mishono ya Vitambaa vya lace ankara laces stayle asoebi lace dress Ankara long dress fabrics gown

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • habari zenu wapenzi wangu Karibuni Tena kwenye channel yangu leo nimewaletea video ya mishono ya Vitambaa vya lace Mishono hii ni mizuri Sana Sana
    Mishono hii unaweza kuvaa kwenye kitchen party send off kitchen mada kumcheza mwali kwenye ndoa kwenye sherehe mbalimbali unaweza kushona na ukaonekana vizuri zaidi
    Naomba angalia video hii mpaka mwisho usisahau kulike na kucoment Kama ni mgeni pia naomba usisahau kusubscribe TAFADHALI
    Copyright Disclaimer Under section 107 of the copyright Act 1976, allowances is made for "Fair use" for the purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright Statues that mightwise be infringing. Non profit, education or person use tips the balance in favor of fair use.
    ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS.

ความคิดเห็น • 32

  • @VeronicaEzekiel-ry7ye
    @VeronicaEzekiel-ry7ye หลายเดือนก่อน

    Kuna mshono nimeupenda

  • @agnessnzowa5670
    @agnessnzowa5670 11 หลายเดือนก่อน

    Mizur

  • @uwizeyimanazuena6556
    @uwizeyimanazuena6556 ปีที่แล้ว

    mm naitaji mishono ya garama ndefu nzuri nzuri

  • @fatmahhamisi7529
    @fatmahhamisi7529 ปีที่แล้ว

    Naomba mshono mzuri wa gauni refu, kiislam

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Mizuri🎉

  • @HamzaMwacha
    @HamzaMwacha 14 วันที่ผ่านมา

    Mi naomba mishono ya magazine marefu ya vitenge uchanganye na lesi

  • @zukramnango8191
    @zukramnango8191 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzuli sana dada kiukwel nimependa Ila nina naomba ushauli ninashuhuli natakiwa kuvaa nguo nyeupe sijuw Sina yakitambaa gan nishone wala mshono wenyewe sijuw nishoneje

    • @msebachannel
      @msebachannel  ปีที่แล้ว

      Asanteee my sherehe ya aina gani

  • @joycemsakila2601
    @joycemsakila2601 ปีที่แล้ว

    Nahitaj huu mshono unitumie

  • @salomealfred302
    @salomealfred302 10 หลายเดือนก่อน

    Tuoneshe na nyuma jinsi nguo inavyo kua

  • @user-td5br8nr9w
    @user-td5br8nr9w 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba mshono wa magauni mafupi

  • @happynesschawala7743
    @happynesschawala7743 หลายเดือนก่อน

    Mtukumbuke wenye matumbo hapo

  • @neemagidion8286
    @neemagidion8286 7 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi mmy

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว +1

    Aise mko vizuri sana namba zako za simu dada tunaitaji

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Aya mpnz ntaweka no yg🙏🙏

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    uko wapi fundi?

  • @yusterlinus8271
    @yusterlinus8271 2 ปีที่แล้ว +1

    Mishono yalesi mapande

  • @mamamage675
    @mamamage675 ปีที่แล้ว

    Torwphrp🏳👠🧢🧢🧢🧢👡👡⛑⛑👡👡👡👡⛑👡👡👡👡👡👡👡🇦🇨👡👡👠👠👠👠👠👠🏳️‍🌈👠👠👠👠👠👠👠🏳👠👠👠👠👠👠👠👠👝👝👝👝👝👝👠👠👠👠👠👠👠

  • @odiliaompeshi3281
    @odiliaompeshi3281 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naipenda hiyo ya kijani mgomba ipo kama dira fulani naupataje huo mshono?

    • @msebachannel
      @msebachannel  ปีที่แล้ว

      Naomba no yk ntakutumia WhatsApp

  • @sheillahkienge2846
    @sheillahkienge2846 ปีที่แล้ว

    Nimependa ila nahitaji kujifunza

  • @abdallakingumba7020
    @abdallakingumba7020 ปีที่แล้ว

    Mishono yote ni mizur namaguber ya rangi moja

  • @deborazakayo7443
    @deborazakayo7443 ปีที่แล้ว

    Mie naomba gauni ya less tu Ila isiwe tait

  • @happyjuhudi3775
    @happyjuhudi3775 2 ปีที่แล้ว +1

    !!a!aa!!!

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      🥰🥰

    • @mtanimtaniii2200
      @mtanimtaniii2200 ปีที่แล้ว

      Kwa kwel mpo vizur hongereni sana

    • @naimamohammad9947
      @naimamohammad9947 ปีที่แล้ว

      Naima Mohammed ombirangu nataka gauni ra resi mi mwislam ila sjui kwarangi yangu ni ip

  • @sheilaally3687
    @sheilaally3687 2 ปีที่แล้ว +1

    Na hitaji mishono ya magubeli ya liodizainiwa

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Aya mpnz ntaweka video ya mishono ya gubeli

  • @officialshommi.e1117
    @officialshommi.e1117 ปีที่แล้ว +1

    Mishono ya send off ya watu wanene