kukamilisha mahitaji ya umeme bila ya kutumia extension kwenye switch sorkret...maandalizi kabla

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Hii ni site ya bweni ambayo ilitugharimu siku tano kuandaa mifumo hii ya umeme mpaka kukamilisha hatua ya kwanza.
    Hatua ya kwanza ni ipi? Hatua ya kwanza ni hatua ya utinduaji kufanya settings ya points zote za umeme na kufanya dropping conduits pipe...baada ya hapo tunawapisha wataalam wa plasta.

ความคิดเห็น • 2