Naomba nikupongeze Wema kwa kuweza kuongea na Chidy, the dude has lost but still mmekua na good chemistry , imedhihirisha unaweza kuongea na mtu yoyote, you have a big heart congrats.
@@esterelias8189 aah namaanisha mwili tu kuwa amenawiri sasa. Hayo ya kutoboa pua na masikio ndugu zetu wasanii kwao ni kama kawaida ingawa mimi ni mmoja sipendelei mambo hayo.
Naomba nikupongeze Wema kwa kuweza kuongea na Chidy, the dude has lost but still mmekua na good chemistry , imedhihirisha unaweza kuongea na mtu yoyote, you have a big heart congrats.
Big heart. For Sure.
@@nyendochamwela3031 yeah great
Hi
Lost !!!! Dude what do you mean??
Jamani penda sana huyu kaka walaah, interview zake sijawahi kosa. ❤❤ you guys
Wapili ku weka comment love you sepetu😍😍
Nakupenda wema nataka like yako plz
😍😍😍
That's cutest thing ever
@@wemasepetuofficial we siamin kama ni wew ume reply
Niyeye haki na mpenda sana natamani siku moja tuonane ni musalimie na big hug mungu wangu
@@wemasepetuofficial ❤❤❤
Madama na sisi wa Zanzibar tuite tufanye balaa la kizenji huko mjengoni so star tyu...but the way I like what you do this is beautiful.
Wema kwakweli unatubania sisi wenye tuko inje ya inchi hatufaidi hataaa daa Wema wetuu twakupenda bureeee🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Chiddi Benz amependeza sana amekuwa mzuri sana MashaAllah Allah azidi kumng'arisha
Mmmh kupendeza huko da khadija?? Ndo atoboe pua dunia imeisha
@@esterelias8189 aah namaanisha mwili tu kuwa amenawiri sasa. Hayo ya kutoboa pua na masikio ndugu zetu wasanii kwao ni kama kawaida ingawa mimi ni mmoja sipendelei mambo hayo.
Nakupenda Madam Wema❤❤Mungu akuongoze zaidi🙌😻
Chid benz jamaa ana akili nyingi sana....
Anakwambia inawezekana hata hajui anachokielezea :-))
Kumuelewa Chidy Lazima Uwe Na Akili Kubwa Sana
Kbsa
Haswa akili ya chidy mmh
Yap
Sanaaaaa yan
Sanaaa
Tz sweetheart ❤️❤️❤️❤️❤️❤️👌 ,kipenzi cha watu❤️🥰☝️
Ni Mimi tu au chidi anajitu tofauti na swali
This man is very genius kumuelewa inaomba uwe na akili mon.Ndio maana wengi wanamuita chizi ila huyu jamaa ni kichwa.
Swali na jibu tofauti😂😂😂 this dude🙌🙌
Ongera mb mama kwamoyo wako mkunjufu nakupenda sana mdogo wako ongera
😂😂😂😂Chid namkubali sana huyu mwamba
Baby Wemaa Sepengaaa Nakupenda Sana Habibty 😍😍😍
Chid umekuwa mzr sasa 😍👌
Vichwa panz hamuwez kumuelewa chidy😂😂😂
My girl minding her own business as usual
1:46 "...ninajitahidi kuubadilisha UONGO kua UKWELI..."
Kweli eee
Hongera wema nashukuru unavyopambana.
my twiniee....love ya Wema🤗🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mashaallah chiddi yuwarengia kuwa mzury all thanks to god
Hauja wayi kunipa kitu akini nakupenda dada yangu wema ume nona 🤭❤️
Chidi number moja💣💥🇰🇪
Weema amepungua utazani sio mwafrica kaumbo ka kizungu hongera dada.
Wazungu unaowaona kwenye tv Ila ukiishi kwao hutowaona wenye umbo Hilo Wana maumbo makubwa kutupita waafrica
Kwani kukupenda shingapi wema? Nitagaramia ilimradi nikupende hadi kiama 💕💕
Wema jamn sijui kwanin nakupenda tu ila elewa nakupendaaaa
Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo ❤️
Chidi umependeza sana umekuwa mzur sana mungu akulinde sana kaka
Sending love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤❤❤❤❤
mwa 💋
Usilete wasanii tu!!walete macerebret tofauti!!kipindi kitanoga zaidi.
