Inaliza: Wastara azidi kuwatoa machozi watanzania huzuni yatawala

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 104

  • @judejumaa9172
    @judejumaa9172 7 ปีที่แล้ว +1

    Umelia sana dadangu. Ipo siku yako itafikia nawe utafurahia ulimwengu. Mungu yupo hajakuacha mja wake. Atakufuta machozi yako. Kama mwanamke najua una uchungu sana hasa kwa watoto wako wanaokutegemea wewe. Alokuumba anakutizama anakujua zaidi ya sisi binadamu. Tunakuombea

  • @suzanaitandula1353
    @suzanaitandula1353 7 ปีที่แล้ว

    dah inauma sana pole sana dada wastara hakika Mungu yuko pamoja na ww,, mshukuru kwa kila jambo na jipe iman ipo siku yako

  • @ayshahams7373
    @ayshahams7373 7 ปีที่แล้ว

    pole xana da wastra mtihan tu ya mungu ilobakia nikuomb mungu na kufanya ibada kwa wingi nasi twazid kukombea inshallah mwenyezmung atakusahilishia

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana dadaangu WASTARA, Allah akupe nguvu katika hili

  • @yusuphsimon4656
    @yusuphsimon4656 7 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaaa huzuni sana dada wastara! Mungu atakusaidia Dada yangu.

  • @sophiamohamed9782
    @sophiamohamed9782 7 ปีที่แล้ว +1

    nimelia Sana Leo Mimi jamani Hadi nashindwa kuongea jamani wastara Pole Sana tuko wote

  • @khadijasharifu9591
    @khadijasharifu9591 7 ปีที่แล้ว +10

    Asalaam alleykum dada hiyo ni mipango ya Allah jambo La muhimu ni kufanya Ibada sana na kumshukuru Allah. Usikasilike na hiyo mitihani ulivyo kuwa nayo ni Moja ya Ibada .Inshaaalh mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi utapona Ameen .

    • @mariajoseph740
      @mariajoseph740 7 ปีที่แล้ว

      wasanii mnapenda sifa mtoleeni mwezenu spate matibabu sisi watazania tupo pamoja

  • @consojacob493
    @consojacob493 7 ปีที่แล้ว

    pole Dada wastala mungu atakusaidia utapona, nasi twakuombea.

  • @shaninyalusi8451
    @shaninyalusi8451 7 ปีที่แล้ว

    Mungu Akusaidie jamani ila Mungu nimwema Utakuwa sana sister angu

  • @lonamoon2359
    @lonamoon2359 7 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah wastara Allah akuongoze dia

  • @mariakulwa6602
    @mariakulwa6602 7 ปีที่แล้ว

    Mimi naitwa mama rashidi kutoka Kakola bulyanhulu pole sana MDOGO WANGU mungu akupe nguvu uvumilivu subira hiyo ni mitihani tu ya kidunia usikate tamaa mungu anamakusudi yake

  • @fatmatanzania2412
    @fatmatanzania2412 7 ปีที่แล้ว

    pole sana mama angu mungu bado yupo pamoja na ww inshallah atupa afueheni mama inshallah

  • @aminamtondo1816
    @aminamtondo1816 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie my hakika wote ni sawa usijione mpweke kisa ty umekatika mguu hapna ulemavyu sio ugonjwa kikbwa kumuomba mungu akujarie kheri na baraka na upate ridhki iliyo salma

  • @linahminja771
    @linahminja771 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dada
    Mungu yupo nawe atakuacha uteseke

  • @consesamallya4327
    @consesamallya4327 7 ปีที่แล้ว

    Pole Sana wastara Mungu akupe wepesi

  • @elizabethmafuru3192
    @elizabethmafuru3192 7 ปีที่แล้ว +3

    ninashindwa kuvumilia napata uchungu zaidi Eee Mungu yatazame machozi ya mja wako

  • @abdulomary2171
    @abdulomary2171 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada yang wastara mung yupo pamoja na ww insha allah atakusaidia tu

  • @barakamzuri6522
    @barakamzuri6522 7 ปีที่แล้ว

    Nahisi vibaya kumuona Huyu dada akiugua. Namuona dada wa heshima sana.Mungu akusaidie na akupe moyo mkuu

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana Wastara, ninachokushauri nenda kwenye TV station yeyote uombe wakutangazie namba ya simu ya kupitishia michango

