MUHURI WA PILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @hellen9056
    @hellen9056 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde mtumishi ckuwahi kujua hata barikiwa sana

  • @riccahcate8126
    @riccahcate8126 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen

  • @Geofrey-Martin-Kaputa
    @Geofrey-Martin-Kaputa 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe sana mtumishi kupitia hizi shuhuda niliamua kuachana na hili kanisa nimeokoka nampenda Yesu natengeneza safari ya kwenda mbinguni

  • @faithe4063
    @faithe4063 4 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @lidyapaschal141
    @lidyapaschal141 2 ปีที่แล้ว +1

    BWANA YESU KRISTO akufunike kwa Damu ya Yake Amen. Maana unazungumza maneno mazur

  • @emmanuelkitengule8681
    @emmanuelkitengule8681 2 ปีที่แล้ว +1

    Shalom mwalimu, nimebarikiwa sana na mafundisho haya yaletayo UZIMA.Umekata shauku yangu ya kutaka kujua kweli.Barikiwa sana mwalimu najua umejitoa mhanga kufichua siri nzito kwa ajili ya bibi arusi wa YESU.Mungu na akupiganie sana.Nitasikiliza tena na tena nikipata swali nitakuuliza.

  • @faithe4063
    @faithe4063 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu niliota au niliona maono ya ajapu kusema ukweli sio ndoto ya kawaida, maji safi ulitoka jini nakaonyeshwa ndama nzuri ilikua nzuri kweli ila waliniambia hii shamba ni yako ila ndama hiyo sio yako kuna yako uku niliona makubwa sio iyo tu mara tulipita mahali pa mteremuko watu wengi walikuwa wanaanguka wengine wanapanda ngazi ila mimi niliwesa kupita adi ngambo ile nilipo fika ndipo nikaonyeswa mahali pangu ilikua nzuri kweli nikauliza na wenye walianguka ni nani atawaokoa akanijipu wachana nao wewe umesha pita salama

    • @langistany6811
      @langistany6811  4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni pigie WhatsApp +243819332010