Kubeba vitambulisho kwa wanawake tunaweza sababu tunatenbea na mikoba sasa wanaume kwao ni mtihani utakuwa unabeba walet kubwa kwwnye mifuko ya suruali inaweza kudondoka au kuibiwa! Itakuwa Maana ya vitambulisho vya digital hatuitendei haki maana kuna finger print kwanini isitumike mahospitalini maiti ikiletwa ikiweka kidole tu itasoma jina lake na picha kamili. Au finger print za maiti hazisomi kwenye computer naomba nieleweshwe pls! Manake tunapata shida sana kutambua maiti wengine wanazika maiti sio zao!
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Huyu mkuu wa mkoa simuelewagi kabisa, anaongeaga pumba tu😅😅😅, tatizo pombe nyingi.
ILE GARI LORI ALOGONGANA NALO LIKO WAPI?MAANA SI NI AJALI
Habari inatuchanganya dokta alisema police ndio walimpeleka nalipo fariki aliwapigia cm police wakaja kuchukua mwili nakuupeleka mwananyamala.
Mh mashaallah una sijda wewe utakuwa muislam wa damu !
Huyu ulomi wamemuua wakatafuta story ya kuwardhsha watu, nasababu kubwa huyu jamaa alikua askari km niajali waliiratibu wao
Mtu aliepata ajali apelekwe zahanati?alitakiwa kupelekwa muhimbili må
Moja kwa Moja jamani
Kubeba vitambulisho kwa wanawake tunaweza sababu tunatenbea na mikoba sasa wanaume kwao ni mtihani utakuwa unabeba walet kubwa kwwnye mifuko ya suruali inaweza kudondoka au kuibiwa! Itakuwa Maana ya vitambulisho vya digital hatuitendei haki maana kuna finger print kwanini isitumike mahospitalini maiti ikiletwa ikiweka kidole tu itasoma jina lake na picha kamili. Au finger print za maiti hazisomi kwenye computer naomba nieleweshwe pls! Manake tunapata shida sana kutambua maiti wengine wanazika maiti sio zao!
Ajali yake Iko wapi
Kisima!!! Kisha, awe hai! Mmh!!