PUTIN aahidi neema kwa Afrika baada kukutana Ramaphosa kwenye Mkutano wa BRICS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 38

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hayo ndo tunayataka siyo mikopo mikopo tunataka viongozi wetu wa Afrika wawe na maono ya mbali zaidi

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 31 นาทีที่ผ่านมา

    Big up S Africa

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tunaisubiri hiyo nema pia tunakuombe mungu akupe maisha marefu

  • @omarypetro3207
    @omarypetro3207 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Viva BRICKS viva...✊👊✌️🔥🔥🔥

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mambo ndo haya 🎉

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Putine anatuchelewesha sana wafanye haraka Jeshi la BRICS tujiunge nalo mapema

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safiiiiii sanaaa

  • @kahemachowdry7346
    @kahemachowdry7346 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Viva BRICS 🎉VIVA PUTIN 🎉VIVA XI JINPING

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 4 นาทีที่ผ่านมา

    Time Will prove which is better!

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safii

  • @melckabdalah9082
    @melckabdalah9082 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunaomba uchambuzi kwanini Korean kusini inaona ni kitisho kwake kwa Korean kaskazini kupeleka wanajeshi Ukraine

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunasubiri hiyo neema

  • @yuahahmad6651
    @yuahahmad6651 24 นาทีที่ผ่านมา

    Iv tz hatuwez kujiunga na brics ?

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂😂 uongo uongo tangu lini mzungu akupe cha bure Afrika tumetekwa kiakili ila kuna mburula bado zinabisha mtu mweupe ni mweupe tu kifikra na kiakili

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe ndio huna akili sio unaamini ngozi nyeupe ndo yenye ubongo e?

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kuna jamaa hapa halina akili na fikra

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nenda kwa matajiri wenzio walio leta demokrasia Irak na Libya.
      Sisi tupo bize na Konki wetu.

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@africanmandetraveler2847 ukitoka apa nenda kwa putin akufire na Mama ako

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@nellymans-f1vshobo za comments ya mwanaum nitafira na Mama ako😅

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashoga naona wanazid kupotea mdogo mdogo maana uu ndo mwisho wao maan tunaenda kuwakata mazima marinda 😂

  • @fadhilimkanimkole272
    @fadhilimkanimkole272 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunasubir nn kujiunga

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ngozi nyeupe hana uppendo na weusi kuna kitu anatafuta kwetu

    • @ShukuruSemwenda
      @ShukuruSemwenda ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nakuunga mkono

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    South Africa ndo maadui wakubwa wa Africa...jamaa wanaubaguzi Kwa waafrika wenzao...tokea machafuko xenophobia yalipofanyika huwa siwapendi hawa jamaa...wao wakija huku hatuna shida nao ...ila Sisi tukienda huko wanatufukiza ...bure kabisa

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ni propaganda za kimagharibi tu hizo, nikama walivyofanya Nigeria, uwe unatumia akili siyo matako 😂😂

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@nizarrama225 wewe ndo jaribu kutumia akili kopesha hata ya mamako basi....Yani ule ujinga uliyofanyika South Africa 2008,2014 na 2015 wewe bado ulikuwa hujazaliwa...? unatetea kitu ambacho kilikuwa wazi tu...hii ndo akili huwa watumia kuvuka nayo barabara...?

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@omondiowino7875jaluo ubaguzi wa sauz unaulaani ila mauwaji ya Gaza unashangilia

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@omondiowino7875 zile ni propaganda kwasababu South Africa ina misimamo yake kama nchi hvyo wamagharibi waliamua kuichafua kwa aina ile, wewe mukenya wa hovyo sana huna akili hata moja!!

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@nizarrama225unabisha nini south Afrika kuna ubaguzi wa watu weusi kwa weusi..

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAYAHUDI WEUSI watuambie 😂

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekatahiyo propaganda zaputin