Imangine ile mvua na baridi ilikuwa may na watoto wanalala chini,..some people are not human,,..Ngatia waoraga ciana niundu wa mbeca??am in pain as a mother
Na nko suer hata liz anajua hao watoto wlkufa na akuhudhuria hiyo matanga na tulikua tunambia samartan angalie tena hiyo sim ya liz hakuskia hii yote ni utepetev wke na kuongea kila saa.
@@Josephineonyango-cl6ql . very true. Now you see when they say Money talks. But God will serve them the same measure they served those kids. What bothers me is. That church wote Waco under fear no one can stand up in the name of help my foot.
Yani wali tesa hawa watoto na nja mpaka waka kufa..so heartless...yule kijana ali sema watoto kweli watoto hawakuondoka subui...waliweka kama mnyama ati walienda Finland gaaai...na vile wana fatiliya he case wataki sema ule pia ame dedi...woooiiii...
Huyu shosho alikuwa na mjukuu wake anaweza tuma mahali kununua kitu, sahihi ndio huyu ameuwa na pastor hako mungu saidia mama mash mtoto wake hasikuwa walizikiwa pamoja.
😭😭 Jehovah mungu wa wanyonge,mungu unaeona yote ukiwa kwenye kiti cha enzi please intervene,we know justice in kenya never prevails if you have no money, but Jehovah you are just and no evil deed will never go unpunished, Jehovah our hearts are bleeding for the innocent souls please Jehovah wacha tukuone in this land where people don't fear you anymore and they are the people we trust us your servant,may your justice prevails the soonest.Give mama mash peace cos from the turn of events,her son might not be alive. For in Jesus name I pray n believe.Amen
Sama sell this episode to KTN News they put the story out there coz its so touching. Don't let this just pass like that, others will fall into the trap.
And what else we’re waiting na kinjana alikili watoto hawakuamka 😢 Mama mash don’t be silent keep pushing na watu wenye wako karibu na yeye fanyeni maandamano 🤷🏽
There was red flag all along this process and especially when Leon said aliwaita watoto na wawili hawakumjibu, that was the time DCI could have acted promptly. The delay was for this to access burial permit of public yard grave if not to the forest. Expose the chhurch and alart finland immigration department immediately. Let all those who participated stand behind the bars of court of justice.
@@faithmutua2694know he has his seniors that are controlling him. This country is rotten to the core. I just pity him he started well and seemingly he is relenting, why may be he is under tight security and compromised. Let us just rely on God and not man any more
Also thiga had said about the kids not waking up before even Leon said so ,there is a high possibility that mash is not alive ,akii God will punish pastor n the wife
Ooooh!!! My Good God... I just knew it when leon said watoto walikuwa wanaamshwa na hawakuamka, then he said something happened... Walikufa hao wawili... Mama mash mtoto wako is no more just take heart waambieni wakupee mwili.. Maybe they buried it with Njoroge in Langata 😭😭😭😭😭😭
Pole Godfre nilikua nimeanza kukufikiria vibaya just be good to those taking hongo bora utuwekee justice hapa and God will protect you. ni sacrifice wamefanyia watoto wa huyu mama.spirit zao ziko kwa pastor
A tree will be known with it's fruits. Ordained Catholic priests ordained behind yesterday will take us where we are going. They are blessed to seeing things with spiritual eyes.
We now need to know the name of the church.....mahali imafikia sasa tunataka kujua jina ya hiyo kanisa.....these people will never know peace in Jesus mighty name
Oooh nooo , where did humanity go.all this pain for these ladies mama mash n shosho just because people wanted money?when thiga said sikubwalirudishwa kina mash hawakuamka n leon repeated the same was a red flag.but i believe in God of Nazareth may u pay these people for what they have done to innocent souls
May that innocent soul never rest until justice is served,,,,, Please GOD do something,,,pengine mungu ametaka ukweli wa ili kanisa ujulikane kupigia uyu mjukuu,,, please GOD 🧎🏼♀️🧎🏼♀️🧎🏼♀️🙏🙏🙏
😢😢😢😢 Cucu may the LORD comfort you and strengthen you❤ It's Very painful, death is a sting. To take advantage of the weak, widows and fatherless God of Vengeance come down and judge the wicked in Jesus mighty name.
