Nish Gadd - Nyakati ( Official video 2022 )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Song Writer
    Nishimwe Gadd
    Audio producer
    Dav pro
    Video director
    Josh Elsi
    Light
    Sure event company
    lyrics
    Nyakati zina mwisho usikate tamaa endelea na wokovu ×2
    Shida ni nyingi matatizo kila siku
    Usikate tamaa endelea na wokovu
    Kila mara unajiuliza haya yatakwisha lini
    Usikate tamaa endelea na wokovu ×2
    Nyakati zina mwisho usikate tamaa endelea na wokovu ×2
    Usikubali kumuacha Mungu kwa sababu ya shida
    Usikubali kumuacha Mungu hayo yote yatapita ×3
    Nyakati zina mwisho usikate tamaa endelea na wokovu.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 145