Bajun culture - home is home (nchhu ncwavo)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @wiilsomaliyed5257
    @wiilsomaliyed5257 6 ปีที่แล้ว +5

    Wadankena wan ku fana walahy
    Greeting from burco togdheer🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @farhanmohamed744
    @farhanmohamed744 5 ปีที่แล้ว +3

    Baada ya kuingalia hii Video clip kwa makini, nimeona ghafla nabubujikwa na machozi. Mtu nkwao.Very commendable work done by our Muslim Scholar-Sheikh Shamy Athman.Bravo to all who made the clip.Nchu nkwaavo.

  • @sameeraly7328
    @sameeraly7328 6 ปีที่แล้ว +7

    My ancaestral land is Simambaye and Rubu. Tho i have not been to these places i feel very much attached to these places. Thanks for uploading this video Sheikh Shamy

    • @mohammedfakih9820
      @mohammedfakih9820 4 ปีที่แล้ว +3

      Me too my grandma hails from Simambae and have people from mvundeni, rubu. Sendeni. Most of her family moved to mombasa, malindi, ngombeni and muheza in Tanzania. They were displaced. Never been there, but my cousin from malindi did go while going to barawa.

    • @gaalkacyocitygalmudug
      @gaalkacyocitygalmudug 3 ปีที่แล้ว

      Where is Simambaye located at?

  • @msellemkassim2515
    @msellemkassim2515 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye sindano ni mungu hushona bila uzi.

  • @abubakarrahim8482
    @abubakarrahim8482 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah nchu nkwavo na vazee mufene sana mungu avape umri mrefu ili mupache kuchuelemisha kwa dhisa na mashairi ya kibajuni. Haya ndio atakikanao kuelemishwa na vazee vechu sio kusoma kwa vabara valoandika dhitabu.

    • @jumamayugwa4763
      @jumamayugwa4763 4 ปีที่แล้ว

      Habar napenda sana tamadun za bajuni

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 4 ปีที่แล้ว +1

    ماشاء الله استاذنا بارك الله فيك

  • @hakimbwana3864
    @hakimbwana3864 6 ปีที่แล้ว

    Sukrubu nivekea.. kwanda niwhonea Kandu.. first things first.

  • @dinisrealm3240
    @dinisrealm3240 6 ปีที่แล้ว +2

    Tuhifadhi Lugha na Mila ya wabajuni. Hii ni tendo mzuri.

    • @abyan1351
      @abyan1351 6 ปีที่แล้ว +1

      Abdiweli Dini walalow mxay ku hadlayan culumadan yaase ii fasiri karo
      Af somaliga umada u dhaxeeyo iigu fasira plzz hadalkaan dad gaar ah ayaa leh sax oo ma wada naqaano I

  • @fatmamudathir3038
    @fatmamudathir3038 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah ndiko kwetu hoko, babu Wa kwanda hutoka simbambaye, Wa pili hutoka mvindeni Wa chachu hutoka kiwayuu,,, je wabaajuni asili yao hutoka wapi?

    • @untouchablesmiles4531
      @untouchablesmiles4531 6 ปีที่แล้ว +1

      Wabajuni kikovu chavo ni shangani mogadisho wakati huo kabla ya wasomali havayaya kachika karne ya 14 upande wa pwani chulikuva na mii yechu kutoka BANADIR mpaka kushukia Kisimaiu na dhisiwa dhote mpaka mombasa ndio ntaliani alipo kuya wakati wa ukoloni valiveko na vaandishi vavo kachika utafiti wavo vakapacha dhisiwa dha vabajuni dhegi na kuna kitabu chavo huichwa 500 De bajuini island. Chuna dhisiwa mia tano na makabila echu yalo ungana kuichwa Bajuni ni historia mpaka sasa haiya pacha kuandikwa itakikanavo. One love ❤ Bajuni people

  • @fathmamohamed3476
    @fathmamohamed3476 6 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah kwetu ni kwetu

  • @idrisamohamed7335
    @idrisamohamed7335 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana napenda sana misemo
    ya kale

  • @rabiomar3258
    @rabiomar3258 6 ปีที่แล้ว

    Wow I never about this island and those people.. interesting

  • @babuabdallahmusa9660
    @babuabdallahmusa9660 6 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kutuelemisha ku usu lugha letu la kibaJuni

  • @ahmedyusuf9634
    @ahmedyusuf9634 4 ปีที่แล้ว

    Nchuu kwavoo

  • @suleymanosman69
    @suleymanosman69 5 ปีที่แล้ว

    Thank you sheikh

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @wiilsomaliyed5257
    @wiilsomaliyed5257 6 ปีที่แล้ว +1

    M allah

  • @omarsalim9879
    @omarsalim9879 6 ปีที่แล้ว

    Hiyo si Nazi ni umbo