INASHANGAZA SANA MUKE ASIMULIA YOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 36

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 15 วันที่ผ่านมา +1

    Aya kumenza kuchangamka Tatizo uyo Sam anapenda sana waganga🇹🇿🇲🇿

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 15 วันที่ผ่านมา +1

    Sam achana na UCHAWI , UCHAWI uliopewa na Mganga mrudishie mwenyewe.

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 5 วันที่ผ่านมา

    Ni movie au, mbona sielewi

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 14 วันที่ผ่านมา

    Wewe dada mwenye gauni jekundu ka mganga katoka kilingen acha kua na mdomo ayo ni mambo ya watu wawili nyie ndo mnafanya watu watoke kwenye ndoa mnaolewa nyie mbwa wew na hiyo gauni ya redi kad

  • @GabrielAmuko
    @GabrielAmuko 16 วันที่ผ่านมา +3

    YAANI HUYO SAM ANAJUA UKWELI WOTE SEMA TU HATAKI KUWEKA WAZI.

  • @YohanaMichael-q4g
    @YohanaMichael-q4g 14 วันที่ผ่านมา

    Hivi huo ni mkoa gan 😳😳😳😳😳😳😳

  • @RoseMallya-h9u
    @RoseMallya-h9u 14 วันที่ผ่านมา

    Mapepo yanawasumbua

  • @sistajoy1
    @sistajoy1 15 วันที่ผ่านมา +2

    Sam uhongo wako umepindukia ndo maana munafika huku! Poleni 💔😢

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 16 วันที่ผ่านมา +2

    Akatoe UCHAWI aliopewa na mganga MCHAWI, Sam akitaka salama awachane na UCHAWI.

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 16 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli huyu dada mtu alikuwa na matatizo siku zile ..... Naona yupo normal kabisaa...

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 16 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo mwanamke aende

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 16 วันที่ผ่านมา +3

    Sam hawezi kumuita mke, huyo mwanamke hajamuowa.

  • @JafariNahimba
    @JafariNahimba 14 วันที่ผ่านมา

    mwacheni aende hapendi uchawi sam chagua moja kuwa na mke au baki na uchawi usitese mtotow a watu

  • @hansondaniel-nb2jn
    @hansondaniel-nb2jn 6 วันที่ผ่านมา

    Muachen aend kma hyo ni mchawi nilishawah na mwanamke mchawi usiombe kukaa na mtu mchawi 😢

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 16 วันที่ผ่านมา +2

    Sam awache UCHAWI, anamtumia mke na UCHAWI.

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 16 วันที่ผ่านมา +2

    Sam ndiye muharibifu,aachane na huyo uharibifu wakishirikina.

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 15 วันที่ผ่านมา

    Hata ss wasikilizaj wa mikasa ya Sam mnatuchosha jaman kam waigizaji vilee !!! Aisee mnatuchanganya jamani!!

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 16 วันที่ผ่านมา +4

    Aende kwa Mganga aliyempa UCHAWI kupata Utajiri.

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 16 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo dogo sam ni mshirikina

  • @danielkiwanga2853
    @danielkiwanga2853 14 วันที่ผ่านมา

    Muache aendee wewe wanawak wengi

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 16 วันที่ผ่านมา +1

    Arudishe kwa mganga UCHAWI alilpewa.

  • @GabrielAmuko
    @GabrielAmuko 16 วันที่ผ่านมา +1

    HAPO HAKUNA NDOA.

  • @AmenyeMwambene
    @AmenyeMwambene 16 วันที่ผ่านมา +1

    Dawa imeisha nguvu

  • @Kingmasai149
    @Kingmasai149 16 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo mke ni mjinga sana kwanini asiongee series kulia kuna saidia Nini ayo mambo ya kufungua kama familia

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 15 วันที่ผ่านมา

      Kunachakufurahisha hapo ndo asolie

  • @GabrielAmuko
    @GabrielAmuko 16 วันที่ผ่านมา

    HAO NI MAJENERALI WAWILI. WAMEKUTANA.

  • @johnmwenda7683
    @johnmwenda7683 15 วันที่ผ่านมา

    Dada Yuko sahihi kwann abaki wakati kaka weni mchawi

  • @AsiaSumani
    @AsiaSumani 16 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @winfredmundali5441
    @winfredmundali5441 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wkeni binti huru ,kwani ni lazima akae kweu, why bull her liethis

  • @winfredmundali5441
    @winfredmundali5441 16 วันที่ผ่านมา

    I wa her I take you direct to Court Leave her

  • @LydiaAlfred-k2z
    @LydiaAlfred-k2z 15 วันที่ผ่านมา

    Mh napita

  • @BerthaSamwel-i9i
    @BerthaSamwel-i9i 15 วันที่ผ่านมา

    Uyo na dada ake wanajuana

  • @providencekusinza7122
    @providencekusinza7122 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nakumbuka alivyokuwa mpole uyu binti

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 15 วันที่ผ่านมา

    Kumbe hujaolewa kawaida ya waume wapenda Bure akazana km alimuowa

  • @amanileonard2255
    @amanileonard2255 16 วันที่ผ่านมา

    Nendeni kansani

  • @MwanahawaAli-s9d
    @MwanahawaAli-s9d 16 วันที่ผ่านมา

    Mna Fanya Nini Sasa kiji zalilisha tu