SIMBA Yatangaza Wachezaji Wapya 10 WALIOSAJILIWA na 10 WALIOTEMWA Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • SIMBA Yatangaza Wachezaji Wapya 10 WALIOSAJILIWA na 10 WALIOTEMWA Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025
    #ligiyamabingwaafrika
    #kombelashirikishoafrika
    #vilabuboraafrika
    #yusuphkagoma
    #usajiliyanga
    #usajilisimba
    #wachezajiwanaotemwasimba
    #wachezajiwanaondokasimba
    #kikosichasimbaleo
    #simbaleo
    #simbasc
    #namungo
    #chama
    #kochampyawasimba
    #jumamgunda
    #kochampyawasimba
    #benchikha
    #simbakumfukuzakocha
    #kochawasimba
    #golilababacarsarrleo
    #golilasimbaleo
    #muungano
    #simbasc
    #azamfc
    #msimamowaligikuu
    #msimamowaligikuunbc
    #golilaguedeleo
    #golilayangaleo
    #yangaleo
    #yangasc
    #costalunion
    #kikosichayangaleo
    #yangaleo
    #singidafountaingate
    #kalaba
    #rainfordkalaba
    #msimamowaligikuunbc
    #msimamowaligikuu
    #golilachamaleo
    #golilasimbaleo
    #magoliyoteleo
    #golilasingidaleo
    #simbasc
    #ihefu
    #chemalonefondoh
    #simbasc
    #ahmedally
    #kikosichayangaleo
    #yangasc
    #dodomajiji
    #simbasc
    #kikosichasimbaleo
    #mashujaafc
    #golilaazizkileo
    #penaltizoteleo
    #yangasc
    #mamelodisundowns
    #cafcl2024
    #kikosichasimba
    #simbasc
    #alahly
    #yangasc
    #mamelodisundowns
    #cafcl
    #kikosiborachawiki
    #simbasc
    #yangasc
    #ligikuutanzania
    #magoliyoteleo
    #nbc
    #azamfc
    #ligikuu
    #tanzania
    #yanga
    #azamtv
    #trending
    #youtube
    #usajilisimba
    #usajiliyanga
    #tetesizausajili
    #dirishadogolausajili
    #dirishakubwalausajili
    #2023
    #wachezajiwanaotemwasimba
    #wachezajiwanaotemwayanga
    #usajili
    #simba
    #magoli
    #chama
    #maxinzengeli
    #manara
    #alikamwe
    #ahmedally
    #gsm
    #moodewji
    #raissamia
    #samiasuluhu
    #caf
    #cafcc
    #cafcl
    #harmonize
    #diamondplatnumz
    #alikiba
    #wcb
    #wasafi
    #millardayo
    #wasafitv
    #music
    #football
    #news
    #sports
    #samatta
    #novatusdismas
    #ccm
    #chadema
    #zanzibar
    #africa
    #cecafa
    #live
    #ngaiyajamii
    #fifa
    #messi
    #ronaldo

ความคิดเห็น • 273

  • @PudencianaMinde
    @PudencianaMinde 3 หลายเดือนก่อน +3

    Simba nguvu Moja hongera sana kwa tunachosikia kuhusu usajili kama nikweli ila kumbukeni kulekebisha na kuwatoa baadhi ya viongozi wanaotaka kuangusha brand ya Simba ssc tutafika na kuchukua club bingwa.

  • @EMMANUELMWANISAWA-uf3yd
    @EMMANUELMWANISAWA-uf3yd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunampenda chamaaaa,badoo.usajili mpya uko vizur saana.tvnaipenda Simba yetu.ni Mimi Tobias nikiwa na imma.Dodoma Hombolo.❤❤❤❤❤simbaaa,❤❤❤❤ moo

  • @johnjamaly9369
    @johnjamaly9369 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi kwa maoni yangu chama anasitahili kubaki simba vijana wanaosajiliwa wajifunze baadhi ya mambo kutoka kwake na pia atawasaidia katika kupushi mafanikio ya timu kwa ujumla.CHAMA ABAKI SIMBA.

