Viongozi Kilifi watoa hisia zao kuhusiana na maandamano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @juliusnakhisa1018
    @juliusnakhisa1018 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sawa kabisa jumatatu nimaandamano💙💙💙💙💙

  • @adriankenyan7938
    @adriankenyan7938 ปีที่แล้ว +3

    Shida za njaa lakini sijaona Hata mwanasiasa mmojaa alokonda wala kulilia shida. 😅

  • @hassanganga1323
    @hassanganga1323 ปีที่แล้ว +1

    Peace .we.need.peace.and Peace under.any cost.the peace keeps will be called the children's of living God be blessed

  • @antonymangu3458
    @antonymangu3458 ปีที่แล้ว +1

    Kesho ni vita come on

  • @harriettatu7155
    @harriettatu7155 ปีที่แล้ว

    Hali ya maisha iko juu tangu kitambo jinga sana limeni kama mtavuna bila mvua mumesoma hamna ustarabu pesa iliibwa mwambieni raila arudishe pesa walioiba jinga nyote

    • @1devoch
      @1devoch ปีที่แล้ว

      Wewe lima, pilipili usoila yakuwashiani?

  • @gcox7024
    @gcox7024 ปีที่แล้ว +1

    Demo ni lazima....if you are coward stay at home...we youth are many and we gonna do this for the betterment of our children.we can not be treated as slaves in our own country.

    • @harriettatu7155
      @harriettatu7155 ปีที่แล้ว

      Utakae teseka ni ww watu wana vyao

    • @harriettatu7155
      @harriettatu7155 ปีที่แล้ว

      Ngarama ya maisha ni ulimwengu mzima kama hamkusoma murudi shule

    • @gcox7024
      @gcox7024 ปีที่แล้ว

      @@harriettatu7155 give us a good explanation about HELB LOAN since you think you are well educated. Stop using mucus into your brain.

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 ปีที่แล้ว +2

    Haya si maandamano ya haki, jiulezi swali hili:
    Laiti ingekuwa wakati wa mshikamano (handshake) baina ya Raila na Uhuru, halafu BBI,na bei za bidhaa ni zile zile na gharama ya maisha ikiwa juu. Je Raila angeitisha maandamano???? Ukweli mnajua ni la hasa!!!Maandamano haya yanabaini ukweli wa ufidhuli na ulafi wa Raila Odinga, ana kinyongo kikubwa na hamaki ya kuzidi kwa sababu yeye si rais wa umri wa Kenya.

    • @1devoch
      @1devoch ปีที่แล้ว

      Tumia akili kidogo.

    • @khammadjeffa515
      @khammadjeffa515 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @dylankanyubi3700
      @dylankanyubi3700 ปีที่แล้ว

      @@1devochSasa, matusi ni ya nini?Ukweli umedhihirishwa. Ingali ingekuwa wakati wa BBI na handsheki, Raila hangeitisha maandamano. Kwasababu amwahidiwa urais. Raila amejaza upeketevu kabisa.

  • @halimarajabu816
    @halimarajabu816 ปีที่แล้ว

    Kabisa

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Kwahaya Ruto atakwenda the hagua ataenda jela Ruto

  • @naimafaiz5274
    @naimafaiz5274 ปีที่แล้ว

    Naenda Nairobi mujinga wewe hakuna mombasa

  • @gaza1677
    @gaza1677 ปีที่แล้ว

    Huyu Aisha jumwa ni kupayuka tu

  • @naimafaiz5274
    @naimafaiz5274 ปีที่แล้ว

    Hatutaki vita

  • @davidmutiso529
    @davidmutiso529 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ,na mufuta ilipanda Jana mbona nyinyi wambunge amukuita kikao yakusimamisha Bei ya mavuta wacha zako wewe

  • @khammadjeffa515
    @khammadjeffa515 ปีที่แล้ว

    Watu gani Fala wewee