RC MTWARA ATOA RATIBA YA MAZISHI YA DC- "ATAZIKWA HAPA HAPA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • RC MTWARA ATOA RATIBA YA MAZISHI YA DC- "ATAZIKWA HAPA HAPA"
    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akitoa taarifa mbele ya waandishi wa habari kuhusu kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda.
    Mmanda amefariki usiku wa kuamkia Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara ya Ligula alipokuwa anapatiwa matibabu.

ความคิดเห็น •