SAIDA KAROLI| UGUMU wa MAISHA wa MAISHA UNAVYOMTAFUNA kwa SASA, DHURUMA ya PESA ILIVYO MUUMIZA!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2024
- SAIDA KAROLI| UGUMU wa MAISHA wa MAISHA UNAVYOMTAFUNA kwa SASA, DHURUMA ya PESA ILIVYO MUUMIZA!
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Lanenepa.mashalah
Mpaka leo bado zinaishi
SAIDA UMEWAIMBIA SANA WATU LAKINI HUJAMWIMBIA YESU KRISTO WA NAZARETI.Nakuomba nakusihi ANZA SASA KUMSIFU YESU KRISTO WA NAZARETI ATAKULIPA ZAIDI.
I respect her so much namuombeaga kila siku mungu amuweke miaka 1000 maana huyu alinilea miaka 7 nilienda kwake nikiwa mdogo sana mpaka saii niko Star kwa sababu ya huyu mama heshima kwake❤❤❤❤❤❤
Saida tunakupenda sana!!👑
Ukiachana na usanii bado ww ni mama la mama Mungu akubariki sana mdogo wangu
Maskn anapambana kwa ajili ya watoto wake hongera sana❤❤❤
Nakataa
@@liberatusjackson5045kwanini?
Huyu tumuheshimu kashfa so nzuri ni mama yetu
Kwani nani amekoment kashfa na wewe hovyo
😅😅
❤❤❤
@@evakessy3282kwani wewe huoni hiyo title ya hapo juu walivoandika eti UGUMU WA MAISHA UNAVYOMTAFUNA SAIDA KAROLI sasa siuongo huo kwa maisha gani mabaovu alonayo??ni usenge tuu wanataka wapate views wengi
😂😂😂muambie huyo.@@evakessy3282
Hizi interview zinafundisha sana hasa kwa watu wanaoongea ukweli kama mama Saida MWENYEZI MUNGU akujalie zaidi kwa moyo wa kuwasaidia na kuwafunza wengine
Mungu akupe maisha marefu
Mbona kaacha kuimba kipawa akiozi ats kwe. Mie Mkenya ningali na kumbuka nyimbo zako nikiwa jijini Nairobi. Mie Mkenya. ❤
Mme wangu anapenda nyimbo zako zote ❤
Angalia utaibiwa mme
Hongereni Global TV Kwa kufanya interview na Saida Karoli rejendri WA Muziki wa bongo akiwa hai
Wow I'm happy to see her,akipata profession interviewer anavitu vingi vya kufundisha vijana
Hivi mtu akitaka kumzawadi huyu mama amfikie vipi.She deserves to be appreciated. Nyimbo zake zinanigusa sana.
Mungu anatupenda sote huyu mama kanigusa sana lakini mafanikio yapo haijalishi ni umri upi ulio nao jina lako mama nikubwa sana na sio Tanzania tu africa kwa ujumla Mungu akusimamie mshirikishe pia Mungu katika kila jambo kama unavyo kubali ukuu wake katika maisha yako una moyo mzuri Sana Mama
Kiukweli mama yangu nikushauri tu, kama hakuna affect unayoipata usukumani; naomba endelea kupiga chaka to Chaka, kama malengo yako Huwa yanatimia; usichague mama kikubwa Hela. Mi najua kilichokufelisha ni technology ya muziki haikuwa imekomaa mpo wengi sana mlipiga kazi kubwa ila hakuna kitu Leo.
Watu walichezea sana kazi zenu walitajirika, na mbaya sana mama yangu hukuwa na Elimu kabisa. Piga kazi mama yangu kikubwa Hela. .
Nashauri Saida akahojiwe na Milard ayo,au atafutiwe mwingine ndani ya global, huyu mwingine hajui kumuhoji mtu aliye kaa mda mrefu bila kuhojiwa, ana mambo mengi kifuani lakini hana mtu wa kuyachokonoa... Nimehuzunishwa na mwandishi wenu anaye chekacheka tu bila kuhoji maswali ya msingi.