Mashallah wema very nice 👌
Kiukweli nampenda chidi jins anavyojibu
Nampenda sanaaaaaaaaa chidi
Hongera sana Wema... Kufanya interview na Chid ni kaz ngum sana
Sijui nakuona lini🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nakupendraaaaaaaaaaa
Nakupenda bure nataman ata niishi naww jama
I love you Wema... and love your good work.
My swethet wema sepenga Madame nasibu 😍😍😍
Watching from Boston Massachusetts,i. Watched coz of chidi
Nakupenda da wema
Wema nakupenda bure
Hahahahahahaha hivi nacheka nini ,chidi kiboko anajibu makorokocho hayaendani na swali
Nimemuelewa wakati amesema watu wawili wanaangalia same movie wakati mwengine anataka kuadisia what's following next
Jamani kumbe maisha yanawezekana ukibadilika
Chid bana🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Piga kelele kwasepetu yakeeeeeeeeeeee💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃😍😍😍
Weweeeeeee
Wema Sepetu kelele yakeeeeee💃💃I love you so much 🇺🇸🇺🇸😍😍
@@wemasepetuofficial Nakukubali sana dada.
Nakupenda wema sijuw kwa nn yani nakubali
Uyu angekuwa mshauri wa giongozi nyuma yapsia coz anaona mbali kabla ujafikia from 🇮🇪🇮🇪🇮🇪
Binti sepetu 💕💕
Dada wema jamani penda wewe Sana yani wewe nimecheka nawatu ume nifuraisha Dada yangu natamani tuonane sikumoja my love sistr
MashallAllah sai shame kanenepa vzur
Chidibeenz bwana ila kapendeza 😀💕💕
Tatizo hicho kipini puani duu?
@@esterelias8189 Kizazi chetu kilicholipuka in the 90s it was just a normal swag
Love chidi benz
Yan chid bana 😹😹😹😹😹😹😹 nawapenda wote
Jameni kumbe uyukaka ni hand same ivi pombesi.chai haki😘👌👉🇧🇮
Hae wema..,how do we pay in your app..,nimedownload nimetaka nilipe but it's unsuccessful!!!
Wangapi wanaona chidi anahisi Kama vile ameshaopoa ndo amemuweka madamu ndani! N full tabasamu uhipapu katupa kule😎
Uwiii nilikua nimepitwa
💯💯💯😉😉💯💯💯💯💯💯✅wema wake
Jamaa anahaya sana ndio majina ya Rashid yalivyo lakini wanakutia mimba usimama😅😅
You’re m favourite super star
hiki kichwa kinaakili Sana inahitaji mda kumuelewa chid chuma
Wema Mimi ni chef ,napenda kuja kufanya kipindi hapo,
I'm sending my love all the way from Ireland Dublin 🇮🇳🇮🇳🇮🇳
Mimi pia mpishi mzuri
Ur so blessed lv,keep it up,more blessings
Kipenzi wema 😘😘😘😘😘
Sweetheart Tanzania nakupenda bure
WE LOVE YOU MADAME..... ❤
Naona chuma karudi!!!
Let's support one another.. what's your channel?
Daah wallah na mimi na cheka mtihani huu
Napenda ulivyo busy na kazi zako
Mbona umekua tena kiana
Safi sana wema
Is dis Mishe for superstars only or even de other guys in street. Iwish to kafriendo of urs wema
Ni chidiiii na wemaaa
Wema plz usipungue tena dada inatosha sasa nakupenda na nitazidi kukupenda ila inatosha kwa hapo ulipo
Anabadilisha uongo kua ukweli😂😂
Kaka chid umenenepa kiasi umependeza sana
Your soo bueryfull baby girl wema love😘
The realest man in bongo music industry!
Nakupenda wema
penda sana wema wewe😙
Love wema
aki wema nahis alipotoka apa alichoka akili nafsi na mwili siyo wa makorokocho anayojibu chiddy wallah, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 iki kipind kinatibu stress
Wow nice video love you 💋💋💋💋💋 baby girl
Am watching this video bcoz I want to see you guys cooking not interviewing
wao wema wake
He was very nervous 😂🙏🏽
Anapendeza ananenepa
Nakupenda wema sanaaaaaaaa
Kaka jikaze utakua sawa
Wema inakatazwa kupika chakula naizo rips Zita angukiya muchakula, piya funganwele jamani
Wema tupe kipindi cote TH-cam..vipi mbona unatubaniya
I love you wema ❤
Dada Ake mbona video fupi sioni ukipika video kamili
Hhhhh chidi bana 😂😂😂😂😂
Kumbe anachekaga kaka et anaga mambo meng
Chidiiiii😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