Nuru The Light aililia serikali ya Tanzania kuruhusu mambo haya kwa watu wa Diaspora Tumeongea sana'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @niyonkuruobasanjo3304
    @niyonkuruobasanjo3304 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa sister umeongea point nzuri. Watuache tuitwe watanzania. Inauma, kwa nini nchi yetu wachukie diaspora.

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +7

    Watupe hiyo duo citizenship watu tujenge nyumbani kwa majina yetu badala ya kutumia majina ya ndugu au marafiki ambao mwisho wa siku mnatapeliana. Mama atufikirie wana wapotevu tunaotaka kurudi nyumbani😂

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog ปีที่แล้ว +1

      Sahihi kabisa mwenzangu

    • @berthatz
      @berthatz ปีที่แล้ว

      Yaani dada yangu..Kweli tunavoipaya pesa kwa shida huku…Then ujenge kwenye kiwanja chenye jina l mtu mwingine kweli??Inataka moyo wa aina yake😂😂😂🤝

  • @kingnebuchadnezar
    @kingnebuchadnezar ปีที่แล้ว +2

    Ni upuuzi mwingi unaoendelea na kuna watu wananufaika kupitia upuuzi huo, nyumbani ni nyumbani, kila siku wenzetu wanakuja kuchukua mali Africa wanaondoka nazo lakin waafrica kurudi kwao wawekeze mali walizopata kwa ajili ya maendeleo ya nchi zao ni shida, hii ni zaidi ya kurogwa

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial ปีที่แล้ว +2

    Jamani nawapata kutoka Mozambique 🇲🇿 mkoani Pemba Cabo Delgado

  • @elizabethjohn7177
    @elizabethjohn7177 ปีที่แล้ว +1

    Mm nafikili wakikubali maedereo ya taongezea zaindi yani mala mbili yake?

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mtanzania niliyeishi UK tangu nikiwa 20yrs na sasa karibu ninaretire, sasa kwa siasa hii, ninapanga nije kuuza investments zangu zote ambazo zitanipa pesa ambazo zitanisaidia mimi huku kwa sababu watoto wangu ambao sio watanzania hawataweza rithi hizi investment, so ni bora niuze nihamishe pesa nii enjoy retirement life yangu huku, ambako matibabu nitapata bure, transport nitapata bure na mambo mengi sana na hata passport nitabadili sasa. wanatakaje watoto wangu waliozaliwa UK wachague uraia wao wakati hawana cha kuofa??

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog ปีที่แล้ว

      Sahihi

    • @swahiliwithZita
      @swahiliwithZita ปีที่แล้ว

      It's just sad 😔

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 ปีที่แล้ว

      😄😄😄ohooo ur legacy will be left in UK

  • @pendonoor8869
    @pendonoor8869 ปีที่แล้ว +1

    Ni ujinga wa inchi za KiAfrika! Mimi nawashangaa sana wana siasa wa hapa. Double citizenship ni kitu kizuri sababu diaspora inaleta pesa bwana!

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +1

    Kutuma pesa mimi nilishaacha hata banki account zangu nilishafunga. Sasa kama wote tukifanya hivyo, itakuwa ni big hole.

  • @allymaulid9391
    @allymaulid9391 ปีที่แล้ว +1

    Duh hii inchi viaz kweli

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita ปีที่แล้ว

    Yani Serikali ya Tanzania inabidi ielewe kuwa you can't deny birthright ya mtu! Haki ya mtu ya kuzaliwa inatolewa na Mungu so binadamu kwanini akunyime? It's not fair kwakweli without dual citizenship ngoja tusubirie Feb 20th ndo kesi itaanzwa kusikilizwa represented by Kibatala

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @virendavictoria5174
    @virendavictoria5174 ปีที่แล้ว +1

    The big issue ni kuwa wanaogopa sababu wanajua diaspora hawana maujinga tulionao so mtawanyoosha maana wanaoenda wajinga wawape khanga wasahau kuwahoji mambo muhimu

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว

    👍❤🇨🇭

  • @alsam4881
    @alsam4881 ปีที่แล้ว

    Hapo Tatizo siyo kuwa mlienda nchi za nje kutafuta maisha halafu mkarudi nyumbani hamjakataliwa kama wewe ni raia wa Tanzania, na mna haki ya kumiliki ardhi na vitu vyengine kama raia yoyote wa Tanzania, Lakini Tatizo lenu ni kwanini mliukana Uraia wenu wa Tanzania na kuchukuwa Uraia wa nchi za nje? Halafu mnataka kumiliki vitu Tanzania wakati nyinyi siyo raia tena? Na hiyo miamala mnazotuma ni kwa ajili ya kuwasaidia familia zenu waliokuwa bongo, na kama mkigoma kutuma basi mtawatesa familia zenu na kufa njaa na siyo kuwa mtaikomoa Serikali.

    • @Bisekoson
      @Bisekoson ปีที่แล้ว +1

      Watanzania kupata uraia pacha si haki yake, ila wale wahindi waliojazana kwetu, wana uraia wa India na wana passport za Tanzania. Huo ni upuuzi.

    • @pendonoor8869
      @pendonoor8869 ปีที่แล้ว

      Brother uuliza tena! Inchi nyingi za ulaya na amerika wanakubali dual citizenship even more!

    • @samniza1763
      @samniza1763 ปีที่แล้ว

      Only in Tanzania you think like that right??

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว

      Sikutegemea comment kama hii,baada ya maelezo huyu dada aliyotoa,watanzania tuna safari ndefu bado. Hakuna mtu anaeukana uraia isipokuwa lazima uelewe kuwa unapoishi nchi zingine uraia wa nchi hiyo hukusaidia kupata benefits fulani kama ambavyo ukiwa mtanzania pia unazipata na sio kuwa mtu anataka sana kuitwa mmarekani au mswedish ila ni katika kutafuta unafuu wa maisha. Na je hata nisipochukua uraia wa nje,kwa nini niwekeze Tanzania ikiwa watoto wangu niliozalia nje watapoteza hivyo vitu nilivyowekeza?

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว

      @@Bisekoson Yaani watanzania tunarudishana nyuma wenyewe,mhindi unakuta ana uraia wa India,Tanzania na U.K na kote ana biashara. Akija Tanzania anatoa rushwa,au anamjengea kiongozi nyumba anaachwa afanye mambo yake.