Oooh my GOD it Soo painful 😭😭😭😭 this is wea we ave reached innocent kids dieing in the hands of so called pastor, killing young souls coz of money, may GOD consume this pastor, her wife , Liz ad Leon with everlasting fire😭😭😭
Oooh my God 😢 maybe hata mash Hawa mashetani wamezika already Khai shoshi was confused that mtoto halikufa Arusha ngatia God his watching u justice for the kids
Wiki kama mbili zote zinaisha mko mwahio habari nanyie hamkua faster maana paster ipo na mke wake na Lizz wangeonesha watoto wapi walipo tunawalaumu nanyie DCI na samaritan mko slow san ila paster Mungu Anamuona mama mash pole san inauma sana 😢😢😢😢
God of heaven may justice prevail for the young soul your word says you are the father to the fatherless and the husband to window father we pray give them justice because you are a just God
God intervention, kenya yetu watu wamependa pesa adi wengine wathulumiwa ,naye mungu aketinye kwenye kiti chake cha enzi 😢shosh my prayers is with you 😊
Iii church inafaa ata uchomwa zo n kafara wanafanyasurely uyu shoshs n maybe iyo grandson ndo alikua anamtuma duka ata her aje ataenda aje hope mwanzo vile nai hukua n baridi this pastor.n bibi yake wanajua what is happening.and to Liz pia sio mzuri simtetei bt in kabla msee afanye kitu inafaa kuchunguza io kuingilia tu kitu juh n church inasema waeza jipata panaya kama nko n point piga likes tulienda.
It is very sad the way people can be so cruel because of money. I have no words. The so called pastor is a mature man doing such a thing to innocent children. There is God in Heaven 😭😭😭
Aki i don't have patience at all...i could have done the worst to these fools before wanizungushe aki..kwanza hicho kimama kinajiita mama kanisa😞mtafanya investigation nikiwa ndani
And for sure he died in there those kids had not been taken to Arusha i guess the others were critical could it be aliwapeleka hos ndio ana buy time wawe sawa@joymuthoni6975
The moment messages were discovered about kids "kukondeshwa" action should have been taken immediately. This is so painful, loosing a kid 😢😢😢😢 in the of Church. Pasta Show is the best when it comes to injustice to humanity.
It's very clear that the moment wawili walirudishwa mash and the other kid ndo walikufa...it has been so hard kwao kuface mama mash but wakaona wachanganye shush coz ata amelemewa na ugonjwa 😢😢😢😢
Ooh nooo.i think when others were released....dio kuriharibika....leon said something happened...you guys didn't give him chance...the moment alikua anasema hivo.....was maswali juu ya maswahi...
😢shosh pole sana aki na watu bado wanakimbizana na msaada Kenya Kenya 😢 pastor ako huru bibi ako na kiburi wako na pesa na lawyer endeleni kutoa watu kafara but mjue kuna mungu anaona kila kitu but hio church itajwe jina
this is very sad, hiyo kaburi ya mtoto wa shosh iangaliwe there's a big possiblity watoto hao wawili waliwekwa kwa casket moja na wakazikwa pamoja. Mungu deal na hao murderers wote
Samaritana kindly expose this church ndio watu watake precautions za kuenda huko tuma paparazzi chini ya maji ngai mtoto Marsh place uko we put a hedge of protection by the blood of Jesus Christ 😭😭 Soo sad huyu pastor should be exposed kwa TV citizens all medias
Sama wakati ingine unafanya poa but hii sio poa kabisaa juu ungetake action venye ulipata liz haungewachilia ni yeye alikua anajua mahali watoto wako img wangepatikana mapema.anyway rest in peace innocent soul 😭😭😭😭😭😭😭
Yea! Alikawia tu sana na hio ujinga yake ya contents na views mpaka watoi wa wenyewe wakakufa tu bure imagine..but anyway its already late now but I know all those involved will pay all this big time God is in control
Lord of mercy so watoto walikufa kitambo 😢😢😢na pastor Ngatia anatembea tu haulizwa aki justice for those kids woiyee this so heartbreaking💔💔💔inauma innocent kids pastor Ngatia, Liz, na huyu pastor wife you will never have peace
They even buried the child Two days without water Watoto wagonjwa So hata Macha achazikwa Jesus... The only person who can help here now for justice is Sonko.
