Ni jambo nzuri linalofanyika kuhakikisha kila mtanzania anajua afya yake, pongezi kwa uongozi na wale wale wote wafanikishao zoezi hili. Natumaini zoezi hili litafika mbali hadi kwa wale waliombali na huduma za afya kuwafanya wapate hurahisi wa wao kutambua afya zao ASANTE KWA HUDUMA NZURI KWA PAMOJA TUTAFIKA MALENGO💪💪
Ni jambo nzuri linalofanyika kuhakikisha kila mtanzania anajua afya yake, pongezi kwa uongozi na wale wale wote wafanikishao zoezi hili. Natumaini zoezi hili litafika mbali hadi kwa wale waliombali na huduma za afya kuwafanya wapate hurahisi wa wao kutambua afya zao
ASANTE KWA HUDUMA NZURI KWA PAMOJA TUTAFIKA MALENGO💪💪