Maa shaa Allah vijana wapo vzuri sana. Allah awabarik. SoudKhafa nashauri kitu kimoja, itapendeza kuwekwe chombo ambacho watu wataenda kuweka sadaka zao kwa wanaosoma nasheed ktk stage. Kwani hivyo wanavyopanda ktk stage na kuwapa hela kunawachanganya hao watoto na kuwafanya wasiperform kwa kujiamini.
Suala la malezo ni la wote sio wanaume tu. Wapo wanaume ambao hawajali lkn pia wapo wanawake ambao wanachangia kuharibika kwa malezi ya watoto wao 100%. Kwa hivyo, tujitahidi sote kwa pamoja na Allah atatusaidia in shaa Allah
ALLAHUMA BARIK LAU TABARAKA RAHMAN ALLAH AWAEPUSHIE HASSAD YARAB AMIN 🤲 BUT MSIMAMIZI WA HAWA WATOTO WAKIWA JUU YA JUKWAA WANATOA NASHEED WEKENI VIKAPU AU SMALL BOX 📦 WATU WAWEKE PESA ZA KUWATUNZA IN FRONT NA WAO KILA MMOJA AWE NA BOX YAKE 📦 MBELE YAO NA UWE URAHISI WAALIKWA KUTOPANDA JUU YA JUKWAA , KUPANDA JUU YA JUKWAA WOMEN AND MAN IWE NA SHERIYA ZAKE NA PIA ITAKUWA MUMEWAPA WATOTO UTULIVU JUU YA JUKWAA ONLY ADVICE SHUKRAN ❤❤❤👍
Kuvinusuru vizazi. Katika kuchagua mchumba kwanza tabia na dini. Sura na umbo vifuatie baadae. Usiolewe wala usioe mpaka ufaham ukoo wao watu wa aina ipi. Tabia zao na ucha Mungu vina kidhi haja! Basi tawakal. Wala tusibaguane kwa makabila. Allah hatizami kabila ika anatizama nafsi zetu zina mcha Mungu.
Mashaa Allah Tabaraka Allah Allah awazidishie ndio hivyo ila siyo vizazi vya sasa😭ila Allah atujalie masikilizano mema
Maashallah allah awape kheri watoto wazuri🙏🙏🙏 nyie na wazazi wenu bila kumsahau ostadhi wenu allh awape kheri nyote
Talaka zimeshamiri.
Ujumbe huooo! Mzuriii!
Wanaume na wanawake wa zama hizi wanachangia ndoa kuvurugika.
Tumuogope Allah.
mashaallah watt wa jabal hiraaa
Mashaallah watoto wapo vizuri sana Allah awape Nguvu zaidi
Maa shaa Allah vijana wapo vzuri sana. Allah awabarik. SoudKhafa nashauri kitu kimoja, itapendeza kuwekwe chombo ambacho watu wataenda kuweka sadaka zao kwa wanaosoma nasheed ktk stage. Kwani hivyo wanavyopanda ktk stage na kuwapa hela kunawachanganya hao watoto na kuwafanya wasiperform kwa kujiamini.
Masha Allah nasheed nzur na ujumbe mzito muzungatiye wazazi hongeren
Mashawall hongeren allh awawpushe n hasadi na wapaya wa naps
Nashd nzur sana Ila vivaz walivyovaa haviendan na nashd za kiislam
MashaAllah MashaAllah 🥰 🥰 ujumbe mzuri MashaAllah 🥰
Mashallah ujumbe mzito ,,naamini kila mwenye akili umemgusa.... Wanaume mpo!!! Nyie ndo msiojali malezi wala makuzi ya watoto Allah akuongozeni njia.
Suala la malezo ni la wote sio wanaume tu. Wapo wanaume ambao hawajali lkn pia wapo wanawake ambao wanachangia kuharibika kwa malezi ya watoto wao 100%. Kwa hivyo, tujitahidi sote kwa pamoja na Allah atatusaidia in shaa Allah
I wish wazazi wote wangeisikia nasheed hii
Mashalla kaz njema
Mashalla Allah awabarik na walim wenu kwkwl mnanikosha Sana ndug zang
Naikubl Sana jabal hiraa
Mingu ajaalie huo ujumbe uwafikie wote amin
Ila no kwe
Amin
Mashaallah naipa bigap Sana hii nasheed
MashaAllah congratulations 🎉
Masha Allah vijana wameiva
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
ALLAHUMA BARIK LAU TABARAKA RAHMAN ALLAH AWAEPUSHIE HASSAD YARAB AMIN 🤲
BUT MSIMAMIZI WA HAWA WATOTO WAKIWA JUU YA JUKWAA WANATOA NASHEED WEKENI VIKAPU AU SMALL BOX 📦 WATU WAWEKE PESA ZA KUWATUNZA IN FRONT NA WAO KILA MMOJA AWE NA BOX YAKE 📦 MBELE YAO NA UWE URAHISI WAALIKWA KUTOPANDA JUU YA JUKWAA , KUPANDA JUU YA JUKWAA WOMEN AND MAN IWE NA SHERIYA ZAKE NA PIA ITAKUWA MUMEWAPA WATOTO UTULIVU JUU YA JUKWAA ONLY ADVICE SHUKRAN ❤❤❤👍
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH
pamoja ....salum karim
Mashallah
Kuvinusuru vizazi. Katika kuchagua mchumba kwanza tabia na dini.
Sura na umbo vifuatie baadae.
Usiolewe wala usioe mpaka ufaham ukoo wao watu wa aina ipi.
Tabia zao na ucha Mungu vina kidhi haja! Basi tawakal. Wala tusibaguane kwa makabila. Allah hatizami kabila ika anatizama nafsi zetu zina mcha Mungu.
MAASHALLAH
الرسالة قد وصلت
Maa shaa Allah
Mashaallah
Mashaa Allah
my god will bless all of you, mashaallah
Masha allah tabartaka allah
Ahli mzdina
Mashllah
👍👍👍.
MashaAllah ❤❤❤
Cjw hata chakusema maana ujumbe mzito
کویس
Naikubl Sana jabal hiraa
Mashaaallah mashaaallah tabarakallah
Mashaallah hasbiya llah
Mashaallah
Masha Allah ❤❤❤
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah