Nitaogopa nini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2021
  • Nitaogopa nini gizani duniani?
    Sikuachiwa peke’ mbali ya tumaini!
    Mwokozi yu karibu, asiyebadilika.
    Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika
    Pambio:
    Namshukuru Mungu asiyebadilika.
    Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika.
    2.
    “E’ usifadhaike moyoni mwako, mwana”, anong’oneza Yesu, “Nitegemee sana!
    ” Na hapo woga wangu waruka kwa hakika.
    Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika
    3.
    Na nikijaribiwa na jua lifichwapo, hata sioni raha, wala faraja hapo, nakimbilia Yesu, na yote yapinduka.
    Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika
  • เพลง

ความคิดเห็น •