KHATIBU WA VETENARI AMEMKUFURISHA SHEIKH NABAHANY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 242

  • @rukyaabdilo7921
    @rukyaabdilo7921 5 ปีที่แล้ว +4

    Mkamilifu ni Allah..mkosowe kwa njia sahihi si kwa c.d..tunampenda Nurdin kishk kwa ajili ya Allah..Mungu amuogonze InshaaAllah.

  • @shekhally5741
    @shekhally5741 4 ปีที่แล้ว +4

    Subhana Allah. Namuomba Allah amlipe kheri sheikh Nabhaan

  • @abdirahmanvideos555
    @abdirahmanvideos555 7 ปีที่แล้ว +48

    nurdin kishki tunampenda kwa ajili ya mwenyezi Mungu

  • @abrarmohamad6250
    @abrarmohamad6250 5 ปีที่แล้ว +12

    Wallahy dunia hii yaisha.. mpaka ma sheikh wankua wakidhalilishana kwa mitandao.. subhana Allah mungu awaongoze wallahy twaenda pabaya.. leo wafurahisha watu kwa kumkajili mwenzako na uko na uwezo ukajadiliana nae kwa makini pekeyenu bila kumpa mtu faida.. inalilahi waina ileyhi rajiun.. Allah atusamehe wallahy😭😭😭😭.. tupe mwisho mwema yaraby

  • @abdallahmuhammad4729
    @abdallahmuhammad4729 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaLlahu Sheikh Allah azidi kukufungua Kichwa chakuwafahamu wapotofu na uwarakibishe.Shukran Allahu Baarik

  • @iddramadhani2715
    @iddramadhani2715 5 ปีที่แล้ว +8

    Shekh haujamwelewa vizuri, Shekh mwenzako amesema "kwenye kitabu cha wasilati shaffi kuna maneno ya kishiriki kabisa" haja sema Shekh aliyeandika hicho kitabu na wanaokitumia ni makafiri au washirikina na mwandishi ni binadamu anaweza kuteleza kama binadamu. Allah ndio mjuzi zaidi.

  • @abdulrahmansalim3016
    @abdulrahmansalim3016 9 ปีที่แล้ว +6

    Al Ustadh Muhammad Al-Hady Mwenyezi Mungu akulinde na kila mwenye ubaya nawe, Akupe afya njema na Umri mrefu, na usichoke kuwarekebisha hao watakasifa machoni mwa maamuma na kujiona wao ndio walio karibu Zaidi na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. kisha huwa nashangaa sana Kishki kujiita Sheikh wakati wanaomrekebisha makosa wanajiita Al-Ustadh, hii ni aibu kubwa sana.

  • @muhammedngonyani8776
    @muhammedngonyani8776 4 ปีที่แล้ว

    Kumpenda MTU kwa matamanio bila kufuata muongozo WA Allah HIYO ndiyo shirki,kishki kakosea tena sana,SHEKH wetu Muhammadil had alhatimiyyy ahsante sana kwa kutupa elimu,kishki hana kitu makelele tu.

  • @allyrabbany4538
    @allyrabbany4538 5 ปีที่แล้ว +11

    رحم الله العلامة الشيخ يوسف النبهاني رحمة واسعة إلى يوم الدين.

  • @ramadhanitawaqal8958
    @ramadhanitawaqal8958 5 ปีที่แล้ว +5

    nimeangalia zaidi ya mara kumi sijaona kosa lolote la kishk nilichogundua ni kwamba mzungumzaji anatafuta umaarufu kupitia sheikh Nurdin

  • @cesarbukuru9915
    @cesarbukuru9915 3 ปีที่แล้ว +1

    Weee cheikh muogope Allah kishki yuko kwenye haki !

  • @mariamomari5848
    @mariamomari5848 3 ปีที่แล้ว +1

    Kishiki Ako Sawa MA SHA ALLAH

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 ปีที่แล้ว +3

    Nashkuru nimjifunza mengi yanayohusiana na Nahwu Baaraka llahu fiiqu

  • @mohdtamim7953
    @mohdtamim7953 4 ปีที่แล้ว

    Assalaamu alaykum
    Yaa Allah wape hekma masheikh wetu wawez kuheshmiana.
    Masheikh msitumie njian nyengne ya kuwekeana saw kuliko kutumia media, Mimi ningependa kumtafuta mtu n kumueleza nn alichkusudia kusma manno ago.

