SOKA KIJIWENI | Ibrahim Ame 'Varane' na aliyojifunza alipokuwa Simba (06/03/2023)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Beki wa kati, Ibrahim Ame kwa sasa ni beki wa KMC, lakini amepita Simba akitokea Coastal Union. Kwenye kipindi hiki amezungumza mengi kuhusu safari na uwezo wake wa soka, lakini pia akataja mambo makubwa mawili aliyojifunza kutoka kwa Pascal Wawa na Joash Onyango alipokuwa Simba.
    Soka Kijiweni wiki hii imeanza na mmoja kati ya makocha wenye vituko vya aina yake awapo dimbani akisimulia kilisababisha mechi moja ya ligi ya mkoa kuvunjika baada ya wachezaji kuzichapa kavukavu na mashabiki kuvamia uwanjani.
    Hii hapa #SokaKijiweni ya Machi 6, 2023 na kila Jumatatu saa 1:00 usiku.

ความคิดเห็น • 4

  • @mwanajumaraso4637
    @mwanajumaraso4637 ปีที่แล้ว +2

    Love you soka kijiweni

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 ปีที่แล้ว +2

    Home sweet home Zanzibar

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว +2

    Ama mwaupenda uarab tooeni hizo roho nyie wazanzibar mwarab kaja kaikuta znz sasa hizo hasili za uaeab zi atoka wapi kkkk

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 ปีที่แล้ว

    Mitaa yetu hyo hm sweet