Mashaallah Alhamndulilah vijana wetu tumewaona nakuomba M/Mungu wajaalie wachezaji hawa afya nusra waondolee mabalaa na Hasadi Allah wajaalie nguvu na Kheiri Inshaallah
Nawatakia maandalizi mema wachezaji na benchi la ufundi kuelekea mchezo wetu dhidi ya KMC na michezo yote iliyoko mbele yetu, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
Siunaona focusing Na progress kinachoendelea Ni kuongelea story Kwa kiufundi Zaidi kuajulisha mashabiki wa YANGA takwimu ya Timu Yao Na viongozi wao Kwa ujumla Na bado busy ya fikra inaendelea ya kuhusu uanja Tuna enjoy Sana kusikiliza story story za maendeleo ya Timu yetu ya YANGA.
Sisi wananchi tufocus kuchua kombe mara ya 3 mmfululizo tena jumla. Tuwemakini na hawa makolo wanaomtumia mayele kutuvuruga kisaikolojia ili tutoke kwenye reli ya ubingwa. Tusihadaike kabisa hizo NI mbinu za maadui.
USHAURI:- 1.Washambuliaji wuwe na utulivu wakati wa kufunga/wapunguze presha 2.Washambuliaji wasipige chenaga nyingi/wasikae na mpira muda mrefu kwny goli la mpinzani, kupokea pasi na kufunga
Kumsikiliza ali kamwe unaenjoy kabsa ila kumsikiliza yule msemaji wa makolo ni kama unamsikiliza mke anagombana na mke mwenza😂 hana facts ila kulegeza sauti tu😂😂
Alihamundulilah Mashaalah mungu ni MWEMA. ALLY KAMWE. Mungu akulinde na akujalie afya njema BROTHER. Akili mingi💛💚💛💚✌🎤
Msemaji mdogo mwenye akili nyingi....anajiewa...Mungu akutunze
HONGERA SAAANA ALLY KAMWE WEWE NI MSEMAJI WA TIMU NA SIO MLOPOKAJI KAKA YULE WA MAKOLO
Minamshauri kocha Gamondi awakumbushe wachezaji wasiwe na papara wanapofika kufungua goli, kwanini mnapaisha mipira mara Kwa mara? Halafu mkifika golini mnalemba mno HEBU rekebisheni makosa hayo. Mungu ibariki YANGA AFRICA. MWANANCHIIII.
Kaz nzuri semaji na alwatan hongereni sana
Kamwe..
Unajielewa sana brother hongera sana.....upo vzr Sana
🎉🎉🎉😊😊😊Allah awatangulie wachezaji
Kazi nzur sana. I love yanga african
Alhamdulillah kwa Babu kajuu kua vizuri pia Kwa wachezaji wote kuendelea salama Mungu awalinde 🙏🙏🙏
Msemaji mwenye kipaji chake nakupend san 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Safi sanawnyekiti wa .wasemaji wa clab zote Africa's . Asiyekukubali achimbe shimo ajifukie
Huyu kijana ana akili nyingi sana kuhusu anacho kifanya sio kuropoka kuliko kuongea point🎉hayo mapemaaa!
Mashaallah Alhamndulilah vijana wetu tumewaona nakuomba M/Mungu wajaalie wachezaji hawa afya nusra waondolee mabalaa na Hasadi Allah wajaalie nguvu na Kheiri Inshaallah
Club yenye mvuto tanzania na africa,inapendeza sn
The mostly successful club in Tanzania!!! 💛💛💛💛💛💚💚
❤❤❤❤ nakupenda Sana msemaji wetu .
Viongozi wanaojitambua ,najivunia kuwa na viongozi wanaojitambua wenye busara,na msemaji makini kamwe ,sijutii hata kidogo
Safi sana Ally Kamwe kukumbusha kusubsribe
Eeeh mungu tunaomba baraka na juhudi katika timu yetu bwana tujalie tushinde makombe mengi Kila mwaka eeeh mungu🙏🙏🙏🙏💚💛💚💛💚daima mbele nyuma mwiko
Safi sana semaji Mwenyez Mungu awape nguvu na afya njema wachezaji wetu amina
Ally Umekuwa sana kwenye Tasnia ya USEMAJI...hunaga mihemko... kama jirani blaa blaa tele na kusema na mikono
Jamaa ana takwimu🙌
Umeongea smart sana , well done
Bwana mdogo Mungu akubari husiwe mlopokaji kama wale wa polin wakati wapo Dar wanakula mikate
💛💚💛💚yangaaaa
Nawatakia maandalizi mema wachezaji na benchi la ufundi kuelekea mchezo wetu dhidi ya KMC na michezo yote iliyoko mbele yetu, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
ALLY KAMWE MWENYEKITI WA WASEMAJIIIIIIIII WOOTE AFRICA
In Sha Allah
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
Semajii lenyeee ofisiii mjinii
❤❤❤❤mashallah umejua kuchambua
Daima mbele nyuma 😊😊😊
Ally Kamwe ww ni mwanamivhezo kweli kweli,angekuwa yule tungesikia tunaenda kumfanya vibaya mno,lakini matokeo yanaenda kuwa tofauti kabisa.