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 3 ปีที่แล้ว

      Wakikaa chonjoww unvepta faida hapa..mbona yeye kishk hakukaa chonjo kapayuka tuuu..tulia uelimishwe ww na huyo shekhe wako wa kujikweza

  • @mariamomari5848
    @mariamomari5848 3 ปีที่แล้ว

    Hizo burdani zake hunifurahisha sana, zinanifanya nazidi kuskiza mawaitha zaidi. Keep up kishki, you are the best.

  • @antv5590
    @antv5590 3 ปีที่แล้ว

    Allah akujaze Sheikh Khatim,Allah akuenue darja na kukupa umri twaweeel

  • @fatmaomar677
    @fatmaomar677 9 ปีที่แล้ว +6

    Shukran kwa ufafanuzi wako sheikh Mungu akujaze kheir amwongoze sheikh kishki azinduke

  • @ramsoothman6856
    @ramsoothman6856 8 ปีที่แล้ว +15

    Subhaanallah!!!! huyu jamaa amefika mbali ktk kukufurisha wanazuoni wakubwa na wa zamani... lkn huenda kuna watu wanamlipa kwa kazi hii.... hii ni hatari kwa akhera yake.

  • @hassanhabasharashid3619
    @hassanhabasharashid3619 6 ปีที่แล้ว +2

    Wallah uislamu ni dini ilokamilika.waislamu hawakoaoani kwa kuaibishana.kwa kughafilishana laa waislamu hukusoana kinyenyekevu...

  • @Mjingacom
    @Mjingacom 9 ปีที่แล้ว +5

    Shukran kubwa kwako ya sheikh kwa kuelimisha umma na fitna ya hawa mawahhabi.Ni saratani kubwa kwa uislamu.

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi7940 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuzidishie kheri kwa kazi yako Rafiki na Ndugu ktk iman Al Ustadh Muhammad Al-Hady

  • @rashidichoyo5356
    @rashidichoyo5356 5 ปีที่แล้ว

    Nawapend san mashekh wangu wete dunian kwa ajili ya allah ila huu mwenendo huu so mzury mm napend san osuman malim mungu atujalie mungu atu onyeshee njia njema inshallah ila huu munatengenezaa uwadui na muna uwaribu uislm ndug zangu mamuma tusio juwaa tujitahid tuisome din yetu tukufuu ila soo kwa haya maneno ya kuzalilishan tungu na kam mm nimekosea nisamehen asate nawapend kwa ajili ya allah mungu tubarik waislam wote dunian

  • @rahmaabid447
    @rahmaabid447 4 ปีที่แล้ว +6

    Twampenda kishk Allah amuongoze inshallah

  • @asedzuberi4536
    @asedzuberi4536 7 ปีที่แล้ว +6

    Jazaakallaahu khairaa......usichoke Mwalimu,endelea na watatuelewa tu muda wakua wakuu wao huko Saudia wameshatuelewa ktk mambo mbalimbali kama vile maulid n.k

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 ปีที่แล้ว +3

    Shokran shekh wetu mungu akuweke akupe afaya wew ni mkweli kabisa edeleya kuwa fahamisha waso kuwa na ilimu huyo ana kufuru kishk amekoseya allaho allahu iko natuta endeleya kuisoma

  • @farajikilindila7945
    @farajikilindila7945 6 ปีที่แล้ว +1

    yaani shekh kishiki namfananisha na nabii musa alipotoa khutuba akaulizwa musa kuna mwenye elimu zaidi yako akasema hapana mwenye elimu zaidi yangu mungu akamwambia nenda kamuone mwenye elimu na ni alkhidir shekh kishiki elimu bahar jifunze kwa musa na alkhidir usijinadi km unaelimu sana

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

    Subhannah Allah,hata mie nasoma hichi kitabu sana,sasa hizi ni zama za kupotoshwa sie maamuma tunapotezwa subhaanah Allah.