  • @ummuamne1980
    @ummuamne1980 7 ปีที่แล้ว +4

    Wastara kweli inaumaa ila hupaswi kukatamaa huu n mtihani mola amekupa usiache kumshukuru n kuleta istighfar kwa wingi dadangu japo inaumaa Sana ungeeka namba zako mchango dadangu kwa interview bc zako ile mwenyekungusa n tatizo lako aweze kukutumia chochote alichojaaliwaa

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dada wasitala mungu yu pamoja nawe

  • @mathewshedrack8382
    @mathewshedrack8382 7 ปีที่แล้ว +2

    Jaman inasikitisha sna kuona wasanii hamuonesh ushilikian kwa mwenzenu wastar du inauma sna

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie...life hard

  • @joyceahamadi7692
    @joyceahamadi7692 7 ปีที่แล้ว

    mungu awafanyie wepesi katika kipingi kigumu

  • @marcben2268
    @marcben2268 7 ปีที่แล้ว +1

    Rip sajuki and pole sana wifi etu wastara i wil col u momma ucjar dahh inauma bt Mungu wetu ni wetu sote ucjar mama

  • @nurumwingira7689
    @nurumwingira7689 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie umepita mapito nakubwa sana dadaangu

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 7 ปีที่แล้ว +3

    Chibu chibu Dangote uko wapi huoni Wastara akiteseka naamini uwezo mnao msaidieni Allah atakupeni zaidi umoja gani usosaidiana wakati wa shida

    • @godfreymziwanda6703
      @godfreymziwanda6703 7 ปีที่แล้ว

      team kiba

    • @rahmaally2472
      @rahmaally2472 7 ปีที่แล้ว

      Pole hayo yote yana mwisho wake usichoke kumuomba Allah kwa kila jambo ipo siku utayasahau yote

  • @evalinnkumbi4139
    @evalinnkumbi4139 7 ปีที่แล้ว

    Dada njoo Nigeria upate maombi yatakayokuponya my love.

  • @penny4310
    @penny4310 7 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo ni kuwa wasanii wanajisifu sana, jinsi walivyo na fedha nyinngi, ,, sasa ona wakati wa majaribu yakija kila mtu analenga, ,, pole lakini dada, OMBA MUNGU MAANA MUNGU PEKEE NDIYE HAWEZI KUKUACHA , nahisi uchungu wako ila sina uwezo na pia niko mbali, pia mie niliyapitia maradhi ya moyo nikatengwa na kila mtu na sasa NIMEPONA , MUNGU NI MWEMA DADA, MWITE TU, . 😢😢😢

  • @gracemmanga1681
    @gracemmanga1681 7 ปีที่แล้ว

    Usilie mpezi vumilia napita tafuta watumishi wakuombee Hakuna kinachomshinda Mungu wetu soma yeremia 32:27 uwenaamani amini utapona

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 7 ปีที่แล้ว +1

    Pole my mungu.akutie nguvu

  • @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
    @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 7 ปีที่แล้ว

    kweli wanaume mulio mzalisha watoto hawa yani hamuwezi kumsaidia ila. Usijali dada Mungu nimwaminifu sana

  • @lonamoon2359
    @lonamoon2359 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana wastara mola azidi kupa subrah na nguvu

  • @rahmahussein8139
    @rahmahussein8139 7 ปีที่แล้ว +5

    Dah !...this is very bad , may Allah grant you happiness Wastara .

  • @algmobai2183
    @algmobai2183 7 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana dada mungu yuko pamoja nawe ... hii yote ni mitiani ya ndunia ...utapona mungu yupamoja nawe ...plz nitumie namba ya wastara

    • @atukalyembe194
      @atukalyembe194 7 ปีที่แล้ว

      pole sana dada

    • @algmobai2183
      @algmobai2183 7 ปีที่แล้ว

      Mwendokasi Tv asante ... but nilimpigia akawa apatikani

  • @felistergodbless7508
    @felistergodbless7508 7 ปีที่แล้ว

    mnamsumbua dada wa watu mnamhoji msaada hammpi au hamjui kuongea lazima atumie nguvu muwe mnamwachia hata ya kula basi mnamhoji kumsaidia hammsaidii kuweni mifano kwa wengine pole dada wastara mungu ndo rafik wa kweli na wa milele binadam ni unafik tuu fyuuuuu

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

    Pole dadangu Allah atakuafii sababu za kukufanya ivyo azijuwa mwenyewe

  • @sakinamsambala7443
    @sakinamsambala7443 7 ปีที่แล้ว

    pole dada yangu wastar

  • @saidajuma8584
    @saidajuma8584 7 ปีที่แล้ว

    pole Dada angu nakuombea upone yupo mponyaji atakuponya ambaye ni Yesu KRISTO daaa nimejikuta machoz yananitoka

    • @verdianasteven304
      @verdianasteven304 7 ปีที่แล้ว

      jmn wasanii mnapata hela za kuchezea mnashindwa kusahidia mwenzenu!!