Kweli
@imelidamtema ndo anajua kuhoji mtu
Huyu mama nampenda sana mpaka kesho
Hongera sana mama yangu wewe ni mwanamke na nusu,sema rudi kwenye asili ya nyimbo zako utabaki kuwa juu lakini huu ukisasa ndo utakudidimiza.Natamani nikuone wa moto siku zote
Kikubwa uzima mamangu. Hatahivyo Mungu amekubaliki nyumba yakuishi na watoto wako! Tunakupenda sana.❤❤❤❤
Hongereni sana kwa Interview yenye mafunzo makubwa na kumleta Bi. Saida Karoli. Tunampenda sana🙏🏿🤗
MashaAllah nafurahi kumuona huyu mama nimekuwa nikisikiliza nyimbo zake za zamani karibia nusu nakujua kuimba kilugha chake❤wote nyumban tunapenda sana saida karoli,
Asante Saida kwa kumkumbuka meneja wako.
Nimependa sana aliposema ivi "nikazama mtoto wa kike itakavokuwa na iwe Mungu akupe maisha marefu @said
Tunakupenda mno saida
I'm from kenya I truly like this mamaa because nikikua songs zake ndio nilipenda kwaza afu anakaa mama mpoa sana much love ❣️❣️
Natazama toka Kenya.hongera sana dada kipenzi ❤❤❤❤❤❤ nakupenda .sana.nakukubalia kabisa🎉🎉🎉
Dada saida anza kumwiimbia Mungu sasa
Safi sana saida. Ludi ktk mziki wako. Tunakupenda sana❤❤❤
Huyu ni Muanga wa cloudz FM ..Walimtumia sana kwa faida yao
Napenda mno jimbo zako, yaani kila nikisikiliza najikuta napata radha ya kipekee mno.
Hongera sana Mama saida kwa kipaji ulichojaliwa na Mwenyezi Mungu
Interview nzuri sana, story nzuri sana. Mwenyezi Mungu awabariki nyinyi note wali kwenye kipindi hiki.
Icon. Halafu hataki maisha ya kufake. Nimependa hiyo spirit.
Mtangazaji kuna maswali ya msingi ulipaswa uulize kwa hii interview huyu mama ni legendary
Hongera sana...mama Saida kwa Kipaji chako
Mashaallah Allah Akutunze zaidi❤
Gosh I love her ❤ good to see Saida
Wasukuma watu pouwa sana❤
Ili litangazaji halijui kuuliza maswali ya maana uzuri Saida anajiongeza anaelezea hata vitu ambavyo ajaulizwa
Yani Hadi kero
Yaani mtangazaji ziro kabisa anajikunakuna Tu namiguno kibao
Kweli bro Yan halijui kuhoj da kumbe umegundua nlhs n mim peke yang
huyu jamaa hajui kuhoj kabsa jaman anashusha brand
@@user-hy6lh7cp1q ila sometime muwe na heshima siyo kumtusi mtu,unapomuita binadamu mwenzako hili litangazaji unaonyesha jinsi gani wewe hujielewi.
Mungu akuweke sana
Bonge Moja la interview 💯💯 big up Global TV
Legend kabisa 🙌🔥🙌
Uko vizuri Mama
Mashaallah Mungu akupe hitaji la moyo wako❤❤🙏🙏
Nakupenda sana mama yangu Saida ❤❤❤
Pole Sana Mama Saida Kaloli
Shoo ya Kampala Uganda uwanja ulijaa akatapeliwa pesa yote akaja Tanzania kwa msaada wa lift.Akina FM walimfilisi wakatajirika wao
Hata Saida akija kampala sasa hivi... Hawezi-shindwa kupata watu... Tena watu wengi sana...usikate tamaa mama
Uko sawa dada. Yetu kukopamoja nawe mungu akulinde type vit😊
We need you in Kenya my dear Saida,I loved your music,Ngoma Zako zilifanya nimpende Sana make wangu(mapenzi kisungusungu)
In proud of her. Sijawai jua sura lakini sauti yake naifahamu sana
Habari studio
Naitwa J.M
Nahitaji kuonana na Saidia Kaloli.
Naomba mniunganishe nae.
Mbona kataja namba hapo mkuu
We onana nae tu
Pole saida ila umenichesha
nimependa sana anavyo ongea ukweli uhalisia wa maisha yake
Safi sana mama uko vzr kw kujiamini bila hofu ktk upambanaji kimaisha.Endelea kupambana na husikose kumtanguliza na kumuomba mungu💪♥️
My late bro loved nyimbo zako sana nikiwa shule ya msingi uku Kenya,maria Salome na zingine.