  • @kalelaonlinetv
    @kalelaonlinetv 5 ปีที่แล้ว +6

    sheikh uo vizuri saana lazima uwanyooshe hao wasio elewa

  • @shabanmuhoro3542
    @shabanmuhoro3542 8 ปีที่แล้ว +14

    Shukran Sayyid Alhaatimy kwa kutupa elimu ya لولاه na خبر كان hahaha Nahwu ni Elimu kubwa sana

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli elimu ni bahari, na kadri unavyosikia wanawachuoni, ndio unajifahamu kuwa kumbe dini hii ni ya kusoam, na ukiona elimu yakobado sio ni bora uwe dai tu, wawaita watu katika dini na si kuanza kuwakosoa watu. Unaweza jiona kumbe wewe ndio hujui Kbisaaa kama ndugu yetu wa Vetenary. Allah amuongoze yeye na sisi

  • @adanibrahim7255
    @adanibrahim7255 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh kishki anayo sema ni kweli, kwa sababu hiyo maneno tuki tafsiri((isingekuwa mohamed hatungali kua juu ya hii dunia hii wala hatungeweza kupata hidaya)) kwani hiyo mwandishi ni Allah. Sheikh Yusufu nabahani si Allah.

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 4 ปีที่แล้ว

    Shk.Ungewacha kurekodi clips.Wenzetu wantucheka.Mnaikhtarifiana. SISI SIO AKIRISTO.

  • @swafiamohammed1708
    @swafiamohammed1708 5 ปีที่แล้ว +4

    Shukran alkhatimiy
    Muelimishe huyo hana ajualo

  • @sharifahandhara8592
    @sharifahandhara8592 4 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadh sheikh wetu nurdeeen muhammaad ahmed almaaruf kishk
    Uswajal mkamilif ni Allah

  • @COM09
    @COM09 9 ปีที่แล้ว +16

    Allahu Ya Allahu Ya Allah Ya Malja a lkassdi ya ghauthaau.

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 5 ปีที่แล้ว

    Sheykh nabbahani ANAWEZA AKAKOSEA AU AKAPATIA KTK JITIHADA ZAKE ZA KIELIMU,,..NA KUFANYIWA RUDDUDI NI SEHEM YA DINI..,MKAMILIFU NI ALLAH JAALA FY ULAA..

  • @munasayed8657
    @munasayed8657 6 ปีที่แล้ว +3

    Allahu Akbar, Maasha allah tabarakallah sheikh

  • @abdoulkarimnassurdine3547
    @abdoulkarimnassurdine3547 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki shehi

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 ปีที่แล้ว +1

    KATIKA suala la KUSOMA na KUTAFUTA elimu, hakuna imamu Wala maamuma. Sote TUNAPASWA KUCHUKUA JUHUDI za kuitafuta elimu ili TUWE na UHAKIKA ya ibada ZETU. MUISLAMU ukianza KULAUMU masheikh kua eti wanakuchanganya na hujui ushike wapi huo Ni udhaifu mkubwa. Tatizo letu WAISLAMU wa Leo hii hatuchukui JUHUDI za kuitafuta WALIMU tukasoma dini yetu ndio maana tunashindwa KUJIFAHAMU. Mwisho wa siku tunalaumu wanazuoni. SIKU YA QIAMA KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE. HIVYO NI WAJIBU WETU TUITAFUTE ELIMU POPOTE PALE KWA KUKAA KWA MASHEIKH MBALI MBALI ILI MISIMAMO YETU IWE NA MANTIKI🙏

  • @aminasuleyman9440
    @aminasuleyman9440 5 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo la Kishki anapenda kuona kuwa kashamaliza kusoma na elmu ndio imeishia hapo na anaona yeye anajuwa kila kitu
    Na anaposema watu wanaotumia kitabu hiki wamsamehe na kama hajafaham afatwe
    sasa kama alijuwa hilo kwanin aongee kwanza kabla ya kuuliza.
    Kwa watu wenye ilmu kishki anaonekana hana ilmu kwa sababu hana sifa ya mtu mwenye ilmu,kakosa adab,hikma na unyenyekevu.
    Alichokifanya sheikh kumrekebisba ni sahih wala hajakosea,kishki anapenda kujifanya anajuwa hali ya kuwa anachokifaham ni kidogo sana.