    • @khalidmakasava9350
      @khalidmakasava9350 7 ปีที่แล้ว

      Pole dada

    • @halimaramadhan432
      @halimaramadhan432 7 ปีที่แล้ว

      pole sana mungu atakusaidia

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 7 ปีที่แล้ว

      Huyo dada amepata majaribu mno Mungu msaidie kiumbe wako huyo ila wakati wa shida wanamtenga wakati wa bata wanampeleka Uarabuni mnakumbuka alipoolewa na mbunge bata la nguvu tuwekeni akiba

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 7 ปีที่แล้ว

      Fanya ibada sana achana na dunia hii jistiri mama dunia sio

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 7 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana mithihani nilazima kwabinadamu utapoa dada

  • @mercykamene9849
    @mercykamene9849 7 ปีที่แล้ว +6

    Kila siku mnamuhoji na hamumsaidii

  • @viviennemanishimwe4397
    @viviennemanishimwe4397 7 ปีที่แล้ว +7

    Naomba Namba ya Wastara ya what's app

  • @stacyandelcy2774
    @stacyandelcy2774 7 ปีที่แล้ว

    wow much sympathy God is the provide

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 7 ปีที่แล้ว +1

    siku moja mungu atakutokea mama vumiili

  • @salamahamadi4123
    @salamahamadi4123 7 ปีที่แล้ว +1

    Mtihan pole my wanahiyar wakampee shilole mipesa kibao na magar ilaa hawawez kumsaidia mwenziwao inaumaa pole mwaya mugu atakuafu

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

    Usilie sana ukamchukiza Allah shkuru dadangu

  • @shalonibrahim9597
    @shalonibrahim9597 7 ปีที่แล้ว

    poleeee wstara wng utpon

  • @TheOne-fi6cs
    @TheOne-fi6cs 7 ปีที่แล้ว

    Dah, majaribu ni mtaji, but inafika kipindi MTU unajuliza "Kwanini Mimi"?! na ukifikia hatua hiyo its ur time to pray more and more, kwan ni kpindi ambacho ni dhahiri unaweza kumwacha mtetezi wako wa kweli na kuyapokea mabaya, but nachoweza kusema is " pole Dada angu na zaidi don't ever complain for which u are passing through but let's keep praying my lovely sister, and tutakuchangia wala usijal kila zaid ni maombi Dada angu kipenzi, jikaze usilie sana, I know its hard for u but no way out..

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 7 ปีที่แล้ว +1

    Hivi shilole mmemchangia harus yake huyu Mbona kimya mpka analia anadhalilika kiais hiki hamuoni au

  • @mr.liverpool3274
    @mr.liverpool3274 7 ปีที่แล้ว

    daaaah bonge la mrembo, pole xna mattzo ni kawaid kw bnadam

  • @stellajohn5019
    @stellajohn5019 7 ปีที่แล้ว +3

    nimelia kiukweli pole sana dad

  • @bintihamisi6917
    @bintihamisi6917 7 ปีที่แล้ว

    pole sana

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 7 ปีที่แล้ว

    Dah yani Mie nalia tu

  • @mamaregina5134
    @mamaregina5134 7 ปีที่แล้ว

    wastala pore sana dunia ndivyo ilivyo yani unapendeka kipindi unacho yani mda wanakula vyako ila ukikosa weniadui kwakila MTU usife moyo IPO siku utafrai

  • @jamilangao6759
    @jamilangao6759 7 ปีที่แล้ว

    kiukweli wasanii hawapendani maana uyu ni msanii mwezao anapata tabu wao wanakula rahaa iyo daimondi na mkewe kila siku wanachezea pesa kumsaidia mwezao wanashindwa nasi dai tu wapo wengi sana wasanii ila msaada wanashindwa mhh kweli hii ndiyo dunia

  • @asheredward5866
    @asheredward5866 7 ปีที่แล้ว

    Nmeona kufuru ya pesa kwny harus ya shishi jamn mbn hk mmesahau Dada yetu hy ajawah kupata furaha ya kudum

  • @halimasalim4600
    @halimasalim4600 7 ปีที่แล้ว +4

    wasanii hawana ummoja umoja wao uko kwa harusi ama sheree ya kitu flani wstafanya kufuri ya pesa hadi utawashangaa.let me be open.namuomba simba.baba tiffa kama kiongezi mwenye moyo msafi amsaidie wastata

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 ปีที่แล้ว

    Pole Allah kareem

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 7 ปีที่แล้ว

    Tunaomba hiyo namba ya simu isimamiwe kwa uaminifu ili tuweze kuchangia chochote tulichinacho , Mungu atakusaidia utapona .

