI good job papa asate kwakazi Mungu atawalipa

  • @rachealmapenzi9724
    @rachealmapenzi9724 18 วันที่ผ่านมา +9

    Mzee ameuonyesha upendo ulio wa kweli kwa bibi mkubwa.

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 18 วันที่ผ่านมา +16

    Mungu saidiya mission i ishe vyizuri 🙏🙏🙏

  • @LucyWangari-rs3kx
    @LucyWangari-rs3kx 18 วันที่ผ่านมา +6

    Fred is no nonsense wapi like za fred na Dave

  • @سميرهكينيا
    @سميرهكينيا 18 วันที่ผ่านมา +9

    Wewe kazi ngumu fred mungu akupe umri mrefu mana siyo rahisi

  • @JosephineMueni-v4y
    @JosephineMueni-v4y 18 วันที่ผ่านมา +6

    Aki mzee Asanti kwa kupenda bibi yako wengine wanawachianga dave na Fred lakini wewe umengangana mpaka mwisho God bless you

  • @LYDIANYAMBURA-vt7ni
    @LYDIANYAMBURA-vt7ni 18 วันที่ผ่านมา +8

    Good job Fred and senior dave Mungu ako pamoja nanyi

  • @janetmwale6127
    @janetmwale6127 18 วันที่ผ่านมา +9

    God mbele huyu Dci anakua sawa sana na job zake

  • @NaomiWaweru-r5k
    @NaomiWaweru-r5k 18 วันที่ผ่านมา +6

    It's seems I'm the last one but naomba mnipee like tukisonga for our hero

  • @rosegibendi7539
    @rosegibendi7539 18 วันที่ผ่านมา +4

    Congratulations DCI mungu amuongoze mpate mama akiwa hai. 😢

  • @MargaretNjuri-wk8ue
    @MargaretNjuri-wk8ue 18 วันที่ผ่านมา +4

    This is the most dangerous place i know it uko n home good job fred na senior Dave may God protect that woman in Jesus name 🙏🙏 people are so in human aki

  • @RitaMeizer
    @RitaMeizer 18 วันที่ผ่านมา +8

    Waiting to see what happens 😔😔😔😔😔😔😚may the lord be with you wherever you are with Mr fred

  • @MagretKilungu
    @MagretKilungu 18 วันที่ผ่านมา +13

    Baba kafue asante kwa kutia bidii hadii umempata mama kafu mungu Asante umesikia kilio chetu

  • @rosendungu8648
    @rosendungu8648 18 วันที่ผ่านมา +3

    Good is good all the time and .all the time God is good.Your are all covered by the blood of Jesus, Good job.

  • @RAZIZATUTI
    @RAZIZATUTI 18 วันที่ผ่านมา +2

    Good job 👏🏿 Fred and senior my God bless you guys, mnafanya kazi ngumu tunzo yenu iko binguni

  • @HarrietWawira-s3x
    @HarrietWawira-s3x 18 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi ya DCI sio mchezo Fredy Mungu awe nanyi siku zote pamoja na dave

  • @NancyWangui-y4x
    @NancyWangui-y4x 18 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu wetu saindia Huyu mama Kabui mahali ako mucingile na damu yako mahali ako 🙏🏻

  • @pamelashikhule9443
    @pamelashikhule9443 18 วันที่ผ่านมา +5

    Our DCI Freddie may God bless you for the work you're doing

  • @harrietwawira1248
    @harrietwawira1248 18 วันที่ผ่านมา +4

    wa mama wamekuwa wauaji juu ya mali ya dunia shetani ashidwe katika jina kuu la Yesu christo Amen

  • @RosemaryNakityo
    @RosemaryNakityo 18 วันที่ผ่านมา +10

    Let's pray hard so that they found when she's alive Bambi i really appreciate Mr Fred and senior Dave plus the team on the ground and 😢😢

  • @Naomi-f2s4c
    @Naomi-f2s4c 18 วันที่ผ่านมา +3

    Fredy na sd musiwai choka Mungu mbingini Aishi amewambariki musiwai pungukiwa na kitu chochote kwa maisha yenu be blessed men

  • @puritymwontune1025
    @puritymwontune1025 18 วันที่ผ่านมา +2

    Good job Fred, senior and the team. May God protect u from all your enemies 🙏

  • @MarthaStinner
    @MarthaStinner 18 วันที่ผ่านมา +5

    Senior Dave please be strong and DCI Fred be courageous and help thst okd man please.