Mrs ngatia said watoto wana connect with the nature😢😢😢😢😢 sama n dci shikanisheni hio rada. Mash n njoroge died kitambo. May they rest in peace
Tell them
Am just wondering could it be ata walizika wote wawili pamoja@Lucywachira7709
Imangine ile mvua na baridi ilikuwa may na watoto wanalala chini,..some people are not human,,..Ngatia waoraga ciana niundu wa mbeca??am in pain as a mother
Liz, Lyon, pastor na bibi ya pastor, mtajua there is God in heaven.
You killed a kid, may this kids spirit haunt you forever
At this age humans still believe GOD is living in heaven..GOD is living within us white men lie to humans
Na yule Mwengine pia inawezekana pia akaffa
Wacha kumuita pastor muite saitani
Aki it’s painful,they will never know peace ,parents we must learn from this story it’s so weird and painful 😭😭😭
Ngaiii ,😢😢😢 ,May that innocent soul never rest until justice is served. What a shame ,
Na nko suer hata liz anajua hao watoto wlkufa na akuhudhuria hiyo matanga na tulikua tunambia samartan angalie tena hiyo sim ya liz hakuskia hii yote ni utepetev wke na kuongea kila saa.
@@Josephineonyango-cl6ql . very true. Now you see when they say Money talks. But God will serve them the same measure they served those kids. What bothers me is. That church wote Waco under fear no one can stand up in the name of help my foot.
😢😢😢😢😢 maadamo please Samaritan exposed that church
Mniite
Ichomwe ata😢
Yes
Samaritan hawezi fanya ivo 😢😢nikama anaogopa Hawa watu
ata nasema hivyo
Thiga had a strong feeling when narrating the story,..he was crying with alot of pain..his statement was "hao wengine walishindwa kuamka"
True
May the Lord grant the family peace
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Yani wali tesa hawa watoto na nja mpaka waka kufa..so heartless...yule kijana ali sema watoto kweli watoto hawakuondoka subui...waliweka kama mnyama ati walienda Finland gaaai...na vile wana fatiliya he case wataki sema ule pia ame dedi...woooiiii...
shame on you poverty😢😢😢😢😢😢may thayyoung soul never rest untile justice prevail
Arise oooh God of vegence
and judge in favour of this familu...
Can someone tag Lynn ngugi pls this story is supposed to be aired everywhere
This shd be aired on all social media. They shd be exposed, church n pastor..kwani hizi church zingine ni cults....😮
This is a lie dear she is my mother in-law nothing like this
Ooh God i can't hold ma tears... pastor and your entire family may the spirit of this kid haunt you forever
Am in tears...am heartbroken
Those words from our own officer really encourages this old mother, may God send his Engels to her life
Huyu shosho alikuwa na mjukuu wake anaweza tuma mahali kununua kitu, sahihi ndio huyu ameuwa na pastor hako mungu saidia mama mash mtoto wake hasikuwa walizikiwa pamoja.
From the time Ngatia told mama mash hataona mtoto wake haraka anaenda Finland,hapo ndio nilijua baaasi
Huyo mtoto aliuliwa kitambo ..
So true 😢
I think hio kuwa starved at their age and to worsen the matters bado walikua na condition is what drove to their death....sad though
😭😭 Jehovah mungu wa wanyonge,mungu unaeona yote ukiwa kwenye kiti cha enzi please intervene,we know justice in kenya never prevails if you have no money, but Jehovah you are just and no evil deed will never go unpunished, Jehovah our hearts are bleeding for the innocent souls please Jehovah wacha tukuone in this land where people don't fear you anymore and they are the people we trust us your servant,may your justice prevails the soonest.Give mama mash peace cos from the turn of events,her son might not be alive. For in Jesus name I pray n believe.Amen
Sama sell this episode to KTN News they put the story out there coz its so touching. Don't let this just pass like that, others will fall into the trap.