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 7 ปีที่แล้ว

    pole sana WASTARA KWELI KABLA HUJAFA HUJAUMBIA ,,,,,,maisha ya ughaibuni , mikasa karibuni msubscribe kwenye channeli yangu pia schoralship zimeshatoka wapendwa wanaoitaji bonyeza picha yangu th-cam.com/video/XkS5v6zy3Io/w-d-xo.html

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 7 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hii namba ni sahihi

  • @youngsaiyoh2308
    @youngsaiyoh2308 7 ปีที่แล้ว +6

    Wasani hawana umoja kwa nn tusimuchangie wastara naomba namba

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 7 ปีที่แล้ว

      Young Saiyoh sio kukosa umoja Ni kukosa imani wasanii wa bongo Hawana maana

    • @yasrijuma5854
      @yasrijuma5854 7 ปีที่แล้ว

      Young Saiyoh

  • @tambuatv4370
    @tambuatv4370 7 ปีที่แล้ว

    kk nimeon

  • @salomejohn8180
    @salomejohn8180 7 ปีที่แล้ว

    Hivi wale wa chama chake wako wapi?

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

    Jamani tupeni no ya watsapp na ili tuwasiliane na tutakae mtumia uwo mchango na pia tuwe twajuliana hali ya dadaetu imefikia wapi plz mm natokea KENYA ila nipo nje ya nchi

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 7 ปีที่แล้ว

    Wezesha namba tuchangie tulichonacho , usihuzunike sana

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 7 ปีที่แล้ว +7

    Mana tusije tukachangia matapeli ,twahakikishiwaje kua ni wastara ? Mwenyewe

  • @hekimabaraka1593
    @hekimabaraka1593 7 ปีที่แล้ว

    wewe njoo the pool of Siloam hiyo shida ni ndogo mno . njoo mbezi makonde ufunguliwe bure. hauna sababu ya kuendelea kuwa na wimbo wa utaabishaji njoo upokee wimbo mpya wa uzima.

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว +4

    Kama hutojali wastara nitumie no yako ya whatsapp dadangu leo ww kesho mm kidogo nilicho nacho ntakigawnya kwa ajili ya Allah

    • @mejumaabaraza8020
      @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

      Mwendokasi Tv ndio hii no

    • @mejumaabaraza8020
      @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

      Mwendokasi Tv mbona ya kenya

    • @mejumaabaraza8020
      @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

      Mwendokasi Tv mm nataka no ya watsapp ili tuweze wasiliana coz cwezi piga direct ni pesa mob plz

  • @mariumngawanja6197
    @mariumngawanja6197 7 ปีที่แล้ว

    POLE

  • @tatut3889
    @tatut3889 7 ปีที่แล้ว

    Mmh 😥😥😥😥😥😥😥😥sina neno mm 😤😤😤😤😤wacha nienderee kumia

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 7 ปีที่แล้ว +2

    Pore sana dada mungu atakusaindia

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

    Nikitaka kukutumia mchango wangu ntakutumia vipi mm

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 7 ปีที่แล้ว

      تهامي عرابي ukipata njia Na Mimi nijulishe nitafungua hii vidio kila siku

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 7 ปีที่แล้ว

      Mwendokasi Tv Mimi Niko nje ya nchi nijulishe

    • @mejumaabaraza8020
      @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

      Black Nature. Pia mm niko nje xx cjui ntatuma vp

    • @nurloy510
      @nurloy510 7 ปีที่แล้ว

      Niko nje ya nchi vipi nitoe mchango wangu tafadhali niakikishie

  • @jacklinepatrik9104
    @jacklinepatrik9104 7 ปีที่แล้ว

    Ucjal tunakuombea

    • @nuruabdul2634
      @nuruabdul2634 7 ปีที่แล้ว

      swala lakupata ajali kila cku inawezekana nimadhabau mbaya ulizonenewa tokea tumbon na ili ziweze kuvunjika mpe Yesu maisha yako......Mungu mwema Dada utaishi kwafuraha na amani tele.

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana