Majukumu makubwa yapo serikali za mitaa ambao hata hawanufaiki na chochote zaidi ya kuziba pancha za baiskeli mitaani. Nashauri Kiongozi Mkuu (Amri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania awakumbuke watendaji wake wote kila Kiongozi awajibike bila kinyongo. Huku chini Viongozi wanalazimishwa tu hakuna anaye hiari kwa kuomba kura, Watu hawataki nafasi hizo kutokana na ufinyu wa vipato.
Kazi iendelee, Mwenyezi awasimamie wote wasaidizi wa Raisi, Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Good job mama
kumbe kazi
VIBARAKA UNAWAWEKA VIONGOZI WATANZANIA WASOMI NA WAZARENDO WAKO WENGI TU
Kuwa makini mama hao sio watu wazuri bado hawajaamini kama wewe ndio rais
Huyo mama mulamula hakufaa hata kdogo hatahuyu ulie mteuwa kuwa wazili WA mamboyannje nae hafai bado unapoga
Majukumu makubwa yapo serikali za mitaa ambao hata hawanufaiki na chochote zaidi ya kuziba pancha za baiskeli mitaani.
Nashauri Kiongozi Mkuu (Amri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania awakumbuke watendaji wake wote kila Kiongozi awajibike bila kinyongo. Huku chini Viongozi wanalazimishwa tu hakuna anaye hiari kwa kuomba kura, Watu hawataki nafasi hizo kutokana na ufinyu wa vipato.
Hoja za kishamba hizo
Mama yetu mpendwa Samia tunahitaji partnership ya gvt na Taasisi ya dini kwenye ma hospital wanakwepa Kodi kupitia partnership
Nilichokiona hapo Kuna umuhimunwa semena za viongozi kurudishwa tena
MUNGU AWASAIDIE
UYU MULAMULA KIBARAKA MKUBWA
Kibaraka kuliko mama yenu?
@@emmanuelchiza7733 Nchi iko salama Kiongozi hujui unacho kizungumza, mtu akiwa Mpole, Mkimya basi Kibaraka
Alikwenda kwenye party whitehouse bila ruksa
Picha linaendelea.....
Wanabip kusikiza mlio
MAMA.WAANCHIE WANAUME NCHI NCHI IMEKUSHINDA VIBARAKA WEWE UKUMJUA KAMA YULE MULAMULA KIBALAKA
Tunahitaji gvt ijenge hospital zake yenyewe ivunje partnership za gvt na Taasisi za dini zinakwepa Kodi kupitia partnership
Acha ubaguzi wa kizenji wewe hapo inalenga makanisa tu, sababu tunajuwa miskiti haina mahospitali, huko kwenye makanisa hana ubavu wa kugusa kabisa
Zikikwepa kodi ukatibiwa ukapona unaumia nini kwani.
@@isaacmwaseba9972 gvt ijenge hospital zake yenyewe ili apate mapato na watu watatibiwa pia
Usione urahisi kusema hivyo ndugu yangu
Pia ndugu fahamu sekta binafsi ni msaada mkubwa wa nchi zilizoendelea na zinazoendelea, usiangalie mambo kijuukijuu tu! Bado Tanzânia kazi ipo 😅
Mama Samia weka mashushushu kila Kona na pembe ya nchi mpaka office ya kata upate taarifa za kutosha
Hana mda mda wake yy wa kutoka auto Kila cku
Ata HUYU anayeongea kibaraka mkubwa
Siri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