    • @shirrangimedia4570
      @shirrangimedia4570 3 หลายเดือนก่อน

      Chama hatakiw kubaki maana ndimoja yawachezaji walio husika kutuferisha

    • @doshy44
      @doshy44 3 หลายเดือนก่อน

      Chama hastaili kuondoka simba naomba aongezewe mkataba

    • @PatronizerTz-cd2bk
      @PatronizerTz-cd2bk 3 หลายเดือนก่อน

      😊😊.Simbaaaaa wenyewe acheni hizo jamani mbona mnawasababishia watu pressure mtahukumiwa adhabu ya kusababisha vifo kwa mashabiki😅😅😅😅

  • @RajabuNdauka-cv2oe
    @RajabuNdauka-cv2oe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moja❤

  • @JohnsonMathias-fb2ww
    @JohnsonMathias-fb2ww 3 หลายเดือนก่อน

    Kwangu mim naomba Chama a abaki simba

  • @officialsuccess67jr52
    @officialsuccess67jr52 3 หลายเดือนก่อน

    Chama abaki bana asee

  • @Zukranngangana-d2k
    @Zukranngangana-d2k 3 หลายเดือนก่อน

    Me maoni yangu chama anastail kubaki simba

  • @BurayaniRwetura
    @BurayaniRwetura 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama asiondoke tunaimani naeeee❤❤❤❤

  • @ChilonganMagoma
    @ChilonganMagoma 3 หลายเดือนก่อน

    Shabiki

  • @CharlesDosa
    @CharlesDosa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Abakiiiiii chama

  • @AmriMtemela
    @AmriMtemela 3 หลายเดือนก่อน

    Mpanda kwa wachezaj na viongoz

  • @Jastinkasanda-xq6fo
    @Jastinkasanda-xq6fo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama thank you imuhusu

  • @PeterMakoye-zs7sx
    @PeterMakoye-zs7sx 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nipo njombe naipenda simba mpak nakufa nayo

  • @michaelafyusisye2451
    @michaelafyusisye2451 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kikosi Cha viongozi,Simba nguvu moja Mo kikosi hiki kikiludi furaha ya Wana Simba inaludi kwa kishindo, Mo kaza boti

  • @westonmbeyela9811
    @westonmbeyela9811 3 หลายเดือนก่อน

    Chama abakie miaka miwili tena

  • @lidiashabai5675
    @lidiashabai5675 3 หลายเดือนก่อน

    Luis na chama ❤❤❤❤❤ wabaki

  • @SaidiAlly-l2k
    @SaidiAlly-l2k 3 หลายเดือนก่อน

    Kwajina naitwa Saudi kasembo kutoka katavi maoni yangu chama abaki simba

  • @CammieGee-mv2xt
    @CammieGee-mv2xt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama asiondoke

  • @EmaniJohasi-mf2bb
    @EmaniJohasi-mf2bb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Cham anaend au 2uwek wazim bn mashabik

  • @charlesMagali-cm9to
    @charlesMagali-cm9to 3 หลายเดือนก่อน

    Kenedi juma

  • @AlexNguvumali-jd9ix
    @AlexNguvumali-jd9ix 3 หลายเดือนก่อน

    Abaki Mzee wa asist

  • @FrankSonta
    @FrankSonta 3 หลายเดือนก่อน

    Nipo katika pande za dodoma

  • @MichaelSikaumbwe
    @MichaelSikaumbwe 3 หลายเดือนก่อน

    Apo itakuwa fresh ❤😂😂💪💪👍🦁🦁

  • @FrankMafuru-uc4yg
    @FrankMafuru-uc4yg 3 หลายเดือนก่อน

    Chama Bado anafaa Ili azid kuwapa changamoto vjn

  • @EmmanuelyNgandu
    @EmmanuelyNgandu 3 หลายเดือนก่อน

    wasimuache abaki simba

  • @BongeBonge-it5nh
    @BongeBonge-it5nh 3 หลายเดือนก่อน

    Chama anatkiwa uondoka simbanismba

  • @LoriviAndrea-en3ux
    @LoriviAndrea-en3ux 3 หลายเดือนก่อน

    Mm na katembo natokea Arusha mm mshabiki wa shimba kama Hali ndy hiyo tutafika lkn kama Hali siyo hiyo hatutafika mahali tunayoitaki Asante kwA wote❤simba

  • @PaulinaNchimbi-nh6un
    @PaulinaNchimbi-nh6un 3 หลายเดือนก่อน

    Chama anasitair kubaki

  • @yusufuyunusu
    @yusufuyunusu 3 หลายเดือนก่อน

    Chama aendelee kuwepo

  • @mithlamselem7863
    @mithlamselem7863 3 หลายเดือนก่อน

    Bora wamuegezee mkataba

  • @DanielLuhende-n6y
    @DanielLuhende-n6y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama ahsant kwa kile ulichokifanya katafte maisha mapya