Anglican
I wonder what is this story not trending haha kwa Facebook just huyu pastor ni shetani
Sio deliverance tena
@@annwangombe3628 ata nashangaa!! Yaani something like this happening in our country na hakuna alert anywhere
Can someone tag Lyn ngugi plz this case should be aired everywhere
Alaf mnasema mash ako uai God of heaven come through for mama mash this is so n in human walai basi mpee mama mash mwili ya mash akazike
Ile cku nilisikia something happen
Ire siku nliskia something bad hapen
Leon said it but Samaritan interrupted him na kumwambia apigie bibi ya pastor simu
Ngatia is operating thro some unknown or familiar spirits,hao hawanjali kabisa
@@ladyjk1173 kabi kama n hivi pia Mackenzie aachikiwe
Leon,said something happened, children sleep and they didn't wake up,😭😭😭😭so they died😭😭😭😭 ohhh mama mash God's have mercy on her..this so painful.
She will be chased away by the husband n family.
Sure
Mama mash cry for your kid already coz walishakufa na wa huyu shosh...another shakahola in Nairobi 😢😢😢
Imagine no one followed that path, Leon said watoto hawakuamka
And what else we’re waiting na kinjana alikili watoto hawakuamka 😢
Mama mash don’t be silent keep pushing na watu wenye wako karibu na yeye fanyeni maandamano 🤷🏽
Woiii😢😢😢😢
Innocent poor klchild, innocent poor Grandma, justice for this baby
Thy took the advantage of poor shush ....imgne waliuwa msichana na grandson wake so sad
Sama expose the church 😢😢and the pastor na bibi yake should be behind bars 😢😢
Wako na pesa,wako free
Maskini Leon ndiye ako ndani
The pastors yf said that they have lawyers everywhere!!!
Nilisema mash hyuko wallahi😢😢😢 juu yule mtoto alisema aliamshwa hakuamka pastor afungwe maisha lakin hatuna serikali😢😢😢😢 i feel for mama mash😢😢😢😢
Shida ni atuna sherikari ya kumfunga
@@joynouf5780wallahi mnyonge hana haki
Hawezi fungwa, ako na pesa
Akona pesa atawachiliwo tu
Sheria ndio hatuna kenya kwa wale watu wanyonge
Justice for the Children,, Its High time you Expose this Church Samaritan
Bado ana ifichilia
There was red flag all along this process and especially when Leon said aliwaita watoto na wawili hawakumjibu, that was the time DCI could have acted promptly. The delay was for this to access burial permit of public yard grave if not to the forest. Expose the chhurch and alart finland immigration department immediately. Let all those who participated stand behind the bars of court of justice.
And imagne the DCI instead of taking action to the criminals he is still reluctant for contents
@@faithmutua2694know he has his seniors that are controlling him. This country is rotten to the core. I just pity him he started well and seemingly he is relenting, why may be he is under tight security and compromised. Let us just rely on God and not man any more
Also thiga had said about the kids not waking up before even Leon said so ,there is a high possibility that mash is not alive ,akii God will punish pastor n the wife
Khaiiiii mwathani .....how do we even convince our souls that it is well
It is not well it was not
The Lord will always bless our able never tires DCI Goddfrey!!
Ooooh!!! My Good God... I just knew it when leon said watoto walikuwa wanaamshwa na hawakuamka, then he said something happened... Walikufa hao wawili... Mama mash mtoto wako is no more just take heart waambieni wakupee mwili.. Maybe they buried it with Njoroge in Langata 😭😭😭😭😭😭
I thought the same thing ...😢 But i hope they are ok
Samaritan expose this church.Hii kanisa ndio ipi....😢😢😢😢
Kawangware wapi😮😮
Please expose this church!!!!!!!
@@Hellen985 Mama mash should tell the name of the church....or she is afraid of pastor?
I tell you without fear this was sacrifice. Illuminati church O God where do we run to
Ebu tujua hii church ni gani tuokoa watoto wengine pls
Pole Godfre nilikua nimeanza kukufikiria vibaya just be good to those taking hongo bora utuwekee justice hapa and God will protect you. ni sacrifice wamefanyia watoto wa huyu mama.spirit zao ziko kwa pastor
It's so painful watu mko na watoto na mnatesa wa wengine Mungu awalipe😭😭😭😭
Ooh my God,yuko mungu mbinguni asikiae kilio cha wanyonge
Huyo mwenye anajita pastor Ngatia ni Makenzie mwingine.
