RC MEJA JEN.MBUGE AONGEA BAADA YA KUKABIDHIWA OFISI "MIMI NI MTU WA KUJISHUSHA KATIKA KAZI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki Afande Maj. Gen Mbuge kwa nafasi hiyo mpya ila kukutoa kule sikupendezwa kabisa

  • @jumaigoti8638
    @jumaigoti8638 3 ปีที่แล้ว +6

    Najua inauma sana Ila tusiongee mengi.samia kukutoa jkt kafanya dhambi sana tena sana

  • @alexedward4069
    @alexedward4069 3 ปีที่แล้ว +7

    Dar.kiukweli umefanya mengi xana JKT. Nakama Magufulii angekuwepo wewe ulifaa kua General.sema naona kama kunakitu kinaendelea .. umefanya mengixana

  • @alfanikobero2601
    @alfanikobero2601 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie kwenye ayo unayo yaongea

  • @williamalphonce
    @williamalphonce ปีที่แล้ว

    Yaani huu mkoa tunaletewa Wanajeshi tuh Dadeki

  • @rogatiusscarion726
    @rogatiusscarion726 3 ปีที่แล้ว +3

    Afande uyu namkubali sanaa Ni mchapakazi kweli..kama aliaminiwa na jpm sina Shaka mkoa wetu unaenda kupiga hatua kubwa za kimaendeleo

  • @kelvinsospeter2697
    @kelvinsospeter2697 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabaliki wote ameen

  • @bunzarisisa2831
    @bunzarisisa2831 3 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi safiiiiiiiiu

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 3 ปีที่แล้ว

    Mtwara safi

  • @josephatmalley784
    @josephatmalley784 3 ปีที่แล้ว

    Mungu muweza wa yote

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 ปีที่แล้ว

    Mtwara sasa kumenoga Jeshi juu

  • @bunzarisisa2831
    @bunzarisisa2831 3 ปีที่แล้ว

    100000/100000

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kakoko angekua mchumia tumbo angembambikia lakini huyu ni kiongozi hasa maana kiongozi wa kweli haogopi hukumu anapokosea au kuonewa kwa kuwa huamini katika majaliwa yaani huamini kauli ya yesu ya ikiwezekana kik9mbe hiki kiniepuke ila nitakavyo mmi

    • @ukombozitv1311
      @ukombozitv1311 3 ปีที่แล้ว

      Alikuwa afande wangu 824 JK nampata sana

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 ปีที่แล้ว

    Kutoka Mkuu wa jkt mpaka Mkuu wa Mkoa hiyo ni promotion au dimotion?👮👮

    • @nurdinisalum3651
      @nurdinisalum3651 3 ปีที่แล้ว

      Jkt ni Kamandi tu ya Jeshi kama Land force ndio maana aliyekuwa mkuu was land force Meja General Kijuu alikuwa mkuu wa mkoa Kagera na kama ujuhi mkuu wa majeshi anampigia saluti mkuu wa mkoa

    • @hazjay4671
      @hazjay4671 3 ปีที่แล้ว

      @@nurdinisalum3651 Sasa Cjui Itakuwaje m2 Uliekua Unamtuma Sasa Umpgie Salute ila Huyu Mzee Angemuacha Kulekule Tu #JKT

    • @williamalphonce
      @williamalphonce ปีที่แล้ว

      Kapanda ngazi ya Juu

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 3 ปีที่แล้ว

    Hawa wanajeshi msiwaingize kwenye siasa

    • @rogatiusscarion726
      @rogatiusscarion726 3 ปีที่แล้ว +1

      Yupo kutekeleza maono na mipango ya serikali na sio kazi sio siasa

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 ปีที่แล้ว

      @@rogatiusscarion726 akili za kijinga eti maono labda maono mavi

  • @konkial-naaman2261
    @konkial-naaman2261 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja na kuleta hao kagera umelala kimaendeleo hakuna mkoa uliolala km kagera stendi kama zizi la NG'OMBE jmn pmj na sifa na ya usomi maprofesa hakuna mnachotusaidia kagera

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 3 ปีที่แล้ว +1

      Lkn kiusalama imekaa vizuri

    • @christinamsigwa151
      @christinamsigwa151 3 ปีที่แล้ว +1

      Mipaka mara zote kipaumbele ni ulinzi Kwanza, hayo mengine sio lazima serikali hata nyinyi wenyewe mnaweza kuujenga mkoa wenu

    • @konkial-naaman2261
      @konkial-naaman2261 3 ปีที่แล้ว +1

      @@christinamsigwa151 duh hahaha🙊🙊

  • @allyhotti3777
    @allyhotti3777 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha!!!! 🤣🤣🤣🤣🙏watu wametowamacho wanaangaliya MARC makamada wanakabidhiyana ofisi wanajiuliza mkoawetu kwanini tunaletewa MARC makamanda????🤣🤣🤣 hahahaha!!!!! Hamjijuyi????🤣🤣🤣🤣!!!!!

    • @kalumbugideon4159
      @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +1

      Tuko Karibu Sana na Nchi Tatu kaka Ally.....Usalama wa nchi hizo tu brother....Uganda wilaya ya Missenyi,Rwanda wilaya ya Karagwe,Burundi wilaya ya Ngara....n.k Ndo maana wamerejeshwa Wakurunga