اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ Sheikhe mm nina suala hv kwamujibu wahadith zilivyokuja kwamba mtume alikua akiwabusu wake zake akiwa na udhu halafu anakwenda kuswal hv mtume alikua akiwabusu wake zake busu lanamna gan asa lahewan au coz kama busu kikawaida unaweza kumpiga mtu hata kwenye simu nabado likaweza kubeba jina la busu
Aslaamu aleykum: Kanza naomba namba za simu. Suala langu ni hili kwa mfano mimi nime owa mke na mke yuko mbali na siwezi kumfikia ila ni safari ya ndege na mimi sina wezo kwa sasa na mimi toka ni muowe sija onana ma yeye kwa tendo la ndoa jee nina weza kuomba mkopo wa dharura kwenda kumuona mke wangu?
Huyo mke ulioa vipi msikutane. Hapo ndoa haijakamilika. Mkopo ni kitu kingine hakuna kwenye dini jambo lolote linalolazimisha ukope. Na kama ingekuwa hivyo kuoa ni sunna na kuhiji Makka ni faradhi hivyo tungelazimishwa kukopa ili tukahiji. Allah Yaalam.
Katika kukibu maswali madhehebu yazingatiwe. Sio vibaya kujuwa Sheikh ni dhehebu gani na kueleza mtizamo wa kila dhehebu. Sio vyema kujibu public jambo lenye ukakasi kwa wengine. Ikiwa ndani ya Msikiti au majlis ya dhehebu husika sawa.
mm nauliza jaman kun kitu sikujui jee ukitokwa na manii bila yakufanya tendo la ndowa au kumuingiliya mwanamke jee unakoga janaba au unakoga tu kikawaid jaman nisaidien hapo kuuliza sio ujinga
shee ushaambiwa mojawapo ya sababu za kuoga janaba ni kutoka manii iwe umefanya au yametoka kwa njia yoyote ile kama kuota ndoto au vyovyote itakavyokuwa
Alhamdulilah hili swali limenisimbua sana shukran kwa darasa acha nikasali sasa🙏🙏🙏
Good work
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
Sheikhe mm nina suala hv kwamujibu wahadith zilivyokuja kwamba mtume alikua akiwabusu wake zake akiwa na udhu halafu anakwenda kuswal hv mtume alikua akiwabusu wake zake busu lanamna gan asa lahewan au coz kama busu kikawaida unaweza kumpiga mtu hata kwenye simu nabado likaweza kubeba jina la busu
Assalaam aleikum naomba niulize
Twaiyibu
Aslaamu aleykum:
Kanza naomba namba za simu.
Suala langu ni hili kwa mfano mimi nime owa mke na mke yuko mbali na siwezi kumfikia ila ni safari ya ndege na mimi sina wezo kwa sasa na mimi toka ni muowe sija onana ma yeye kwa tendo la ndoa jee nina weza kuomba mkopo wa dharura kwenda kumuona mke wangu?
Huyo mke ulioa vipi msikutane. Hapo ndoa haijakamilika. Mkopo ni kitu kingine hakuna kwenye dini jambo lolote linalolazimisha ukope. Na kama ingekuwa hivyo kuoa ni sunna na kuhiji Makka ni faradhi hivyo tungelazimishwa kukopa ili tukahiji. Allah Yaalam.
Katika kukibu maswali madhehebu yazingatiwe. Sio vibaya kujuwa Sheikh ni dhehebu gani na kueleza mtizamo wa kila dhehebu. Sio vyema kujibu public jambo lenye ukakasi kwa wengine. Ikiwa ndani ya Msikiti au majlis ya dhehebu husika sawa.
mm nauliza jaman kun kitu sikujui jee ukitokwa na manii bila yakufanya tendo la ndowa au kumuingiliya mwanamke jee unakoga janaba au unakoga tu kikawaid jaman nisaidien hapo kuuliza sio ujinga
Manii hayatengui uzu lamda utaman ila manii nikitu kina toka mara kwa mara ata ukiwa ndani ya swala
Www, manii hayatengui udhu ila utaenda kuoga janaba coz yametoka manii au kuingiliana kimwili
@@abdulhamidhaji5056 ataendaje kuoga janaba wakati haja fanya tendo?
Na amesema apo kuwa haja fanya tendo
shee ushaambiwa mojawapo ya sababu za kuoga janaba ni kutoka manii iwe umefanya au yametoka kwa njia yoyote ile kama kuota ndoto au vyovyote itakavyokuwa
@@shamimkingazi8925 dalili hii umeitoa wapi ndio mwanzo naiskia kwako nijuze kwa kirefu tafadhali