I pray our God in Heaven in the name of Jesus Christ to prepare mama mash for whatever news is awaiting her.
Sama God bless you for the good work you are doing... God chose you with purpose..... forget about the negatives
I saw this coming..from the way Leon was talking...it was obvious something was wrong somewhere....aki mungu baba
Ata ndio alikua ana itisha chakula alikua ana shidwa kama ata weza ku break this news
@@RoseWandia-ry3pg Aki woi
A tree will be known with it's fruits. Ordained Catholic priests ordained behind yesterday will take us where we are going. They are blessed to seeing things with spiritual eyes.
Ngaiiiiii any lawyer in the house pliz this is an orphan shosho Hana uwezo
We now need to know the name of the church.....mahali imafikia sasa tunataka kujua jina ya hiyo kanisa.....these people will never know peace in Jesus mighty name
Her daughter died
Grandson followed
What a church
Nikama wanakula church members ndio wapate doo😊😊😊
Anajifanya anasaindia washirika akiwa na nia ya kuwatoa kafara
Nikama wanatoa watu kafara
Hii ni sensitive matter na serikali imenyamaza
Nikama watoa watu kafara ndio wapate pesa
Pole shosh for this big lost,may God Almighty fight this evil act from pastor and his wife
even mash hauko pole mummy so painful ikifika hapo Kuna watu wataenda prison na wengine makaburine
God protect them but everything happens for a reason things will be ok 👍
Oooh nooo , where did humanity go.all this pain for these ladies mama mash n shosho just because people wanted money?when thiga said sikubwalirudishwa kina mash hawakuamka n leon repeated the same was a red flag.but i believe in God of Nazareth may u pay these people for what they have done to innocent souls
May that innocent soul never rest until justice is served,,,,, Please GOD do something,,,pengine mungu ametaka ukweli wa ili kanisa ujulikane kupigia uyu mjukuu,,, please GOD 🧎🏼♀️🧎🏼♀️🧎🏼♀️🙏🙏🙏
😢😢😢😢 Cucu may the LORD comfort you and strengthen you❤ It's Very painful, death is a sting. To take advantage of the weak, widows and fatherless God of Vengeance come down and judge the wicked in Jesus mighty name.
May God comfort shosho ..Tuachie Mungu ..It is so painful 😢
Serious, this is a criminal case
Samar thankyou so much for following up on these hineous works..
You content creation work isn't for just a show..but its real on the ground
Oooh my GOD it Soo painful 😭😭😭😭 this is wea we ave reached innocent kids dieing in the hands of so called pastor, killing young souls coz of money, may GOD consume this pastor, her wife , Liz ad Leon with everlasting fire😭😭😭
Amen
Amiiiiiiiiiiiiiiiiiin yarabbi😭😭😭😭
Whaaaat, hadi wakapanga mazishi ? This is so inhumane
Hata mtoto? an innocent soul😢
😭😭😭😭my God fight for your people oooh God l know you are God who hears my God 😭😭😭😭
Children are innocent aky why God fight for them my God.
WE MUST KNOW THE NAME OF THE CHURCH
Huyo mama mwenye kuuza watoto na hiyo team ya kanisa crew yote wanafaa kufungwa maisha
Ooh my God what!?..mama kim you will never find happiness... 😭😭😭
Lynn Ngugi please
Oooh my God 😢 maybe hata mash Hawa mashetani wamezika already Khai shoshi was confused that mtoto halikufa Arusha ngatia God his watching u justice for the kids
Wiki kama mbili zote zinaisha mko mwahio habari nanyie hamkua faster maana paster ipo na mke wake na Lizz wangeonesha watoto wapi walipo tunawalaumu nanyie DCI na samaritan mko slow san ila paster Mungu Anamuona mama mash pole san inauma sana 😢😢😢😢
God of heaven may justice prevail for the young soul your word says you are the father to the fatherless and the husband to window father we pray give them justice because you are a just God
God intervention, kenya yetu watu wamependa pesa adi wengine wathulumiwa ,naye mungu aketinye kwenye kiti chake cha enzi 😢shosh my prayers is with you 😊
Sama we need to know which church is this taht is sacrificing people's kids 😢😢😢😢😢😢😢😢
Iii church inafaa ata uchomwa zo n kafara wanafanyasurely uyu shoshs n maybe iyo grandson ndo alikua anamtuma duka ata her aje ataenda aje hope mwanzo vile nai hukua n baridi this pastor.n bibi yake wanajua what is happening.and to Liz pia sio mzuri simtetei bt in kabla msee afanye kitu inafaa kuchunguza io kuingilia tu kitu juh n church inasema waeza jipata panaya kama nko n point piga likes tulienda.
