Jinsi ya kukata na kushona kola

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 42

  • @ZumraSadick
    @ZumraSadick หลายเดือนก่อน

    Waoh❤❤❤ Ahsantee

  • @GraceIdrissaMnzava
    @GraceIdrissaMnzava ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sanaa unajua kuelekeza

  • @zetimapromisskonde6513
    @zetimapromisskonde6513 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubaliki kwakweri nsjua kushona kwa ajili yako unaelekeza vizuri sana mungu atakulipa

  • @AishaMkweche
    @AishaMkweche 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda bureeeeee da milca

  • @BishopSam003
    @BishopSam003 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik sana unaelekeza vizur kbisa

  • @proscoviburchardgaudin2886
    @proscoviburchardgaudin2886 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mungu akuongezee ujuzi

  • @MwanahamisiSalumu-uq2pj
    @MwanahamisiSalumu-uq2pj 8 หลายเดือนก่อน

    mungu akubariki sana nimeelewa ulivyo elekeza kipenzi

  • @asinathmasima9916
    @asinathmasima9916 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada Mungu akubarik

  • @neemajamili1018
    @neemajamili1018 9 วันที่ผ่านมา

    Hiyo shingo umeshuka ngapi mbele na nyuma?

  • @estherlabanghuliku4668
    @estherlabanghuliku4668 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akubariki sn nakupenda Bure

  • @abdulazizali7701
    @abdulazizali7701 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakufatilia sana asanteee nikiwa Dubai asante dada

  • @SalmaMtelea-vg9jv
    @SalmaMtelea-vg9jv ปีที่แล้ว

    Asante sana dd mungu akubariki

  • @bushirisaidi-q6d
    @bushirisaidi-q6d ปีที่แล้ว

    Asante sana,mungu akubariki

  • @zaitunisingano8295
    @zaitunisingano8295 ปีที่แล้ว

    Asante saaaan dd mungu akubariki mnooo, nilikuaga naogopa sn kushona nguo zenye kola lkn kupitia somo lako nimekuwa hodar wa kuweka kola😘😘😘😘😘

    • @milcastylish
      @milcastylish  ปีที่แล้ว

      🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏

  • @UmmuSabra-wf4es
    @UmmuSabra-wf4es ปีที่แล้ว

    Assalaamu alaykum

  • @sarahezekiel9490
    @sarahezekiel9490 4 ปีที่แล้ว

    Xnt Dada kwa kazi nzr naweza kupta mawasiliano na wewe kama huto jar maana napenda sana hy kz

  • @nyakahangahospital7943
    @nyakahangahospital7943 2 ปีที่แล้ว

    Waoo dada vizri sana mungu abariki kaz ya mikon yako

  • @salehehamis4734
    @salehehamis4734 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie

  • @jantsjefta8381
    @jantsjefta8381 ปีที่แล้ว

    Asante dada nimeeelewa

  • @chikurashidi9347
    @chikurashidi9347 3 ปีที่แล้ว

    Asante dada mungu akubariki

  • @sophiamtui4825
    @sophiamtui4825 4 ปีที่แล้ว +1

    Milca uko vzr sana unafundisha vrz barokiwa sana

  • @sabinagodwin1482
    @sabinagodwin1482 ปีที่แล้ว

    Kola ya chibi unapima nchi ngapi?

  • @magrethmaivune6871
    @magrethmaivune6871 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana...

  • @nyakahangahospital7943
    @nyakahangahospital7943 2 ปีที่แล้ว

    Ila mi dada naomba unisaidie naitaji kukata gaun lenye kora ha zipu mbele nisaidie mpenz

  • @daviesphilemon5023
    @daviesphilemon5023 2 ปีที่แล้ว

    shngo ya mbele umemshukia nch ngapi madam

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 8 หลายเดือนก่อน

      Huwa wanashuka 3

  • @MarcyanaShaury
    @MarcyanaShaury 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @rozylinetarimo4955
    @rozylinetarimo4955 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri

  • @SadaMselem-jh9yi
    @SadaMselem-jh9yi ปีที่แล้ว

    M/m akulipe mazur kwa darasa hili

  • @shuuvuoni7427
    @shuuvuoni7427 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada unapatikana wapi, dar sehemu gani

  • @estermbembela5680
    @estermbembela5680 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada naomba namba yako ya simu

  • @barakahassan3775
    @barakahassan3775 ปีที่แล้ว

    Naweza kuuga krpo

  • @sabinagodwin1482
    @sabinagodwin1482 ปีที่แล้ว

    Sorry kola ya chini nchi ngapi?

  • @millymalasusa3054
    @millymalasusa3054 2 ปีที่แล้ว

    Uko wapi naomba namba yako nimependa ufundishaji wako

  • @magrethmaivune6871
    @magrethmaivune6871 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama unagroup whatsup naomba uniunge

  • @RachelTemba
    @RachelTemba 5 หลายเดือนก่อน

    Dada huna daraasa watsap

  • @ChichiHaji-no9eg
    @ChichiHaji-no9eg ปีที่แล้ว

    Mie kwakuwa mwanafunzi yani hapo hata sijakuelewa

  • @saadaramadhani3772
    @saadaramadhani3772 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri dada kwa kufundisha

  • @florencejoseph8379
    @florencejoseph8379 4 ปีที่แล้ว

    Kama una group ya wtsp naomba uniunge mpendwa

  • @florencejoseph8379
    @florencejoseph8379 4 ปีที่แล้ว

    Unatufaa jamani