Lil Maina x Buruklyn Boyz - "Zoza" Reaction
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Reacting to Lil Maina and Buruklyn Boyz's collaboration "Zoza."
Zoza hapa: • ZOZA LIL MAINA X BURUK...
🔴 Na uzoze zaidi by subscribing - bit.ly/2EtcnTo (Road to 1000 subscribers 🙌🏾)
==============================
Ahsante kwa muda wako!
Tu-connect:
🔵 FACEBOOK - / sanaakwasana
🔴 INSTAGRAM - / sanaakwasana
🔵 TWITTER - / sanaakwasana
🔴 BLOG - sanaakwasana.w...
🔵 TIKTOK - / sanaakwasana
#LilMaina #BuruklynBoyz #Zoza #ZozaReaction #ZozaReactionVideo
==============================
Lil Maina x Buruklyn Boyz - Zoza | Lil Maina x Buruklyn Boyz - Zoza Reaction | Lil Maina x Buruklyn Boyz - Zoza Reaction Video | Lil Maina Reaction | Lil Maina Zoza Reaction | Buruklyn Boyz Reaction | Buruklyn Boyz Zoza
Zoza na hiyo like button na hiyo subscription 🙏🏾.
👏👏👏
Is that you, Leah? 👀
Ati is it a drill song isipoongelea mambleina 😆
This was entertaining to watch. Favourite part of the video is the petrol station scene
😂😂 Pertinent questions.
Ahsante sana, Furaha!
About hio kurudia rudia kwa chorus na verses, unajua at the end hii ni music, usioverdo, just what you think is best.... Kuna vitu unaeza ongeza kwa verse iharibu, iloose io utamu.... 🤫Learnt this from my producer 💯🚨
True story. Hii ni accurate kabisa 💯. Na kupata balance inaeza kuwa ngumu.
Ahsante for watching and sharing this.
love it vile una-breakdown the lyrics...good energy,let's do a collabo
Shukran sana! Sure, inaweza. DM us via whichever platform una-prefer, details ziko kwa description, then tuone what can come out of it.
@@SanaakwaSana awesome awesome ✨️
Wah!, hapo kuna rapper ametudanganya, amerudia barz flani hapo ni kama ameshindwa kumalizia
Nilidhani nyinyi watu wa spoken word huwa mna-appreciate repetition.
Nimeipenda, away from the lyrics ju sta' manage kuzi' understand leo, ...video iko timam!.. sometimes simplicity Ni factor biggie. Nimependa came izo camera moves especially shots kwa petrol station. I agree with you iyo frame ya ndai Ni dope!
Haha! The Limuru man in you hawezi kuruhusu kuelewa hii sheng ya kuzoza, eh?
Simplicity huwa muhimu for sure. Glad kusikia your sentiments on this.
Trap kilimani😂😂😂😂😂eh
Wapoa ni madame😂😂
@@MURIU411 😂😂 where were you when I needed you?
@@SanaakwaSana mi ntakua resurector.... When i go i go... Format ikianza haiishi😂 ntafungua scabs ama nikue late poison where they percieve me😂😂😂 time ndio ina demands zingine 😂😂 ntakua nakuja uno uno😂😂😂 naandika highlights😂😂😂😂
@@MURIU411 Wasanii na complications. Ona tu 😂.
Wapoa means madem wapoa .....so madem wapoa ni different but ni mabuby
Yes, naelewa. Ni hiyo "wapoa" ndio sikuwa naskia.
Shukran for watching.