Isaac CT Paradiso Lyric Video
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025
- Reference to Revelation 4:10-11 (NIV) '... the 24 elders bow down and worship in front of the one who sits on the throne, the one who lives forever and ever...'
Lyrics: Paradiso
Duniani sisi wapita njia, kwenye mapito, ya kwenda mbinguni paradiso, Tulioandaliwa, na Bwana Yesu, Mwana wa Mungu, Yerusalemu mpya x2
Tutaungana na wazee ishirini na wanne, na Malaika,tukisifu na na kuimba wimbo mpya, Amen halleluiah amen…x2
Sisi wapita Njia,Tunaenda Mbinguni, mbinguni kwa Baba, Paradiso, tulioandaliwa na Bwana Yesu, Mwana wa Mungu Yerusalemu Mpyax2
Tutaungana na wazee ishirini na wanne, na Malaika, tukisifu na na kuimba wimbo mpya, Amen Halleluiah Amenx2
Amen halleluiah amenx2, (Halleluiah, Amen)
Tutaungana na wazee ishirini na wanne, na Malaika, tukisifu na na kuimba wimbo mpya, Amen Halleluiah Amen…x2
Subscribe, Like and Share.