RAIS SAMIA AIPA SHULE YA LINDI BASI "LISITUMIE KWENYE SEND OFF AU KITCHENI PARTY"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Rais Samia Suluhu hassan ametoa basi aina ya Coaster kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack kwa ajili ya kubebea Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Lindi ikiwa ni ahadi aliyoitimiza kufuatia ombi la Shule hiyo alipoitembelea.
    Makabidhiano haya yamefanyika Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es salaam ambapo Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack alikabidhiwa basi hilo na Msaidizi wa Rais masuala ya siasa Petro Magoti aliyesema Rais ameelekeza basi hilo likatumike na Wanafunzi na Waalimu na kwamba Waalimu wasilitumie kwaajili send off au kitchen party bali kwa masuala ya Shule.

ความคิดเห็น • 12

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 9 หลายเดือนก่อน +7

    Hapa Rais dkt Samia kaupinga mwingi,, kama unakubaliana nami gonga like yako hapa

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kifuatacho ni utekelezaji wa agizo la raisi.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 9 หลายเดือนก่อน +4

    MMH RAISI WETU MPENDWA HANA MPINZANI
    WANAOJIITA WAPINZANI WATASUBIRI SAAANA!!

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuelekea uchaguzi wa 2025 hahahaaaa
    Ok Mungu msaidie na kumlinda mh Rais

  • @princekelvin5834
    @princekelvin5834 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana muheshimiwa Raisi tunafahamu kuwa unafanya kazi kubwa Mungu Akubariki sanasanasana kwani walimu walikuwa nyuma kupita kaZi zingine Mfano madaktari,wanasheria,TRA na engineering kweli umeboresha huduma kwa umma wa TanZania pamoja na wafanyakazi

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kaka nampenda sana

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waooh !! kinangali wamepata ndinga mpyaaa

  • @chackym4416
    @chackym4416 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hayo sio magari inayo nunua serekali? Serekali hununua toyota sasa hiy rosa 4m . Mlinunua kwa mwongozo gan. Pia shule niya serekali gari ina namba binafsi hao sijaelewa

  • @andreachanai6658
    @andreachanai6658 9 หลายเดือนก่อน

    Rosa 4m imekuwa guta au?

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 9 หลายเดือนก่อน

    Unavaa miwani hata huonekani vizuri duh viongozi wetu