  • @jesmirmohamed3467
    @jesmirmohamed3467 3 ปีที่แล้ว

    Shekh waelimishe vizuri Hua Hawa fahamu nahw Hao wala balagha wa nacho kijua ni kujisifu tu wape wape Sana Hao mawahabi.

    • @jesmirmohamed3467
      @jesmirmohamed3467 3 ปีที่แล้ว

      Tusemeni ukweli Ahlusuna Wal jamaa ilimu tunayo na tutawarekebisha mpende musipende tutawaweka Sawa tu

  • @fjriams
    @fjriams 6 ปีที่แล้ว +1

    asc thank you sheikh Nabahany for the detail, always the uneducated think they know more

  • @abdalladegera4809
    @abdalladegera4809 4 ปีที่แล้ว

    Answaar kishki hana lolote zaid ya kupotosha waisalam yan kitabu kina maneno ya shirki, subhnallah.

  • @husha6372
    @husha6372 9 ปีที่แล้ว +7

    Assalaam aleikum.Nilisema zamani kuwa hawa watakupa taabu kuwasomesha.Inshallah nadhani watafahamu na wataelewa.Mwenye ezi mungu akujazi kheyr na usichoke kuwasomesha.

  • @mankipaso7236
    @mankipaso7236 5 ปีที่แล้ว +3

    Kishki anapenda sifa yeye kama ameona kuna shirki kwnn asingenda kwa wale wanaosoma hicho kitabu yeye anapenda majivuno

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 5 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe Kishki anayo elmu kubwa kwa ulimwengu wa sasa,, lakini niliacha kumsikiliza kama miaka 7 iliyopita,, kwani nilijua ataharibu kwasababu ana majivuno sana,, hakika Kishki elimu hujafika hata robo yake kwanini anajiweka juu sana,, nilimsikia akisema yeye ndie shekhe wa kwanza Tanzania kutoa daawa kwa lugha ya kiarabu huko arabuni,, hivyo hamna zaidi yake,, nikamsikia akijivuna kua yeye nasaba yake imekwenda mpka kwa mjukuu wa mtume Nuhammadi (s.a.w) hivyo nim-bora,, shekhe yeyote atakae ongea kwa kujivuna lazime awe kwenye makosa,, mtume anapeleka dini Twaaif watu wake wanampiga mawe,, Allah (s.w) akatuma malaika laiti kama mtume angeli taka kijiji kile kingeli futwa kwasababu Allah (s.w) ailishatoa idhini,, mf. wakatu wa mitume iliyotangulia walikua wakikithiri katika dhambi Allah anawafuta na analeta wengine baada yao,, lakini Rasuulullah Muhammadi ( s.a.w) akaomba kwa Allah (s.w) asiuangamize umma wake ila ausubiri mpaka siku ya Qiyama,, sasa kwadhambi hizi tulizo kusanya kama si dua ya mtume tungeli kuepo!!? acheni kujivuna waislam,, tuache migogoro na hitilafu,, tuangalie mambo ya kupeleka dini mbele,, fanya unaloona halina shaka kwa nafsi yako

  • @rngsplif9484
    @rngsplif9484 3 ปีที่แล้ว

    Wasiilatu Shaafii ni Bidaa

  • @lolooman9170
    @lolooman9170 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii CD ya mwaka gani munatuchanganya maana nyote shekh wazur mumesoma vyema Qur an.

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh kwa mujibu Wa hizo ibara au hayo manenono yanarudi kwa mtume .... Kwamba Allah ametupa Muhammad kama kiongozi watu na lay kama so Muhammad basis tusingekuwepo na wala tusingebakia..... Acha ujanja Wa maneno mengi.... Dhamiri haiwezi kurudi kwa Allah kwa kuwa yeye ndio muweza Wa kila jambo twawezaje kusema kama asingekuwa Allah tusingekuwepo au kubakia wakati yeye aliahatufanya tuwepo..... Acha ujanja Wa maneno mengi.... Kwa kiarabu dhamir kwanza inarudi kwa Wa karibu ila pia yajuzu kurudi kwa Wa mbali ila kwa hapa maneno yanarudi kwa mtume.... Kaondoweni makosa yaliyomo masheikh sio mitume au malaika