  • @AbestaMmoja-wf4iv
    @AbestaMmoja-wf4iv 18 วันที่ผ่านมา +2

    Dci Fred na Dave may God give you energy and strength to do this Work may God protect you and cover you by His blood

  • @janewanjiru4869
    @janewanjiru4869 18 วันที่ผ่านมา +10

    Wherever she is she is surrounded by the Blood of JESUS

  • @harrietwawira1248
    @harrietwawira1248 18 วันที่ผ่านมา +3

    Team senior Dave na fredy Mungu amlide maisha yenu yote Amen

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu uwe ukilinda team sd w kila wakati pamoja na fred🙏

  • @NancyKhisa-w5x
    @NancyKhisa-w5x 17 วันที่ผ่านมา +1

    Great work SD and DCI Fred may God protect mamaa

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 18 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu mbele we hope ako sawa woi mama wa wenyewe anaumia bure kitu hajui 😢

  • @CharityChao
    @CharityChao 18 วันที่ผ่านมา +4

    Deve and Fred Mungu awalinde siku zote za maisha yenu

  • @MaggyNjeri-ir1pd
    @MaggyNjeri-ir1pd 18 วันที่ผ่านมา +23

    l love fred hua achezi kwa kazi good mr fredi

    • @DamarisMutisya-i8k
      @DamarisMutisya-i8k 18 วันที่ผ่านมา +2

      Wallahi hajui rafiki kwa kazi! U can imagine hata alimuachilia @senior Dave akalala ndani

  • @JjMem-e1g
    @JjMem-e1g 18 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu awatangulie fredi n team senior dave 🙏🙏

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 18 วันที่ผ่านมา +2

    Waa😢😢😢 hope she will be found alive 🙏🙏🙏🙏. Haki ile kazi wamewafanyisha,😩😩😩😩 Driving to and from without the mum😭😭😭

  • @paulgatua3888
    @paulgatua3888 18 วันที่ผ่านมา +8

    GOD is in control of everything.

  • @janechege1550
    @janechege1550 18 วันที่ผ่านมา +20

    Aki huyu mzeee anapenda bibi w kwanza wonderful mzee uko chojo kabisa

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 18 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani Mzee amechoka, lakini asijali atampata tu mama watoto wake, nawaombea mungu tu awafinike na damu ya yesu, m afanya kazi nzuri mungu awalinde, ata angekuwa ametema hiyo mkunde wake, angekuwa asha changamka kitaambo

  • @agnesowino5624
    @agnesowino5624 17 วันที่ผ่านมา

    A true servant of God, dci Fred. May God’s grace be with you and bless you with senior Dave. Congratulations for the great job.

  • @GlorysaatinSereu
    @GlorysaatinSereu 18 วันที่ผ่านมา +4

    God bless Freddy and senior coz this forest it's dangerous for them

  • @ElizabethKamene-wm2uw
    @ElizabethKamene-wm2uw 18 วันที่ผ่านมา +7

    GOD is good all the time and all the time GOD is good

  • @catherinewanjiru9399
    @catherinewanjiru9399 18 วันที่ผ่านมา +3

    Weeeuh hii kazi ni kubwa may God intervene

  • @AgnseseAlqahtin
    @AgnseseAlqahtin 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu saudia hawa juu kazi wanayonpitia nungumu sana lkn mungu yupo nanyinyi

  • @harrietwawira1248
    @harrietwawira1248 18 วันที่ผ่านมา +4

    Team DCI Mungu amlide

  • @SilviaChepkemoi
    @SilviaChepkemoi 18 วันที่ผ่านมา +3

    DCl good job God bless you sir

  • @PriscillaKabiru-f6q
    @PriscillaKabiru-f6q 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu amulinde na amufunike na damu ya Yesu Kristo mukiendelea kutafuta huyo mama ,, very painful..