Oooooooh yeeeeees
Alafu anatokea mshabik anasema sema tu gamond hiv mala vile hao mashabik ndo wanawapa mwanya makolo ya kuongea
Semajiii la africaaa 🙌🙌🙌🙌
Diara diara🎉🎉🎉
Huyu ndiyo afisa habari na msemaji anayejielewa, yule mwingine ni mlopokaji tu
Nakupenda bure kaka
Siunaona focusing Na progress kinachoendelea Ni kuongelea story Kwa kiufundi Zaidi kuajulisha mashabiki wa YANGA takwimu ya Timu Yao Na viongozi wao Kwa ujumla Na bado busy ya fikra inaendelea ya kuhusu uanja
Tuna enjoy Sana kusikiliza story story za maendeleo ya Timu yetu ya YANGA.
Alikamwe ni sawa na ahmed ally elf 100 usikubali kua kama lile na miemko
Acha kufananisha msemaji wa timu na msomaji wa taarifa ya habari. Ahmed Aly ni msomaji wa taarifa ya habari.
@@yassinchuwa8824😂😂😂😂😂 umeniua
Tuache jokes... Ally Kamwe yupo vizuri katulia saaana
Yanga yangu inanipa Raha sanaa🎉🎉
Kuna mtu shoga Kule Madunduka anajiita Semaji kabaki kubwabwaja tu. Mara adandie mambo ya Mayele. Mara sijui usenge gani. Manina zake yule
Sisi wananchi tufocus kuchua kombe mara ya 3 mmfululizo tena jumla. Tuwemakini na hawa makolo wanaomtumia mayele kutuvuruga kisaikolojia ili tutoke kwenye reli ya ubingwa. Tusihadaike kabisa hizo NI mbinu za maadui.
Muhimu!
Inshaallah
Yanga
Naipenda yanga jaman
Diara jaman nimemic kuona akidaka NBC
Tuko vizur zaidi ya Jana
Mwamba huyu hapa Ali Shaban Kamwe 🎉🎉🎉
Young Africans...
Kamwe kindok tunamuitaj mtwara tunataka kadi kaka
Wajina wewe unajielewa vzr sana siyo kama yule mnenguaji na mbana pua wa upande wa pili
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Master gamondi
Yanga SC ni Bingwa mala 30 zaidi
Ali kamwe 😊😊😊
Msemaji najua kaziyake alafukaturia
Yanga laha San jmn kesho kutwa tushinde ten jmn mazoezi mema
Tuko vzr zaidi ya Jana🦾💛💚🖐🏾🙏🏾🇹🇿
Eti siyo unakaa kwenye godaoni😂
Wajina hiyo yanga app mbona inakuwa na delay sana
Takwim ndio zinaongea,chezea semaji,akiri mingi kinyama
Tuko vizuri zaid ya jana❤❤❤
MUNGU awe pamoja nanyi ktk mazoezi na maandalizi mema kwenye mchezo wetu ujao 17Feb,inshallah tutapata point 3muhimu🙏
Usitutajie mayelekwenye interview yoyote mjinga Yule.
Uko vizur
Yanga bora kuliko jana
Pigeni kazi,msichanganywe na sakata la Mayele pamoja na makolo,wanachotaka wawatoe kwenye reli ya kupigania ubingwa.
Sasa huyu ndo anaongea kitu cha mantiki. Na sio yule wa mwaga maji mwaga maji fc. Mpira kwanzia mwanzo mpaka mwisho wa mchezo ni kumwaga maji tuu.
tabulele laaaaaaa
💛💚💛💚🖤
Numbers don't lie 💚💛💚💛💛
Mbona ukiweka kwenye numbers ya nje ya lnchi inagoma😊
😂😂😂 yanga rahaa😊
Mwamba huyu hapa
naitaji mkopo
mjooo nikupe
Bei gani
❤❤❤❤😊
USHAURI:-
1.Washambuliaji wuwe na utulivu wakati wa kufunga/wapunguze presha
2.Washambuliaji wasipige chenaga nyingi/wasikae na mpira muda mrefu kwny goli la mpinzani, kupokea pasi na kufunga
Mm naitaji card ya uannachama
✅✅✅✅✅💲
Kumsikiliza ali kamwe unaenjoy kabsa ila kumsikiliza yule msemaji wa makolo ni kama unamsikiliza mke anagombana na mke mwenza😂 hana facts ila kulegeza sauti tu😂😂
siso nbora
MAJINI FC ,😂😂😂
😂😂🎉🙏👏👏
Video hazina sauti Ali
Mala pa pu majini yanapasha
Daha nimecheka kwa sauti et majini yanapasha hahahahaaaaaaaa
Utopolo fc
Yanga