Mzee saidi , mchome na samu wamevaa ngozi ya mamba hao yangu. Njaa yinawasumbua wanatafuta ugali Kwa GSM. Kwan nyinyi amujui kama hawa jamaa ni yanga , Kwan wote wanaovaa jezi ya Simba wote ni Simba.
jamani wewe leo unawambia weezako wana njaa wakati wewe mwenyewe unpewa vitu kama vile jezi cm hela ya kula sasa leo unawambia wenzako heti ni njaa hahahahaaaa
Mm Simba damu lkn namkubali sana Ali mayayi tembele, yule jamaa kwanza baada ya mpira kusitafu akaendelea kusoma kwahiyo anachambua mpira kiutalamu. Alafu anakazi yake nzuri ategemei pesa za uchawa kama hawa wachambuzi wetu njaa . Mtu anategemea akichambua kuikadia timu fulani ndo apate kula. Na mpira wamecheza cheza wipi hawa? Kama sio ndondo cup. Wasidanganye watu eti wanachambua mpira.
Ndo maana ulaya wachambuzi wengi wamecheza mpira kiwango Cha juu kama Ali mayayi tembele. Hao wengine hata kupiga danadana ajui. Kwan kwann ulaya mpira wanapewa kipaumbele wachezaji wazamani. Mpira wachieni waliocheza mpira . Watalamu wa tarabu wachambue tarabu. Musingilie fan za watu munapotosha michezo
Munashindwa kusema ukweli kama yanga safari hii yilizindiwa hata kama nibora mbn timu bora ulaya sometimes zinachapwa na timu ndogo . Timu yikiingia kwenye mfumo wamwenza lzm yizidiwe , lkn kwasababu hauna haki ndo maana zinatumika mbinu zaziada . Hakuna timu bora eti yisingwe lkn kama kuna mbinu zaziada lzm yitashida.

Nikwel nna kumbukumbu ally kamwe aliwah kutaman amsikie mzee said inamana ana uhaakika ataipponda simba
Kweli kabisa G b 64 umesema kweli
Hao anaowasema wana ajira zao hawana njaa kama yeye anayeishi kwa matumaini ya mdomo
GB UR THE BEST FAN
Hawa waandishi changamoto,baada ya kutetea mpira wetu,wanabeza beza...wanashindwa kusema ukweli kuhusu waanuzi.
Ila kweli Simba mbovu
We mwenyewe unanjaa
Kweli wana njaa
jamani wewe leo unawambia weezako wana njaa wakati wewe mwenyewe unpewa vitu kama vile jezi cm hela ya kula sasa leo unawambia wenzako heti ni njaa hahahahaaaa
Katika wasemaji wa Simba huyu jamaa ndo anaongoza kwa njaa
Anaongoza kwa njaa kivipi?
Toa mfano kwa yanga wewe 😅😅 usijipeleke ulaya
Mfano gani kutoka yanga miaka 26 haikufika maurupu
Magurupu
Wwe.ndomjinga...