  • @HarrietWawira-s3x
    @HarrietWawira-s3x 18 วันที่ผ่านมา +1

    Oooh my kijana utajua fredy ni nani ebu uliza dollo akwambie wakiwa na tom

  • @harrietwawira1248
    @harrietwawira1248 18 วันที่ผ่านมา +2

    😢kijana utauawa na umebaki mifupa tupu

  • @FelistusLya
    @FelistusLya 18 วันที่ผ่านมา +4

    Aki mungu zaidia Huyo mama apatikane

  • @didj9315
    @didj9315 18 วันที่ผ่านมา +4

    Sd kma fred yuwadispline m2 face the camera aside sio kla k2 warecord Jerry ulifnya ivyivy akafutwa kaz fred bdo utamuhitaji don't disclose everything

  • @humbleladymilly9893
    @humbleladymilly9893 18 วันที่ผ่านมา +2

    Dave, sijui n nn mbaya na your headlines. N way, let God intervene and protect mama Kafue wherever she's

  • @vivosereni
    @vivosereni 18 วันที่ผ่านมา +5

    Dave switch off camera to allow police EXTRACT information from this guy , they know how to get in behind camera.

  • @Lifewitholive8
    @Lifewitholive8 18 วันที่ผ่านมา +3

    Upcoming TH-camrs ❤ kujeni hapa tupitiane we grow tongether ❤

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego5143 18 วันที่ผ่านมา +11

    Allah is great ❤❤❤good work mr DCI and your teams

    • @EmillyOduori-j2b
      @EmillyOduori-j2b 18 วันที่ผ่านมา

      Aky si mkanyage makende ya huyu mwanaume

  • @MilkahNyamuro-kw5cj
    @MilkahNyamuro-kw5cj 18 วันที่ผ่านมา +1

    Good job senior and your team likes plz

  • @VyetteGorrety
    @VyetteGorrety 18 วันที่ผ่านมา +2

    Za hii kazi yote yenye Freddy anafanya ndo mjinga mwingine anasema ni script mjinga huyo. Kudos to Freddy never give up till the end 🔥🔥🙏

  • @PeterNjeru-w5j
    @PeterNjeru-w5j 18 วันที่ผ่านมา +1

    I likevthe way mzee DCI ni sensitive hata gari anafikilia juu ya security yake

  • @rebeccamwende5039
    @rebeccamwende5039 18 วันที่ผ่านมา +4

    Good job Fred and team Dave

  • @MaryNgeci-g1g
    @MaryNgeci-g1g 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ngai huku alikuja na nini mungu wangu

  • @BillaBla-x8y
    @BillaBla-x8y 17 วันที่ผ่านมา

    Dci fred is the one ameonyesha utu kwa hii safari si rahisi guys kudeal na magaidi like injagi and many others ,,fred my god grant you na usilemewe❤❤

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 18 วันที่ผ่านมา +3

    Wanaume hii n iwe funzo

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nani kweli sisi Wana wake Kofi moja tu umesema kila kitu chukuweni huyo jabazi mwenziwao

  • @MildredNakhumicha-u8j
    @MildredNakhumicha-u8j 18 วันที่ผ่านมา +5

    Dave anang'ang'ana na gaidi kwa msitu annita ako hapo na kupost et cooking delicious food😢😢😢umbwa mm😂😂😂😂😂good job dave na mr fred 🎉💪💪

    • @mariamuchlka9552
      @mariamuchlka9552 18 วันที่ผ่านมา +1

      😅..😅😅😅😅😂😂😂😂

    • @MildredNakhumicha-u8j
      @MildredNakhumicha-u8j 18 วันที่ผ่านมา +1

      @mariamuchlka9552 😂😂😂😂😂

    • @FlorenceKainda-zo8ny
      @FlorenceKainda-zo8ny 18 วันที่ผ่านมา +1

      Haki ya nani😂😂😂

    • @mercykagwiria8109
      @mercykagwiria8109 18 วันที่ผ่านมา +2

      Hana hata views

    • @CyphroseRobert
      @CyphroseRobert 18 วันที่ผ่านมา +2

      Annita ana uwezo mdogo wa kuchambua Mambo 😢

  • @theresiawangui1315
    @theresiawangui1315 18 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona hamkuenda huko alikuwa akianika nguo? Director Acha kumlika DCI akifanya mambo. Hatutaki asimamishwe kazi tena.