Nakupenda
Ubalikiwe sana
Yes mum people learn day after day....
Dust your gown and continue with the race mum , you are still alive
Hongera Sana mama ulifanya kazi nzri kwa muda mrefu
Dàh had roho inaumaà kweliiiiiila jaman , maboss hata kama mtu akiwahajui mlipe kisitahiki, mtu mweleze ukweli umepata kiasi hiki mnaweka mezani yote na mnagawana kiasi gani❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri
Umebarikiwa
❤
Mm nakupenda sana sana tangia umeanza nyimbo Yako yakwanza nakutafuta sana sana dadaangu
Safi sana mama anahekima,tujifunze kitu.
Heshima sana
She is so beautiful I
Love her
Asante tunakupenda mama
Unajua sana kuimba nyimbo za asili ungejua watu wanavyokupenda sio wahaya peke yao, toa nyimbo nzuri andaa shows watu watakusapoti
nimeguswa namaneno yako mama angu ❤nakupenda sana❤🎉🎉
Saida karoli nakukubali sana mama yangu ♥️♥️♥️♥️
Mamangu anapenda nyimbo zako sana mpaka anatulela kila mda muweken saida
Mtangazaji hajui kazi yake vilivyo, hajui kuulizwa maswali ya uchokozi na ya udadisi
Duh..! Aseee
Saida nakupenda sanaaaa❤
Mungu akutunze mafanikio hayana umri.
Napenda sana nyimbo zako ameen
Nyimbo zangu pendwa ni kaisiki,iyembe,ngoz zone,
Minha mãe foi tua fã em toda minha infância, ela gostava muito de escutar as suas músicas 😚 . Pena que eu xtou muito longe dela ia gostar muito de ver. amo a senhora por causa da minha mãe direito de Mz 🇲🇿🇲🇿
Mama Angu Mungu Atakutukuza siku zako zilobaki kwenye game Mama
Mwandishi unazingua.Kuhoji " F"
Mi kiukweli mzee Mutta alikuwa na roho nzur sana sana mimi nilimjua kwa mema tu.
Mama tunakupenda sana hasa sisi wasukuma tukikuona tu tunafurahi utafanikiwa bila kujari umri wala miaka Mungu atakuheshimisha ❤❤❤
Umeanza kujikuza tena Saida.Tulia piga kazi achana na mambo ya brand.Hayo ndo yanakufanya ukose deal.Tunakupenda husijikweze wewe piga kazi.Sema umeiva sana.Umeongea vizuri mno.
Mama,umenenepa sana enda gym.
Kenya ishara ya like tunapenda nilikusikia ni kiwa namika 5sahii niko 28 nabado nakupenda. garuka garuka garuka mwanawenge nahupende nimaisha halisi hayo pitia mamangu 😢
Huyu mama interview yake nzuriiiiiiiiiiiiiiiiii
Huyu mkweli Sana Mungu amsaidie.
Million's yani Tanzania si kitu sisi huku Kenya 🇰🇪 ukishika million uko na security all over kama si hivo vijana wa kayole na wewe😂😂
Hakika ww mpambanaji sana hongera dada
🇲🇿 kutoka Mozambique Mimi ninamuona Saida nikiwa mtoto, nasema ukeelyi Saida Karoli tunakupenda sana, Mimi APA nitampenda milele.
Tunakupenda ndugu yetu,, tunakupenda sana ukooo uko pamoja nawe
Saida Karoli ❤️❤️❤️
Mimi Nina mjua Mama Saida Karoli anaongea ukweli na anachokiongea ni somo kubwa Kwa Saida KAROLI.
Eeweeeeeh_🤔
Kabisa maza anaongea ukweli
Sasa online pesa zake anakula nani? Mdundo, boomplay,
Upo dar sehemu gani
Pole sister I love you so much but naumia sana😢😢😢
Da Saida imiss u
Nime umia sana Mungu akuongeze mama
❤❤❤❤safi mama tuko pamoja
Nashukuru kama umeliona ilo kak
Usjali my sister amini hicho ulichonacho ndoalchokupangia MUNGU 😊