SERIKALI KUJIPANGA KUNUNUA NDEGE ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 26 วันที่ผ่านมา +4

    Imekushindeni meli mmetuletea dude bovu mtaweza ndege

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 24 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @husseinmilao5789
    @husseinmilao5789 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mh. hapa tutaangukia pua mm nakubaliana na serikali kuendelea kujenga miuno mbinu laki sio kufanya biashara, biashara waachie sector binapsi serikali isimamie kukusanya mapato.

  • @OnlineMathsAcademy
    @OnlineMathsAcademy 22 วันที่ผ่านมา

    Bring it on yes!

  • @AhmedShaame-f1d
    @AhmedShaame-f1d 23 วันที่ผ่านมา

    Hongera kiongozi wa nchi

  • @soudsoud335
    @soudsoud335 25 วันที่ผ่านมา +2

    Uchaguzi tayari kampeni imepamba moto

  • @nassibhigon5236
    @nassibhigon5236 21 วันที่ผ่านมา

    Mv mapinduzi2 imeishia wapi?

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza tuna taka vyombo vya baharini maana taaban tuanze na bahari halafu next😊

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 21 วันที่ผ่านมา

    Mshapewa ruhusa na Tanganyika tayari? Katafuteni watoto wadogo wanaonyonya dole la gumba wakidhani yatatoka maziwa. Zimekushindeni meli na bandari ya mpiga duri mpaka leo.

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 26 วันที่ผ่านมา +1

    Waooo air zanzibar

    • @Znz-news
      @Znz-news 25 วันที่ผ่านมา

      Sizani kama itakua air Zanzibar itakua air Tanzania tu 😂 wale nduguzetu w damu watabwata sana

    • @DelightfulMacawBird-tl5hf
      @DelightfulMacawBird-tl5hf 25 วันที่ผ่านมา

      @@Znz-news😂

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 25 วันที่ผ่านมา

      Mawe

    • @DelightfulMacawBird-tl5hf
      @DelightfulMacawBird-tl5hf 25 วันที่ผ่านมา

      @@cath-ef7wd 😂

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 20 วันที่ผ่านมา

    Ndiyo Muache kuchukua ndege za ATCL na kuzizundulia Zanzibar kwani hatuungani kwa mashirika ya ndege mabombadia na maeyabas ni yetu Tanganyika.

  • @AliMahfudh-ze2ig
    @AliMahfudh-ze2ig 25 วันที่ผ่านมา +1

    Jengeni na Pemba tupate urahisi wa kukimbia nchi

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 26 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni mtaifisidi tu serikal ya Zanzibar imeshindwa hata kuuendesha hospital itaweza kusimamia ndege kweli? Naungana na ww mheshimiwa kipaumbele chetu ni miundo mbinu sio Biashara hapo wapeni sector binafsi ndio mahala pao

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 23 วันที่ผ่านมา

    Ndege ya zanzibar😮

  • @user-rb8ir9co9k
    @user-rb8ir9co9k 25 วันที่ผ่านมา

    Maneno mengi vitendo ziro

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 24 วันที่ผ่านมา

    Hizo ndege wananchi tulio wengi hatuna uwezo wa kizipanda

  • @Znz-news
    @Znz-news 25 วันที่ผ่านมา

    Hilo ndio suluhisho la kukuza uchumi na kuboresh uchumi. Na sio kueka viwanja vya ndege v 3 unguja vyanini?

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 25 วันที่ผ่านมา

    ZAT shirika mmeluwa wafanya kazi wamefukuzwa janaa wengii tuu wanafika 60 je mmeliona hiloo iyoo DINATA kwa nn msiwapeleke uko

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 25 วันที่ผ่านมา

    Mnazingua mumeliuwa shirika la ZAT mpka ndege kubwa mumewapokonya ili iweze kufa lile shirika kwa kuwa Mumeweka shirika lenu la DINATA sio mbaya kuliweka ila na ao ZAT wafanya kazi wake washawafukuza jana tuu wamefukuzwa watu 60 kwa kuwa hawawezi tena kuliendesha coz mumewatengezea mipango hiyoo, bc ao wafanya kazi wanofamilia zao waende wapi kwa nn Musinge waajiri wafanya kazi wote wa ZAT kisha kuwatia ukoo DINATA hii leo hawana pakwenda wanalia tu na mkizingatia hamna ajira munotoa labda kwa watoto wenu tuu

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 24 วันที่ผ่านมา

    ZANZIBAR tulikuwa na ZAN AIR sijui iliishia wapi??

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 24 วันที่ผ่านมา

      Imefilisika na haikuwa kampuni ya serikali,ilikuwa kampuni binafsi.

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 25 วันที่ผ่านมา

    Kumekucha

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 26 วันที่ผ่านมา

    ATCL sio shirika la Muungano? Mpaka SMZ mnnunue tena?

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 26 วันที่ผ่านมา

      Kafirwe uko kila kitu tuwe pamoja tunafaidika nn na iyi ATCL

    • @Znz-news
      @Znz-news 25 วันที่ผ่านมา

      Ndio hao wenye wenye roho mbaya na Zanzibar wakiona kuna neema zinataka kuja Zanzibar vifunza vina wanyevua 😂

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 19 วันที่ผ่านมา

      Siyo.

    • @egdldm4981
      @egdldm4981 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@aminimushi6945Wabadilishe tu hiyo Boeing 787 iliyopokelewa iwe Zanzibar Airline. Viongozi wa Tanganyika si mazumbukuku tu?😢

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 25 วันที่ผ่านมา

    Mnataka tucoment utumbo mtusweke ndani