CHINA : HATUWEZI KUTENGWA NA MAGHARIBI WANATUTEGEMEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว +1

    Wazung wana maroho ya ovyo walishaona uchina wana nguvu sasa wanafikili ni kuitenga na wamekuwa wakifanya hivyo nchi zinazoendelea lakini China yupo juu mnoo hasa technology zote hauwadanganti kiru wapo smart mnoo.

  • @TatuMuanda-ub7ud
    @TatuMuanda-ub7ud ปีที่แล้ว

    Magharibi ni waongo

  • @jumahasani3324
    @jumahasani3324 ปีที่แล้ว +1

    hapo wameyakanyaga Kwa china china ikifunga viwanda tu tunatembea uchi na tuna ludi kwenye mifumo ya burua na vibatali

  • @MichaelMollely
    @MichaelMollely ปีที่แล้ว

    China msitishiwe hata kdgo

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 ปีที่แล้ว

    Khanisi hawezi kuwa timam

  • @binkhalifa6956
    @binkhalifa6956 ปีที่แล้ว

    China wameiwezesha dunia ktk miundombinu technology usafiri na mawasiliano wataitenga vp? Hawa mabwenyenye akili hawana Allah kawajalia tu mbwa zao

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk ปีที่แล้ว

    KUSEMA CHINA IKONAFASI YA PILI NI UWONGO WA WAZUNGU WA MAGHARIBITU. AMERICA SASA IKO YA PILI.CHINA NDIO MOJA.

  • @binkhalifa6956
    @binkhalifa6956 ปีที่แล้ว

    Mbona TEAM PUTIN siwaoni huku