  • @Steriof.Msechu
    @Steriof.Msechu 3 หลายเดือนก่อน

    Simba mkimuacha mtafungwa kila mechi

  • @IsayaLukumay-m5v
    @IsayaLukumay-m5v 3 หลายเดือนก่อน

    Chama aongezewe mkataba mwaka mmoja

  • @BeatusKichere
    @BeatusKichere 3 หลายเดือนก่อน

    Chama abaki

  • @JacksonImani-yu5mw
    @JacksonImani-yu5mw 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa Jackson nipo Kagera,maoni yangu chama,kanoure na ngoma wabaki lakn safu ya ulinzi na ushambuliaji iboreshwe

  • @AlexPius-bq1dj
    @AlexPius-bq1dj 3 หลายเดือนก่อน

    Chama japo kuwa na changamoto Bado anatufaa,

  • @khalfankhamis297
    @khalfankhamis297 3 หลายเดือนก่อน

    Chama abaki bado ni mchezaji mazuri amekua na mchango mkubwa kwenye timu ni mchezaji ambae ana utulivu akiwa na mpira ana sifa zote za mchezaji mzuri BBB

  • @JacklineMagambo-y4t
    @JacklineMagambo-y4t 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman Ayubu abaki mshawishini kabisa

  • @LovelyCheckeredFlags-oh1bv
    @LovelyCheckeredFlags-oh1bv 3 หลายเดือนก่อน

    chama apew mkataba simba tu

  • @aloycekaumbu
    @aloycekaumbu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mayele anakuja Simba bas chama abaki

  • @PamphiliusMazuyi
    @PamphiliusMazuyi 3 หลายเดือนก่อน

    pamphilius mazuyi ppf kiseke mwanza Tanzania ssc mreteni Aziz

  • @AlexPius-bq1dj
    @AlexPius-bq1dj 3 หลายเดือนก่อน

    Tunacho kiitaji niussjiri ulio sahii

  • @AfrTred-pm1xo
    @AfrTred-pm1xo 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba abaki

  • @POWERMANGWANA
    @POWERMANGWANA 3 หลายเดือนก่อน

    Mkimwacha chama, nagoma kula!

  • @HusseinMumbee
    @HusseinMumbee 3 หลายเดือนก่อน

    Maoni yangu chama abaki simba bado mchango wake unahitajika simba

  • @rodriguesremigioandre-qe7lk
    @rodriguesremigioandre-qe7lk 3 หลายเดือนก่อน

    sou depto de simba de verdade localicao em mocabique distrito de cabo-delegado😅😅😅

  • @FaustaAntoni
    @FaustaAntoni 3 หลายเดือนก่อน

    abaki chama

  • @JoyceNgwembele-fj1do
    @JoyceNgwembele-fj1do 3 หลายเดือนก่อน

    kwa ushauli wangu naomba aongezewe mkataba chama

  • @NitweleChiwangu-kz6mq
    @NitweleChiwangu-kz6mq 3 หลายเดือนก่อน

    Chama bado tunaoba mpeni mkata anaesema aodoke si o shabiki wetu

  • @TualibMomad
    @TualibMomad 3 หลายเดือนก่อน

    Mm ni mashabiki wa simba na hapa nipo palma

  • @Frank-rc8lx
    @Frank-rc8lx 3 หลายเดือนก่อน

    Frank nipo mbinga chama abak

  • @EsterEdward-eo6ds
    @EsterEdward-eo6ds 3 หลายเดือนก่อน

    Itakuwa babkubwa

  • @StadiAbdul
    @StadiAbdul 3 หลายเดือนก่อน

    simba nguvu moja saido aondoke

  • @RobertLekolele
    @RobertLekolele 3 หลายเดือนก่อน

    Hapana chama abaki pamoja na mapunguvu yake alishawahi pambana na simba sana so abaki.tu.

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 3 หลายเดือนก่อน

    Channel hii mara nyingi taarifa zao ni za uongo.