  • @salhinaselemani9780
    @salhinaselemani9780 5 ปีที่แล้ว +2

    Mukiona jambo lina wasumbua rudin katika quruan na sunna sio kupigana vijembe ! Maimamu wote wanaweza kosea

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 8 ปีที่แล้ว +7

    Mm nimependa sana hii unajua Uislamu sio dini ya mchezo mchezo challenge lazima iwepo hii sio dini ya kusema sema ovyo ovyo tu halafu watu wakubali tu lazima watu wachunguze ni sawa kutokana na Aya za M.mungu na hadithi za Mtume Muhammad s,a,w

  • @AhmedMohamed-hc6pp
    @AhmedMohamed-hc6pp 8 ปีที่แล้ว +6

    Ustadh Muhammad Mash'Allah nice work done. And i hope you reply more of such sheiks who are causing such injustices towards Holy books, plus Scholars.

  • @hamisishafii1645
    @hamisishafii1645 7 ปีที่แล้ว +2

    Allah ya Allah ya Allah maljaa lkaaswid ya ghausahu

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +1

    sheikh wangu mm naona km umeshindwa kumuelewa sheikh kishki, na km amekosea sidhani km huu utaratibu uliotumia kumkosoa ni sahihi

  • @farajikilindila7945
    @farajikilindila7945 6 ปีที่แล้ว +7

    jifunze kisa cha nabii musa na nabii alkhidir shekh kishiki usijione unaelimu sana zungumza kwa mipaka

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia 5 ปีที่แล้ว +1

    Umeweka Jazba mbele ndugu Yangu Wakati Shek Kishiki Pia Kaongea Kama amekosea mumfate kumuelimisha na Niko sure kama haya ungekwenda ukamuelimisha angerudi mbele nae akarekebishe mbele za watu Kama alivyo kosea Ila na ww ulitaka kuenua jina lako umenda public nyote Munaendeshwa na Dunia kwa kutaka Kuonekana na kupata sifa kwa kuleteana Jazba Ila Ulimi ndio utakao mponza Mwanadamu

  • @kishkisady173
    @kishkisady173 6 ปีที่แล้ว +4

    naam sheikh endelea kumsahihisha

  • @abddulkadiralihaji5054
    @abddulkadiralihaji5054 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Shekh kishki yukosawa

  • @yasinimohamed5307
    @yasinimohamed5307 5 ปีที่แล้ว +7

    Shekh kishki yupo sahihi
    Wewe shekh wa Kenya sijui ukoje !uko elimu ya Sawa kweli?

  • @Abdul112012
    @Abdul112012 9 ปีที่แล้ว +13

    Assalaam aleykum warahma tullahi wabarakatul. Binaadam tumeumbwa na kughafilika utakapoona mwenzio amekosea ni khery kumfuata face to face kumueleza sio kujitoa ktk CD na kumkosoa kwa kuwa watu woote wamuone kama anamkosoa. Ikiwa na ww ni binaadam basi tunamakosa mengi sana hata ww pia unakosea. Tujue kurekebishana kwa kumfuata sio kutangaza ktk cd au kujitangazia kwa watu huo si Islam bali ni chuki. Allah atusaamehe kwa makosa tunayoyatenda hali yakua hatuyajui ameen yaa Rabbi

    • @hussainyahya4758
      @hussainyahya4758 9 ปีที่แล้ว

      ni vnye uwajui wakina kishki na bahero wake. wameitwa mara ngapi mijadala wakasusia...................bahero mara ngapi amemwita ustadh kijibarawa?????????????????????????????

  • @hadijasue6706
    @hadijasue6706 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu chunga Sana tusikosoane on line. Hiyo sio uisilamu

  • @abousuleiman39
    @abousuleiman39 3 ปีที่แล้ว +1

    Allaahu Akbar

  • @rngsplif9484
    @rngsplif9484 3 ปีที่แล้ว

    Assalamu alaykum wa rahmatullahi wa barakaatuh .kwanza hio mnayoisoma Allahu ya Allahu . Mambo hayo yako ktk sunna au yametungwa tu na watu ?
    Je hio Allahu ya Allahu aliyeandika Annabahaani, alifanya رسول الله صلى الله عليه وسلم au Swahaba walifanya Au Taabiina Walifanya?

