Nitasahau vp wakati yeye bado anafanya mamb mabaya na siku akishinda nyumbani anachezea cm yake kwazia asubuhi adi uck apigi ata stori na wewe yupo busy na cm nimeongea adi nmechoka nmesha ongea San Ila sioni mabadiliko
Njia inayoweza kutumia ni kuongea Kwa Lugha ya upendo kuwa Ninajisikia vizur sana ninapowasiliana na wew na ninapata amani ya Moyo ,, ninaomba unifikirie katika hili kwasababu ninaupenda mda wa pamoja na wew 🎉 Jaribu kutenga mda kwaajili yangu japo mambo unayaoyafanya kwenye simu Yako ni ya maana pia ila na mm naomba niwe wa maana kwako ❤❤ anaweza akakusikiliza Inategemeana ulikuwa unaongea naye Kwa namna ipi hio ni mfano wa kuzungumza
pongezi sana kwako Mambo mazuri sana
Good
Haiwezi rudi
🤝🤝🤝🤝🤝🤝 saw kak
Tekra😊🙏🏼
Asnt kaka
@@savageemy2570 karibu sana
Asante sana papa❤❤
@@ثامركعبي-ي1ق karibu sn mama
Nmekuwa mjing San ndani ya miaka sita sin amani ananizarau San
@@vivianfransis2473 pole sm
Unaweza kukaa kwazia asubuhi adi usiku akupigii ata cm adi upige wewe na ukipiga apokei au unatuma txt akujibi
@@vivianfransis2473 dawa ya mtu huyo ipo hapo tazama katika videos zangu utaiona
Nitasahau vp wakati yeye bado anafanya mamb mabaya na siku akishinda nyumbani anachezea cm yake kwazia asubuhi adi uck apigi ata stori na wewe yupo busy na cm nimeongea adi nmechoka nmesha ongea San Ila sioni mabadiliko
@@vivianfransis2473 mmh
@@vivianfransis2473 tazana somo nimefundisha rugha 5 za mapenzi katazame myb huko utapata majibu
Njia inayoweza kutumia ni kuongea Kwa Lugha ya upendo kuwa
Ninajisikia vizur sana ninapowasiliana na wew na ninapata amani ya Moyo ,, ninaomba unifikirie katika hili kwasababu ninaupenda mda wa pamoja na wew 🎉
Jaribu kutenga mda kwaajili yangu japo mambo unayaoyafanya kwenye simu Yako ni ya maana pia ila na mm naomba niwe wa maana kwako ❤❤ anaweza akakusikiliza
Inategemeana ulikuwa unaongea naye Kwa namna ipi hio ni mfano wa kuzungumza