  • @Rajabukitambulio-pi4bp
    @Rajabukitambulio-pi4bp 3 หลายเดือนก่อน

    Abaki chams mm aisha

  • @AlbertMaduhu
    @AlbertMaduhu 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wetu fanyeni usajiri wa kweli

  • @YusterTuarira-en6lp
    @YusterTuarira-en6lp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama bora aondoke ijapokuwa ni mchezaj mzur anayejua kibadili mtyokeo

  • @JeremiaNasali
    @JeremiaNasali 3 หลายเดือนก่อน

    Asitoke chama huyo

  • @IsayaStephano-zf2sm
    @IsayaStephano-zf2sm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama haeleweki chama aondeke ila kama alikuja kazi afanyekaz maneno ya upande wa pili kama anawasikiliza atafeli by justine lazaro songww moka

  • @YusuphJohnsanga
    @YusuphJohnsanga 3 หลายเดือนก่อน

    Chamaabaki.simba

  • @meleckmbwelwa8551
    @meleckmbwelwa8551 3 หลายเดือนก่อน

    Tusajili mtu anaemaliza mechi dk ya 15 na sivingine

  • @GloryOsward
    @GloryOsward 3 หลายเดือนก่อน

    Chama abaki😂

  • @SaidMakoye-yw4uu
    @SaidMakoye-yw4uu 3 หลายเดือนก่อน

    CHAMA AONGEZEWE MKATABA

  • @AffectionateAquariumFish-jf7eb
    @AffectionateAquariumFish-jf7eb 3 หลายเดือนก่อน

    ni sahihi kama ukweli isiwe tetez vp kuhusu mabururu mbonasijamsikia

  • @Denis.rwegasha
    @Denis.rwegasha 3 หลายเดือนก่อน

    Mim sipendi usajir wa mitandaoni kama kuna anae kuja aje anae kwenda aende usajir uwe wa uwakika bas lakin post ziwe nying kaja uyu kaja uyu kumbe akuna mi sipend

  • @MjakaOthman-kh4wc
    @MjakaOthman-kh4wc 3 หลายเดือนก่อน

    Asiongeze mkataba

  • @PeterMakoye-zs7sx
    @PeterMakoye-zs7sx 3 หลายเดือนก่อน

    Cham abak simba ila hat Luis alikuwa sio mbay San sema alikuwa hapew nafas ya kucheza yan

  • @EmaniJohasi-mf2bb
    @EmaniJohasi-mf2bb 3 หลายเดือนก่อน

    M nip mwaz Ima simb n timu yang

  • @lucymmbaga279
    @lucymmbaga279 3 หลายเดือนก่อน

    Chama aondoke tu

  • @AbdalaRamadhani-by6bt
    @AbdalaRamadhani-by6bt 3 หลายเดือนก่อน

    Kama ukula nani atafaidikaaaa

  • @shabanikingu752
    @shabanikingu752 3 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wa Simba ninawashauri chama aendelee kuwapa vijana mauzoefu asipewe Asante/Kwa heri Simba ni timu yangu pendwa ninaumia na matokeo mabaya jamani.

  • @HamisiMtengwa
    @HamisiMtengwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wana Simba sasa tutulie tusiwe wepesi wakuingizwa mkenge mo tumetokanae mbali na yeye ndie alietupeleka hapa tulipo Kwa hivyo tumpe heshima yake tusimtukane na kumkatisha tamaa juu ya Simba yetu hao wengine ni walaghai Tu

  • @LucasiTuluca
    @LucasiTuluca 3 หลายเดือนก่อน +2

    Simba itabak kuwa Simba Kama as washabk tunashukr Kama viongoziweti wak kaa saw Simba itard Kama zaman viongz 😊😢

  • @SadickKamendu
    @SadickKamendu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chama anapaswa abaki

  • @GiftKapinga-hy5pz
    @GiftKapinga-hy5pz 3 หลายเดือนก่อน +2

    chama bado tunakuitaji please usitoke by gift kutoka Ruvuma

    • @RafaelDuwani
      @RafaelDuwani 3 หลายเดือนก่อน

      Chama aongezwe mkataba

  • @EMMANUELMWANISAWA-uf3yd
    @EMMANUELMWANISAWA-uf3yd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Abaki chama

  • @PetermakanikaMadaha
    @PetermakanikaMadaha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa wachezaji hao simba wataikoma msimu ujao kama watamchukua na mayele

  • @SamirNassor-py2lf
    @SamirNassor-py2lf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chama usiondoke jmn😢😢