Sama sasa Tangaza hii kanisa tukaijue alafu pia bibi Pastor apigwe viboko
Important
Sama anajifanya hapa msamaria na hasaidii hawezi tangaza juu ni muoga
True
Kwa hivo hio kanisa ni ya kutoa watu kafara,this is serious 😢😢😢
It is very sad the way people can be so cruel because of money. I have no words. The so called pastor is a mature man doing such a thing to innocent children. There is God in Heaven 😭😭😭
Alafu kilikua kiki ongea vibaya
….and on earth….
He's another Mackenzie
Na vile wako na midomo wasipate amani with whole of thir generation shame
Aki i don't have patience at all...i could have done the worst to these fools before wanizungushe aki..kwanza hicho kimama kinajiita mama kanisa😞mtafanya investigation nikiwa ndani
God bless you Samaritan. And our very reliable DCI.
That's why leon was saying something happened
And for sure he died in there those kids had not been taken to Arusha i guess the others were critical could it be aliwapeleka hos ndio ana buy time wawe sawa@joymuthoni6975
Niko hapo ata Mimi
He knew...
Leone knew na akapigia bb ya pastor akaja kuchukua watoi so Leon anajua watoi walikufa
Lets pray for mama mash
Poor grandma....😢😢😢😢
Woi God....they kept them hungry till they died.....very sad......God arise and fight for this innocent souls.
Hii makanisa mnapenda yenye ilikuja na (SGR mpya)afadhali kanisa za kitabo,Ack,P.c.e.a, Catholic etc... hizi kanisa ya mume na mke wake😢😢😢
They called them old sch but sibanduki
Ata huko mabo Iko bt mahali. Tumefika Wacha kanisa ikae
Huko kote kweisha hakuna Kitu soma ROMANS 1:18 mpaka mbeleni they are homosexuals and lesbians 😡😡😡
@@LydiagathoniGithinjihapa shetani ana makanisa yake na agents wake so pia mungu ana awake makanisa yake pia
Mrs Pastor says:::""my church""😮
Ghai this is so sad😢😢😢😢😢
That is why the so called ngatia said wakimaliza wataenda finland.sababu ashazika.God hv Mercy.
Imagine!!🙆🙆
My heart is bleeding,may his soul not rip until justice prevail,,may all those people never know peace
God have mercy 😢😢😢😢
Samaritan expose this church wuoye.Hii kanisa ndio ipi😢😢😢
The moment messages were discovered about kids "kukondeshwa" action should have been taken immediately. This is so painful, loosing a kid 😢😢😢😢 in the of Church. Pasta Show is the best when it comes to injustice to humanity.
God have mercy on this shucu
It's very clear that the moment wawili walirudishwa mash and the other kid ndo walikufa...it has been so hard kwao kuface mama mash but wakaona wachanganye shush coz ata amelemewa na ugonjwa 😢😢😢😢
Hii kitu Sama imeniuma Sana...of all the shows I've been following for the last 3 years...this one has touched .e the most... JUSTICE FOR THE KIDS
Aki Leon alisema something happened 😢😢😢...so both children succumbed to the stupidity of the so called "church"😢😢 I feel for the lost souls 😭😭😭
This kids are no more, that is why pastor was to run.
This church is in cult . Im so heartbroken 😢
True
Pole sana granny God will give you justice . If this DCI take action quickly this will not happen
Ooh nooo.i think when others were released....dio kuriharibika....leon said something happened...you guys didn't give him chance...the moment alikua anasema hivo.....was maswali juu ya maswahi...