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 9 ปีที่แล้ว +5

    Kishki nimzunguzaji lakini elimu yake iko chini

    • @fauzibrahim1230
      @fauzibrahim1230 8 ปีที่แล้ว

      haya mambo yanahitaji kuheshimiana

  • @MrsAlsuwaidi
    @MrsAlsuwaidi 9 ปีที่แล้ว +2

    Shk nurdin kishki amenifunza mengi. Allah amzidishe umri hazidi kutu zindikutu elemisha ss waja wa Allah

  • @venantkatoto2346
    @venantkatoto2346 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwiba hutokea ulipo ingilia iyo cd ya kishki ingebaki pekeake mkatafutana kwa siri tunge potezwa vibaya sana

  • @rkiungiza
    @rkiungiza 9 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh ahsanta kwa kuwajibu wapotoshaji wa dini wasio ni ilimu .

  • @faridswaleh0018
    @faridswaleh0018 4 ปีที่แล้ว

    Shk ahmedal khatimy sifa ya daii hajibu

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 5 ปีที่แล้ว +5

    Nabahany sio masoom.... Hakulindwa na makosa .... Tatizo lenu badala ya kusoma Quran manoenda kusoma vutabu vya ajabu ajabu

  • @adibandagile2552
    @adibandagile2552 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah azidi kutuongoa na tuzidi kubaki ktk njia iliyonyooka

  • @salehesalehe9923
    @salehesalehe9923 5 ปีที่แล้ว

    Alichokidany ndich anachofanyiwa . baarakallah

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว

    Kishk hapa amekosea sana. Mfundishe huyu Kishk

  • @suleymansaid8421
    @suleymansaid8421 9 ปีที่แล้ว +2

    safi sana kumfundisha huyo mtu anakosea sna naomba usichoke kumfundisha anakufuru sna huyo jamaa sijuwi makusudi au hajuwimueleweshe kazi kupotosha watu tu safi sana mashallah

  • @lolooman9170
    @lolooman9170 4 ปีที่แล้ว

    Hewa shekh kishk ni mwana sayans uyo na tecnologia.

  • @mrishoabdulhakim6384
    @mrishoabdulhakim6384 8 ปีที่แล้ว +14

    Shekhe hamkosoi Kishky, anachofanya ni kutoa elimu juu ya alichokisema Kishky, na ni bora akatumia CD kulekebisha maana Kishky ametumia CD kueneza alichokisema. sasa mlitaka Sheikh amfate Kishky msikitini amlekebishe? wale wasio na elimu ya lugha wangejaje?

  • @allyyassin1724
    @allyyassin1724 5 ปีที่แล้ว +16

    Toa tafsiri ya hayo maneno ili tujue ni ya kishirki ama laa?

  • @rngsplif9484
    @rngsplif9484 3 ปีที่แล้ว

    Kutunga vitabu vinngi si Hoja .

  • @asadomar1032
    @asadomar1032 4 ปีที่แล้ว +1

    Mfundishe kabisa hata ikibidi mfundishe Nahw shekhe wa vetenari

  • @abubakarawoo1197
    @abubakarawoo1197 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaalh

  • @salehpandu2250
    @salehpandu2250 3 ปีที่แล้ว

    Kishk ni shekh anaetafsiri neno kwa neno badala ya Kufahamu maudhui ya aya na khadithi ndo shida ilipo

  • @abdallahally3361
    @abdallahally3361 6 ปีที่แล้ว +9

    ww shekh ww ni kweli kabisa katika hiki kitabu maneno ya shiriki yapo sasa swali ya faa kujifunza shiriki kishik yupo sawa hiki kitabu kina makosa sana

  • @tumerbakhressa8598
    @tumerbakhressa8598 5 ปีที่แล้ว +4

    Nasiha yangu kwa huyu shekhe ni kwamba msifu Allah zaidi kisha mtume ( SAW) sababu mtume hafanyi kitu bila idhni ya Allah. Hata hidaya yatoka kwa Allah. Mtume ni Mjumbe kesha fikisha.

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga 7 ปีที่แล้ว +3

    Qulla Bidaa fi dhallalah wa Qulla dhallalah fi Naar!