  • @SimionWesiko
    @SimionWesiko 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chama abaki naipenda simba saan💔💜🩸🌹💛💛💝💝💝💝simba nguvu moja

  • @BashirsmgabeSaid
    @BashirsmgabeSaid 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa jimmy natokea iringa chama abakie Simba kwanza so mda wa kuondoka chama

  • @AllymaulidSawaka
    @AllymaulidSawaka 3 หลายเดือนก่อน

    Maboresho upande waviondozi unahitaji maboresho kusuchama abaki tu

  • @GotardSalum
    @GotardSalum 3 หลายเดือนก่อน

    Simba uongozi ujipange tuu,hata wakimsajili Mohamed Salaah wacha Mayele na huyo Fei waliomzungushia Azam ili wamchukue, kwani Kakolanya,Gadiel Maiko,Nionzima,Ntibandyokiza, wapo wapi?Watapigwa tuu.

  • @EmmanuelMalibwa
    @EmmanuelMalibwa 3 หลายเดือนก่อน

    Niko Bunda kiukweli Simba wasajir kiukweli make tunaumia

  • @davidChisilani
    @davidChisilani 3 หลายเดือนก่อน

    David Henry Chisilani nashabikia nikiwa Dodoma mabadiliko kwenye kiungo na ushambuliaji

  • @JuliusNyamsabha
    @JuliusNyamsabha 3 หลายเดือนก่อน

    Natokea musoma. Maboresho ushambuliaji

  • @AllyBenta
    @AllyBenta 3 หลายเดือนก่อน

    Upande. Wa viungo. na. washambuliaji

  • @berdonnyondo7017
    @berdonnyondo7017 3 หลายเดือนก่อน

    Chama akibaki atashawishi migogoro mbeleni

  • @RipijemaMakongwa
    @RipijemaMakongwa 3 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja hutukubali kushindwa tapambana hadi mwisho

  • @EliyaOnnesphory
    @EliyaOnnesphory 3 หลายเดือนก่อน

    Mo ishike mwenyewe, ila tunaomba usimwondoe chama mwamba wa Rusaka. By Eliya Onesiphory.

  • @shaabannyoni5450
    @shaabannyoni5450 3 หลายเดือนก่อน

    Mickson ni Mapema Mno kumuacha, ana nafasi kubwa kama atapatikana kocha anae Jitambua!
    Kapombe Aachwe, Wakati wa Kuwa Nae umeisha na Uwezo wake UMEISHA!!
    Mayere Asisajiliwe Kuna wachezaji Zaidi ya Mayere!! Tuache Usimba na Uyanga! Tutoke nje ya Simba na Yanga!!

  • @NassoroSelemani-fo6sf
    @NassoroSelemani-fo6sf 3 หลายเดือนก่อน

    Kwamajina naitwa nasolo mpangule kutoka mologoro, kiukweli chama, luizi, na onana, wabaki

  • @wazirimagayuka9681
    @wazirimagayuka9681 3 หลายเดือนก่อน

    Chamade kkila usajili unatuzingua aachwe aondoke tu

  • @AHONIAMAGYANE
    @AHONIAMAGYANE 3 หลายเดือนก่อน

    Wanatufaaz sana kalma kweli watatuszjilia Antonia magayane

  • @AlfonceMagazi
    @AlfonceMagazi 3 หลายเดือนก่อน

    Alphonce magazi nataka sumbawanga tunaomba chama abaki iri wanaokuja wanifunze kwake

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 3 หลายเดือนก่อน

    CHUNGENI MSIJE KUIBIWA AIRPORT TU NANINYI 😊

  • @FrankSonta
    @FrankSonta 3 หลายเดือนก่อน

    Si sahihi kwakuwa nifimbo yakuchapia nyoka mwenye sumu

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 หลายเดือนก่อน

    Ukisikiliza makini utagundua taarifa hizi ni uwongo mkubwa.

  • @EMMANUELMWANISAWA-uf3yd
    @EMMANUELMWANISAWA-uf3yd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunampenda chamaaaa,badoo.usajili mpya uko vizur saana.tvnaipenda Simba yetu.ni Mimi Tobias nikiwa na imma.Dodoma Hombolo.

  • @AthanasiPaul
    @AthanasiPaul 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wote tunawakia usajili mwema kwa msimu hujao