Huyu Mufti yuko vizuri kielimu,ni miongini mwa wanafunzi wa Sheikh,Murabbi,alkamaadhu Sheikh Muhammad ibni Sheikh Ayyuubi ibni Khamiisi Rahimahumu LLAAHU.ALLAH amlipe Sheikh.
Mashallah msomaji mzuri ni yule aliesoma na akaandika ili siku anasoma asisahau hata ktk viongozi wa nchi husoma khutuba na taarifazao wakiwa wanaangalia wanachokiwasilisha kwa umma
we mufty vipi? nusuus za khalifah mtawala wa kiislamu una zipeleka kwa twaghuut huyu? kumbe mnajua dalili hizi za uwajibu wa kuwa na mtawala? sasa mbona hamfanyi kazi ya kusimamisha khilafah? kumbe mnajua lakini ufasiq au njaa?
Maa Shaa Allaah! Khutba nzuri inayosisimua hadhira ya wasikilizaji. Allaah autwawilishe umri wake kiongozi wetu.
Mashaallah huyu mufti ana lugha ya kimataifa Allah ambariki
Khutbar Huwa haitolewi kichwani Bali inatakiwa uthibiti mda na maneno usitoke nje ya mada, mashaallah mufti yupo vizur Allah ampe Afya njema
Napia ikiandikwa inakwenda kwa muda maalum
MashaAllah
Huyu Mufti yuko vizuri kielimu,ni miongini mwa wanafunzi wa Sheikh,Murabbi,alkamaadhu Sheikh Muhammad ibni Sheikh Ayyuubi ibni Khamiisi Rahimahumu LLAAHU.ALLAH amlipe Sheikh.
Mashaallah mufti
Mashaallah muft mungu akuongoze
Mashaallah ❤
Safii sana Mzee vitu vpo
Maasha-Allah"
MAASHALLAH 🙏🙏
Mashallah msomaji mzuri ni yule aliesoma na akaandika ili siku anasoma asisahau hata ktk viongozi wa nchi husoma khutuba na taarifazao wakiwa wanaangalia wanachokiwasilisha kwa umma
ni kweli kabisa
Unatetea uongo
Huko ni kuonesha ضعف الحفظي من الشيخ.
Kuangalia ndio kimataifa zaidi kuliko kutoa kichwani na wala si aibu wala ajabu
Maa shaa llah
MashaAllah!
Allah atie baraka
Mashallah
MASHALLAH
mashaallah
Usiyamin sana akili yako kalamaa ndio kila kitu
khutba murua kabisa yenye mawaidha safi sana. vigezo vyote vimesimamishwa
Mufti kaandikiwa 😂
❤❤❤
Yanii kalamm ndio kila kitu
Hayo unayo yazungumza ndounatakiwa uyasimamie bilakuogopa mtuyoyote amiri anatiiwa akifata Sheria akienda kinyume nashelia hafatwi
Kama kaiandika yeye asingekua na makosa kiasihicho aibu kubwa kwa anaejua kwa wasiojua kitu au washabiki ndio watamuona yukosawa
karatasi hapo ikia nguka chini anakuwa bubu ,
kuna hao walio vaa vilemba vyeupe na kwa ndani kofia nyekendu nilidhania ni wanawake ظننتهم النسوة
Amemsifia saaana. Sasa ngojeeni matunda!
Kiarabu cha hali ya juu sana; kiasi natia shaka wengi waliopo hawafahamu!
wameitikia dua haraka haraka ili wapumzike
mara ya pili wamuendikie kwa ufupi kwani mpaka wasikilizaji wanatamani amalize mapema ,
Ulichojua kukosoa ni hotuba ndefu tena ameandikiwa kama unavyodai wewe au vipi?! Hivi unajua maana ya kilichoandikwa?!
Mbona umeikata dakika km ya 12 hapo ingekuwa vyema tukasikia hao waliodhihiri
Ysni watu wajinga anatoa darsa gani hapo anasoma ujumbe alioandikiwa na hatakusoma vizuri haijui asoma kimakosa
We Nani maulamaa Wanamsikiliza hapo we. Unaleta zako😏
we mufty vipi? nusuus za khalifah mtawala wa kiislamu una zipeleka kwa twaghuut huyu? kumbe mnajua dalili hizi za uwajibu wa kuwa na mtawala? sasa mbona hamfanyi kazi ya kusimamisha khilafah? kumbe mnajua lakini ufasiq au njaa?
Sasa kwanini mpaka anaglie ? Si angekua anatoa vitu kiwani tu
Weye kilichokukela hapo kipi ndugu?
Khutba ya kiongozi haitolewi kitwani hua yaandaliwa kwa maslai ya jamii
Tumia akili kabla ya kuandika pumba
Kasome
Wewe umesoma wapi
Anautangazia usufia yaani mfalme kamnunua
Mawahabi mnaumia sanaaaa,mtakufa kwa uchungu wenu
@@swahibually8349 ahlul bid’a
Ma shaa llah
Mashallaa
Mashaallah
Mashalaa
Mashallah
maashaallah huyu mufti asthiki kua mufty kwakweli Allah atuhifadhie binafsi nampenda Sana kutoka moyoni kwaajili ya allah