  • @Nusrahajjahmad
    @Nusrahajjahmad 18 วันที่ผ่านมา +3

    Pongezi kwa senior km sio yy mama kafue ingekua mwisho wamaisha juu ya kudhulumiwa

  • @floramumbua3393
    @floramumbua3393 18 วันที่ผ่านมา +7

    May God intervene

  • @MERCYCHEPNGETICH-z2v
    @MERCYCHEPNGETICH-z2v 18 วันที่ผ่านมา +3

    Good work freddie, dave

  • @GhipCkc
    @GhipCkc 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri Fred and Dave

  • @perismburu6428
    @perismburu6428 18 วันที่ผ่านมา +4

    Good job dci

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 18 วันที่ผ่านมา +5

    Mfinyeni makende huyo

  • @peterokello-rf9ey
    @peterokello-rf9ey 18 วันที่ผ่านมา

    Some Young men only think of easy money without knowing the consequences, crime does not pay.

  • @konekone8045
    @konekone8045 18 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ako nanyi mtafaulu tu

  • @Eeer-v4s
    @Eeer-v4s 18 วันที่ผ่านมา +5

    Oooh my God have Mercy 😢

  • @MugishaEmelyne
    @MugishaEmelyne 18 วันที่ผ่านมา +3

    Mke wakwnza sikuzote niwakwanza🎉🎉🎉😊

  • @florencemumbe5230
    @florencemumbe5230 17 วันที่ผ่านมา

    Mwa ngai!.....apo ndo Kenya imefikia jamani ,..mungu tusamehee aki

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 18 วันที่ผ่านมา

    Aki jamani mpaka Mzee anasema wangemuwacha musituni angesikia bibi yake akilia hatalala, lakini solomoni hana makosa ashaonyesha aliempeleka, lakini mwenye kumpeleka mama kafue msituni ambae ni Simon ndio mjeuri afinywe, Yani Mzee anahuzunisha jamani, Fred, Fred jamani maoni yangu ungemfinya tu sai aseme kabila hamjafika mbali mkaharibu mafuta

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 18 วันที่ผ่านมา

    Wajua dci Fred amem bembeleza kwa mda marefu sana, mpaka hasira imemshika ujuwa sasa amejam, Fred ukiona akijam amechoka, juu sio raisi afike hapo

  • @BethWangui-x9h
    @BethWangui-x9h 18 วันที่ผ่านมา +2

    God kubuka huwo mama aki

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nipitieni guys

  • @shadiamariam9766
    @shadiamariam9766 17 วันที่ผ่านมา

    God bless u all with ur team for helping the world I pray u be promoted in all u do Amen 🙏🏻, but such young boys who can work for them selves they decided to kill and destroy pplez lives God save us all

  • @christinembindyo1422
    @christinembindyo1422 17 วันที่ผ่านมา

    For sure Dave, you are blessed, gud job

  • @maryngatia2362
    @maryngatia2362 18 วันที่ผ่านมา +2

    Watu kama Hawa ndio ikue funzo Kwa wengine watolewe makende,Naye mama afugwe miaka kumi

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 18 วันที่ผ่านมา

    Mzee usichoke onyesha mama kafue upendo ulionao kwake mpaka mwisho, Fred wekeni gari kando mumfinye mahali vizuri atasema

  • @RisperJepleting
    @RisperJepleting 18 วันที่ผ่านมา +2

    Isikue walimrape akh😢😢😢

  • @PamelaNaitore
    @PamelaNaitore 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa mnarudi tena😪

  • @DorcasKyalo-jf8ii
    @DorcasKyalo-jf8ii 18 วันที่ผ่านมา

    Fred nakupenda mungu akulinde

  • @estherlsaac
    @estherlsaac 13 วันที่ผ่านมา

    Leo,is fast time, kuona this story 😢😢

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 18 วันที่ผ่านมา

    Aki barikiweni sana team yetu mungu awalinde

  • @ShufaaMwakidundu
    @ShufaaMwakidundu 18 วันที่ผ่านมา

    Yuaonyesha wazi walimuua hyo mama yuapretend 2 kua hakumbuki,Fred mfinye segemu nyeti aseme hyo

  • @esthernjonjo6858
    @esthernjonjo6858 18 วันที่ผ่านมา

    Na hii mchezo yote ni ya secretary,, alipeana simu Kwa huyo mama akapigia Hawa simu wamuhamishe mahali alikuà amewekwa.

  • @ShamimokisaiOkisai
    @ShamimokisaiOkisai 18 วันที่ผ่านมา

    Mzee analisha ng'ombe vijana wanakamua