Kilio cha yatima Remix-DOUBLE M

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2022

ความคิดเห็น • 12

  • @zeelamipango
    @zeelamipango หลายเดือนก่อน

    Mwamba unajua sana Mungu akupe uzima uendelee kutoa hits za maana

  • @hassanimatenga-du2ct
    @hassanimatenga-du2ct 3 หลายเดือนก่อน

    Nikiskia wimbo huu huwa unatia huzuni sana baada ya kupoteza wazazi wangu wote huwa napitia wakati mugumu sana nilihisi nimepoteza kila kitu ktk maisha yangu dahh

  • @user-me7ip7vl2c
    @user-me7ip7vl2c 11 วันที่ผ่านมา

    Kilio Kila mtu kitamfika daaaa mtu wamaana kabisa muumini

  • @bushzerahamusic4762
    @bushzerahamusic4762 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka yangu muimini uko sawa kuimba

  • @user-yq8ch5yx3s
    @user-yq8ch5yx3s ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo za zamani zipo kama zahabu❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥. Na wakati huu pangekuwa waimbaji kama hawa wazamani, ingekuwa powa sana. Sichoki kuzisikiliza nyimbo kama hizi, na sitachoka kamwe.

  • @user-yj9rp6tf9z
    @user-yj9rp6tf9z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba alikua anajua sana

  • @user-fq6xx4ww4c
    @user-fq6xx4ww4c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan nkislizaga nataman niliee maana nkikumbuka nlipotoka 😢

  • @evelinemwakatwila2302
    @evelinemwakatwila2302 ปีที่แล้ว

    Boss wangu wa zamani uyo

  • @user-tk4pk6gw7d
    @user-tk4pk6gw7d หลายเดือนก่อน

    Muumini upo wapi?

  • @FikiriAbdalah-qe9ue
    @FikiriAbdalah-qe9ue 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekubar muumin kwani uko wap sass hv?

  • @whitesand1319
    @whitesand1319 ปีที่แล้ว

    Uko wapi wewe mwinjuma ?