😢shosh pole sana aki na watu bado wanakimbizana na msaada Kenya Kenya 😢 pastor ako huru bibi ako na kiburi wako na pesa na lawyer endeleni kutoa watu kafara but mjue kuna mungu anaona kila kitu but hio church itajwe jina
this is very sad, hiyo kaburi ya mtoto wa shosh iangaliwe there's a big possiblity watoto hao wawili waliwekwa kwa casket moja na wakazikwa pamoja. Mungu deal na hao murderers wote
oooh my goodness 💔💔💔💔💔💔 really now‼️‼️‼️‼️😭😭😭😭😭😭😭😭
Samaritana kindly expose this church ndio watu watake precautions za kuenda huko tuma paparazzi chini ya maji ngai mtoto Marsh place uko we put a hedge of protection by the blood of Jesus Christ 😭😭 Soo sad huyu pastor should be exposed kwa TV citizens all medias
Exposure is important.
I wish hizi story sinaeza fika Kwa innoro kila mtu ajue sama what u waiting we need to know name of church
Thats what we are crying for
Sa hata church ya wauwaji, illuminati, kidnapper nikitu ya kufichililia
Soo painful,,some pain will never go unpunished
All those who were involved in this, may they never know peace😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
The pastors yf once said"we have lawyers everywhere"!!there is a lawyer who is above lawyers ,who can never be bribed,He knows everything,
Samaritan i blame you ile time ulisoma text kwa liz ungeact that time hao watoi hawangekufa kuwa kaa stano,umenibore
niliwaxhow itafika Hadi 40 haja yake ni pesa Mimi na eastern tv imefka mwisho
Hii ndio content surely,ona matokea ya kutafuta views na content 😢😢😢
Sure
The bible says never play with an orphan wacha nikuambie may his soul never rest in peace
Sama wakati ingine unafanya poa but hii sio poa kabisaa juu ungetake action venye ulipata liz haungewachilia ni yeye alikua anajua mahali watoto wako img wangepatikana mapema.anyway rest in peace innocent soul 😭😭😭😭😭😭😭
Angefanya continuous sanitization ndio ajue their plans this wouldn't have happened.
Yea! Alikawia tu sana na hio ujinga yake ya contents na views mpaka watoi wa wenyewe wakakufa tu bure imagine..but anyway its already late now but I know all those involved will pay all this big time God is in control
Ngaii so sad watching from dubai 😭😭😭😭😭😭😭
Hakuna Arusha walikua anauza kidney za watoto 😢😮 Khai yaaani na hakuna justice woiye tuko Kenya gani
Hii biasara ya kidney kenya is too much.
Ni kafara
Kenya biashara ya kuuza mwanadamu iko juu sana Mungu tulinde tu
Lord of mercy so watoto walikufa kitambo 😢😢😢na pastor Ngatia anatembea tu haulizwa aki justice for those kids woiyee this so heartbreaking💔💔💔inauma innocent kids pastor Ngatia, Liz, na huyu pastor wife you will never have peace
Nimekosa maneno kabisaaa!
God of heavens is there hope for mash kama hata tayari wamezika
Mama Mash akiskia hii atacollapse coz her hope will be gone completely. God have mercy.
I wish there was a good ending to this kid's story, I wish there were tears of joy to mama mash meeting her son😢😢
😢😢😢sad and may the justice prevail.
Jesus Christ twambie hii church ni Gani sama please
We should plan for a demonstration.
Hi Samma..
Please keep us informed about Mash vile anaendelea
They even buried the child
Two days without water
Watoto wagonjwa
So hata Macha achazikwa
Jesus...
The only person who can help here now for justice is Sonko.
Ooh God cant hold ma tears 😭😭
These devils must be in illuminate,may be even the daughter was sacrificed 😭😭
Mm vile leon alisema to something happen😢😢 nlijua tu kuna kitu mbaya plus hizo nguo 😢😢 Liz
😭😭😭😭😭 meaning mash also died wooi hii ni kanisa gani kawangware wapi tufike hukowoooooi
Kama hayuko mwili Iko wapi
Aki Hata mm naulisa hili kanisa liko wapi huku kawangware nipite tu hapo niione coz naishi huko
@@marynabwile4086 my heart is bleeding
@@jeniffermwende5084 ngatia can do anything he is avampire
Did she view the body