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว

    Mbona masufi wanapenda bubadilisha topic kila wakati. Hebu tuambie kama kuna maneno haya ya kishirki katika hio kitabu??? Ipo ama haipo

  • @anonymousahmadi3826
    @anonymousahmadi3826 7 ปีที่แล้ว

    Piya quran 8:24 inasema mtume saw anatumpa uhai. Amin.

  • @abdallahmuhammad4729
    @abdallahmuhammad4729 5 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh Kushki nasaha yangu kwako Rudi kwa wanachuoni wa Twarika wakusomeshe Nahaw balagha swarfa na mantwiq ili nawe uweze kutafsiri vizuri.wajisifu na huna ulipo

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 ปีที่แล้ว

    Uyu kishki Ana lipwa Uyu ili Akufurishe mashekhe wakubwa Uyu sijui Akili yak ikoje

  • @ahmedkhamis8319
    @ahmedkhamis8319 9 ปีที่แล้ว +22

    kila binadamu nimwenyekukosea. mashekhe wetu wapendwa tutafuteni njia na mbinu nzuri za kuekana sawa na kabla ya kutowa c.d za kukosoana uislamu haukutufunza hivyo.

  • @rashidmohd115
    @rashidmohd115 4 ปีที่แล้ว

    Masheikh nyote mumetoka kwenye njia sahihi' kukosoana kwenye mitandaoni,, si mungeitana pembeni kuzungumza huko alfu' mkafikia solution'' nyte Ni waislam'' Sasa Mana yke' Nini kurushiana vijembe mitandaoni.

  • @aliushirazi5104
    @aliushirazi5104 4 ปีที่แล้ว

    Mawahabi wamesomeshwa Kiarabu hao

  • @hassanmambomambo8442
    @hassanmambomambo8442 9 ปีที่แล้ว +4

    Asalaamu alaikum warahmatulwah wabarakaatuh ushauri wangu kwashekhe wetu kishki vitu kama hivi ambavyo vina ikhtilafu usitoe CD kwasababu CD itaenea ulimwengu mzima sasa watu wanamlaumu Shekhe huyu wamombasa kua amekosea kwasababu ametoa CD kumkosoa sasa makosa aliyaanza shekhe kishki kwanini alitoa CD ? Sialitaka iwafikie walengwa sasa nahuyu Shekhe wamombasa akaona ajibu kupitia njia alioitumia kishki 'sasa Mimi nasema shekh kishki utajiaribia sana ukiendelea kutoa fatua za ikhtilafu

  • @abdullay3166
    @abdullay3166 6 ปีที่แล้ว +4

    Assalam alykum ingekua Bora ukakutana nae ndio mutaelewana lkn Kwa njia hii ningumu kufundishana na utatupoteza sisi wanafunzi wenu

  • @ahmeddahir678
    @ahmeddahir678 5 ปีที่แล้ว +3

    Sisi sote ni waslam bali kuna iqtilafu je tuimalize vipi iqtifu ?

  • @ramadhan122
    @ramadhan122 5 ปีที่แล้ว +9

    Ukisoma kwenye wasila neno LAULAHU maakunna walaa baqiina Lina maanisha kwamba kama siyo yeye (mtume Muhammad saw) Tusinge kuwepo wala tusinge bakia ndipo halo alipo simamia Shekh KishkiJapo kweli tuna mheshimu sana Shekh Nabhani je kuna ukweli hapo?

  • @abdulimshule5688
    @abdulimshule5688 3 ปีที่แล้ว

    Kasome tena rudi chuo ndugu yangu MTU akikosea sheria inakutaka umfate umuelimishe zama za Leo waweza kumpigia simu kama you mbali

  • @jamaliismaili7299
    @jamaliismaili7299 9 ปีที่แล้ว +2

    ahsante kwa ufafanuzi

  • @suleimankhalfan5991
    @suleimankhalfan5991 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Shaharan wa Zanzibar naamnukuu "Hawa hawajafahamu" elimu zao kidogo ndio kila kitu wanajua wao fatuwa na kila kitu.

  • @rugaheshahatwib8201
    @rugaheshahatwib8201 4 ปีที่แล้ว

    Uo ndoukweri make nyinyiwa wabidaat ampendi ukweri Uris to

  • @salimkadenge3231
    @salimkadenge3231 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtume saw ametajwa mpk kwenye salaaa